Huyo aliiona FURSA akaitumia sasa tatizo lipo wapi????
Kazi kweli kweli. Haogopi?
Badala ya kushangaa na kumlaumu Trafic bandi ss tupate funzo kuwa maaskari wetu wa usalama barabarani ni wala Rusha mpaka jamii nayo kuona ni sehemu ya kuigizia ili kupata chochote.
Naunga mkono hoja, ana wito na kazi ya upolisi jamani apewe ujuzi tu
Huyu ni mjasiriamali aisee, hizo idea ndio zinatakiwa-anatumia uoga na udhaifu wa madereva kuishi mjini. Dah bonge la idea sio mchezo...I tell you hatafungwa
Jamaa labda aliona "polisi" ni ujasiriamali kama biashara nyingine tu..
Umesahau Ndumila kuwili alikuwa akiazima magwanda ya mgambo ya Mjomba wake kwenda kukamata watu aombe rushwa! enzi zile za Gazeti la Sani ndio watu wanahizo tabia mbona... na huyu mzee lazima alishawahi fanya kazi ya upolisi before si hivi hivi...Kumbe haya mambo yanawezekana aisee.....
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums