Halafu hapa ni Morogoro kama sikosei-Iringa Road, ka spot flani hivi ukiwa unakaribia Sangasanga kwenye mcheppuko wa njia ya Kwenda Mzumbe
Mbona barabara haionekani wanafanya nini hapo au kituo kimehamia vichakani? Kazi yao ni kusimamia usalama barabarani sio vichakani. Mamburula wengi hawaioni hiyo shida ya traffic kukaa vichakani kama fisi
Sasa wafanyeje kama hakuna jengo la kuwahifadhi kwenye jua kali? Mvua ikinyesha hapo ......................