Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Hatimaye Marouane Fellaini ametua ManUtd kutoka Everton kwa dau la £27.5m
Huyu hapa
Hatimaye Marouane Fellaini ametua ManUtd kutoka Everton kwa dau la £27.5m
Everton and Manchester United agree £27.5m deal for Marouane Fellaini The window has closed but Sportsmail understands Everton and Manchester United have agreed a £27.5m deal for the transfer of Marouane Fellaini to Old Trafford
Javier Hernandez - Chicharito (25) huenda akatua Arsenal kwenye dirisha dogo kufuatia kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza ndani ya ManUtd ingawa amekua akifanya kweli kila anapopewa nafasi.
- Wesley Sneijder(29) anayeichezea Galatasaray anawaniwa na Chelsea kwenye dirisha dogo. Anasema kocha wa Uholanzi Louis van Gaal.
- Mlinzi wa Chelsea David Luiz (26) atapigwa panga na kocha Jose Mourinho mwezi Januari kufuatia kiwango kisichoridhisha.
Diego Costa: Kocha Arsene Wenger atatuma scouts kwenda kufuatilia kiwango cha Diego Costa wa Atletico Madrid katika mechi mbili zijazo ili kumsajili katika dirisha dogo kwa dau la £32m ambalo limeshapata baraka zote.
Kama kawaida tayari makocha wengine nao wameshaanza kumwania. Mara nyingi makocha husubiri Professor of Football aoneshe njia (... kama fisi vile).
Diego Costa ameshafunga mabao 22 katika mechi 21 alizocheza msimu huu, ikiwemo mabao 17 katika mechi 16 za La Liga.
View attachment 127532