Transfer$ from tz bank to american bank!

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
WAHESHIMIWA, nahitaji kutransfer pesa online (kwa kutumia online banking) from a tanzanian bank to an american bank...sio kwamba nazificha labda mimi ni fisadi hapana, nimeshaishi kule kwa muda, nikawa na account kule sasa nimeona niweke pesa zangu kule kule ambako at least dola ikipanda na kushuka nitajua namna ya kucheza nazo hapa tz ambako dola ikipanda nikiwithdraw kwa mastercard italipa zaidi...all in all ni kutunza pesa zangu kule iwe rahisi hata kufanya biashara kimataifa....

Naomba MTU ANAYEJUA BANK YEYOTE YA KITZ ambayo inatoa online banking kama zile za ulaya, ambayo hata nikiwa hapahapa nyumbani kwangu kimara nitafungua net na kutupa pesa hamna haja ya kwenda kupanga foleni kule bank.....tafadhali naomba mwenye kujua hilo anielekeze ni bank gani na inafanyika vipi?....ASANTENI SANA..
 
Mkuu fungua akaunti ya dola BOA Bank au EXIM Bank ukuze na uchumi wa nchi yako. Bank charges zao ni nafuu mno kuliko mabenki mengine kwenye forex akaunt.
 
Mabenki mengi Tz yanatoa hiyo huduma, ambayo ni a little bit more efficient ni Twiga Bancorp. Mkombozi wanafanya ila hawajastabilize kwa maana ya kuwa na matawi mengi hapa nchini!! Kuwa na swift code tu nadhani inatosha kutransfer hiyo pesa!!!!!!
 
Karibu saaaana Mkuu. Internet banking ipo kwenye benki chache na unaweza kucheza na hela kiasi chochote mda wowote ndani ya Tz. Unaweza pia kutupa hela kiurahisi kutoka akaunti yako ya USA kuja TZ, ila, kutoka hapa kwenda USA? tena ukiwa nyumbani kimara? Sidhani. Bado forex haijawa liberalised kiasi hicho, unahitaji approval ya kupeleka hela nje, hiyo unahitajika ujaze fomu na uambatanishe proforma invoice au evidence ya sababu ya kufanya hiyo remitance. Benki yako hapa ita scan hizo document na kuzi foward BOT for approval. Kwa hiyo nadhani hiyo foleni itabidi na wewe uwepo tu.

Naomba ukisha pata majibu sahihi utujulishe hapa nasi tuongeze ufahamu.
 
Bank zote unaweza.

zomba mwongo mkubwa wewe, siyo rahisi kutuma pesa nje kutoka Tanzania. Ni lazima ujaze fomu ya maelezo ya kwanini unatuma na nani unamtumia pia wanataka scanned copy ta passport/ visa ya unayemtumia pamoja na maelezo mengine kibao.
 
This is interesting, you need a bank to do this, you can't do it yourself online, halafu sababu zako hazina mashiko, waweza Hifadhi Dolar zako Tanzania with no problem.

Na ni utaratibu Wa serikali ya Tanzania kuwa na invoice au sababu ya kutuma hizi less USA watakuuliza Invoive valid itakayoonyesha hiyo account number.

You can have account with CRDB (dollar account) with visa you can actually do all the transactions without a single problems, so sijui lengo lako hasa ni usharobaro au? Hoja zako ni dhaifu.



WAHESHIMIWA, nahitaji kutransfer pesa online (kwa kutumia online banking) from a tanzanian bank to an american bank...sio kwamba nazificha labda mimi ni fisadi hapana, nimeshaishi kule kwa muda, nikawa na account kule sasa nimeona niweke pesa zangu kule kule ambako at least dola ikipanda na kushuka nitajua namna ya kucheza nazo hapa tz ambako dola ikipanda nikiwithdraw kwa mastercard italipa zaidi...all in all ni kutunza pesa zangu kule iwe rahisi hata kufanya biashara kimataifa....naomba MTU ANAYEJUA BANK YEYOTE YA KITZ ambayo inatoa online banking kama zile za ulaya, ambayo hata nikiwa hapahapa nyumbani kwangu kimara nitafungua net na kutupa pesa hamna haja ya kwenda kupanga foleni kule bank.....tafadhali naomba mwenye kujua hilo anielekeze ni bank gani na inafanyika vipi?....ASANTENI SANA..
 
Taarifa nyingine ni kwamba US wamekuwa na vigugumizi sana kupokea pesa toka nje (na kutuma pia) kwa sababu ya hofu ya hizo pesa kutumiwa kufadhili ugaidi. Hilo nalo inabidi ulifanyie utafiti.
 
zomba mwongo mkubwa wewe, siyo rahisi kutuma pesa nje kutoka Tanzania. Ni lazima ujaze fomu ya maelezo ya kwanini unatuma na nani unamtumia pia wanataka scanned copy ta passport/ visa ya unayemtumia pamoja na maelezo mengine kibao.

Hayo mambo ni dunia nzima. Usicho kijuwa ni kwamba hizo information zote zinazotakiwa, ukiwa na account bank zinakuwepo hukohuko na huna haja ya kuzipeleka kila unapotaka kutuma pesa. Mimi nnatuma fedha kokote duniani "electronically" kupitia benki ya Tanzania.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Na hivyo vyote uvisemavyo, ukisha kuwa na "verified" email na simu unavituma "electronically" ukiwa nyumbani kwako au ofisini kwako, kipi cha ajabu hapo?

Tatizo lako lingine unapapara, husomi ujumbe vizuri, wewe unamtumia mtu "school fees" mara moja kwa mwaka. Mwenzako juu huko anasema anataka kuwa anatuma na kutoa fedha kwenye account yake ya USA. Unaona tofauti hapo? au huioni?

Nakusikitikia hujui haya mambo, jifunze.
 
Back
Top Bottom