Trafiki apigwa Ubungo mataa

Hata sikuchukua... ni wa pale ubungo alikua mwanaume na mwanamke huyo mwanamke ndio akawa anasema hayo ya kutubambikia kosa jingine tusipompa hela.

Una uhakika unachokinena? kama ndivyo cku nyingine unanakili namba zake za jeshi ili umfuatilie kwa hatua zaidi mkuu.
 
Una uhakika unachokinena? kama ndivyo cku nyingine unanakili namba zake za jeshi ili umfuatilie kwa hatua zaidi mkuu.

Ndio nina hakika na ninachokinena....

Siku nyingine nitafanya hivyoo Mkuu nilikua sijajua
 
Ipo siku akina, mkulu na mtoto wa mkulima watapewa kichapo kama huyu trafiki.

Mkulu aliwahi kukoswakoswa mawe pale Mbeya mwaka flani siukumbuki. Dharau zake pamoja na udhaifu wa kukenuakenua ndo vinasababisha mambo kama haya.
 
Wapigwe tu......... Leo asubuhi katusimamisha anaanza kudai ela

anaambiwa hela hakuna eti kama hakuna hela anaongeza kosa jingine

yule trafik aliniboa sana asubuhi..

mama.




zake hana adabu.hajui imepakia mtu mkubwa kama weewe pambavu.zaoo ulichukua namba.zao.


pw
.xxxx
 
Ni baada ya kusababisha ajali.



Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.

mpwa awa jamaa dili ni.kofia

ukiona anapigwa wahi kofia pesa za dili zote.zinawekwa ndani ya.kofia.sikuyake.inageuka.manyoya
 
ata.uwasachi makalio awana hela namwonajama nyumayake anampapasa papasa kachemka angewahi kofia ile kuna crdb/exim za kutosha
 
loh janaume zima unataka umbea upeleke kwa mkeo
 
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.

Ni kweli. Ila wao ndio wanatakiwa kumpiga mtu bila sababu yeyote. Naam si waliambiwa "wapigwe tuu". Uadui unaongezeka kwa sababu zilizosababishwa na kauli za viongozi.
 

mi.siku.nikitoka.na gari.nasali.kabisa Mungu shusha mvua.nipite.na amani easy

kuna.siku walinikamata kawe darajani kilakitu kiko sawa akaingia ndani embu washa.redio yako nzima....musicheke ni live yaani nilicheka kabla kuwasha akaishia kuchukua sambusa za.royal oven zilikuwa pale.mbele
 
They tell me a weak king is much much worse than a stupid elephant
 
Yote ya nini mpaka umkwide traffic! au umpige? kasababisha ajali basi ita askari mwingine apime ajali then mkatoe maelezo tumegongana sababu hii na hii.! na yeye ni binadamu ana mapungufu yake sio mnakurupuka wengine hapo ni ushabiki wa kijinga..!!

nickson

wajinga wanafundishwa adabu na wajinga wenzao hata mi ningemchapa makofi unajua kwa nini???

akipelekwa huko anaachiwa
 

ha ha haa..jf burudani tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…