Trafic wa kike si bure!!

Trafic wa kike si bure!!

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
Jamani nawasalim wanaJF.

Nafanya kazi kwenye mgahawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE.

Nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike na kunishtua kwa kunibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila huja mara kwa mara kujipatia uduma.

Mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?Naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu?

Ushauri jamani.
 
Hilo ni tatizo la mwanamke huyo ambaye ni Trafick na si tatizo la ma trafick wa kike. Kuwa muelewa kijana sio kwamba Cheo chake au kazi yake ndio inamfanya awe hivyo no bali ni tabia yake binafsi. Je ukikutana na mwanamke trafiki anakuambia maneno mazuri ya maadili utatuambia kuwa matrafik wa kike wote wanabusara. LOGIC NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.
 
usiumeze kichwa kwa kauli yake hiyo, hajitambui huyo. nasi tukisema wauza mighahawa wa kiume wavivu wa kufikiri sijui wengine watatufikiriaje. tatizo hili liko kwa watu wengi sana, wananiudhiiiiii!
 
Matrafic wengi wa kike ndo zao mm nshajishuhudia sana kwa wanaume wamekuwa hawajielewi anaweza kumkamata hata km anakosa lkn mwanaume akianza kumchekea na kumsifia tu bas pale pale humuachia. Wanajushusha sana kupitia kazi zao
 
kesho akija nurse wa hospitali jiran na mgahawani kwenu akakuchekea naye utatuambia? be serious mkuu
 
Sasa hayo matendo ni ya utrafiki ama ni ya mtu binafsi?
 
Hilo ni tatizo la mwanamke huyo ambaye ni Trafick na si tatizo la ma trafick wa kike. Kuwa muelewa kijana sio kwamba Cheo chake au kazi yake ndio inamfanya awe hivyo no bali ni tabia yake binafsi. Je ukikutana na mwanamke trafiki anakuambia maneno mazuri ya maadili utatuambia kuwa matrafik wa kike wote wanabusara. LOGIC NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.

sawa mkuu ila ndo ivo na sio huyo tu wako wengi wenye tabia chafu tunawafahamu
 
usiumeze kichwa kwa kauli yake hiyo, hajitambui huyo. nasi tukisema wauza mighahawa wa kiume wavivu wa kufikiri sijui wengine watatufikiriaje. tatizo hili liko kwa watu wengi sana, wananiudhiiiiii!

acha dharau ivi nikisema na wewe UJIELEWI si itakuwa poa tu! watu wengine bwana?mmmm?
 
jamani nawasalim wanaJF.wachanianze nafanya kazi kwenye mgaawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike nakuni shtu kwaku nibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila uja mara kwa mara kujipatia uduma do! mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu? ushauri jamani.
Rekebisha kwenye nyekundu utalijua lengo lake
 
Matrafic wengi wa kike ndo zao mm nshajishuhudia sana kwa wanaume wamekuwa hawajielewi anaweza kumkamata hata km anakosa lkn mwanaume akianza kumchekea na kumsifia tu bas pale pale humuachia. Wanajushusha sana kupitia kazi zao

bora hata na wewe umejionea maana.....?
 
Back
Top Bottom