Trafiki wa kike na vimini

Trafiki wa kike na vimini

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Hii imekua kama ni hali ya kawaida au labda ndio utaratibu sare za trafiki, kina dada wengi matrafiki wanavaa skirt either kwa mbele ziefunika magoti lakini unakuta kwa upande wa nyuma imenyanyuka na kuacha sehemu kubwa ya nyuma wazi, kupanda kutoka kwenye magoti na wengi wao huvaa fupi kabisa (KIMINI) kama hutaki kuamini na kama upo barabarani karibu na trafick jaribu kumuangalia tu utaona haya nnayoyasema.

Jaribuni kubadilika na tambueni kuwa nyie wa kuigwa na jamii kwa kutenda yaliyo mema .. .
 
mi ndomaana nawabandua sana hawa matrafiki
 
biashara matangazo..hata wakivaa suruali watavaa tight
 
kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakacho maadam havunji sheria - JK
 
Amini nakwambia ukiona matrafic na mapolisi wa Brazil utajikuta umegonga aisee,,, kwanza wamesheni halafu vinguo vya kubana balaa, halafu kifuani sasa,,,,,, sasa ukute polisi wa kike shepu zito halafu pembeni kaweka pistol balaa zaidi
 
Umesahau na manesi! halafu ndo ukute anakusafisha baada ya kutahiriwa ukubwani,unaweza ukaria maumivu utakayopata!
 
Amini nakwambia ukiona matrafic na mapolisi wa Brazil utajikuta umegonga aisee,,, kwanza wamesheni halafu vinguo vya kubana balaa, halafu kifuani sasa,,,,,, sasa ukute polisi wa kike shepu zito halafu pembeni kaweka pistol balaa zaidi

Isee babangu umenikumbusha mbali isee! Wale polisi walivofungashia!! Yelewiiiiiiiii
 
so na watanzania nao wavae hivyo ..coz wa brazili wamevaa ..au unajaribu out tea nn
 
Hii imemekua kama ni hali ya kawaida au labda ndio utaratubu sare za trafiki ..kina dada wengi matrafiki wanavaa skirt either kwa mbele ziefunika magoti lakini unakuta kwa uoande wa nyuma imenyanyuka na kuacha seheme kubwa ya nyuma wazi ..kupanda kutoka kwnye magoti .. na wengi wao huvaa fupi kabisa (KIMINI).. kama hutaki kuamini ..kama upo barabarani karibu na trafick jaribu kumuangalia tu utaona haya nnayoyasema .
jaribuni kubadilika na tambueni kuwa nyie wa kuigwa na jamii kwa kutenda yaliyo mema .. .

Sa kuna shida gani?
 
Kuna siku mmoja alinisababishia Ajali.
 
kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakacho maadam havunji sheria - JK

jeshi lolote duniani lina sheria na taratibu zake ktk mavazi.
Hawaruhusiwi kuvaa vimini ila tatizo ni usimamizi mbovu.
 
police police na vimini nitaanza kuangalia nione ....!
 
Back
Top Bottom