Trafic wa kike si bure!!

Trafic wa kike si bure!!

Hilo ni tatizo la mwanamke huyo ambaye ni Trafick na si tatizo la ma trafick wa kike. Kuwa muelewa kijana sio kwamba Cheo chake au kazi yake ndio inamfanya awe hivyo no bali ni tabia yake binafsi. Je ukikutana na mwanamke trafiki anakuambia maneno mazuri ya maadili utatuambia kuwa matrafik wa kike wote wanabusara. LOGIC NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.
polisi wa kike ndo neno sahihi
 
mtongoze halafu mwambie mkapime ngoma ya pu-ya-ka
 
jamani nawasalim wanaJF.wachanianze nafanya kazi kwenye mgaawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike nakuni shtu kwaku nibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila uja mara kwa mara kujipatia uduma do! mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu? ushauri jamani.
Wewe naona umevurugwa si bure!Sasa hiki kichwa cha habari ndo wote jamani??Huyo Traffic ni binadamu kama wengine usione kavaa OG ukaona yeye ni Robot kama ujui OG kaulize!Mimi Nimekupuuza!
 
heeee? kwani unazungumzia nini?@Ennie

Nimekusoma sasa ulivyomjibu Heaven on Earth,kumbe hata shule hujaenda! Basi hongera unajitahidi kuandika ila jifunze kuandika kwa aya na matumizi ya mkato na kituo.
 
Last edited by a moderator:
Wewe naona umevurugwa si bure!Sasa hiki kichwa cha habari ndo wote jamani??Huyo Traffic ni binadamu kama wengine usione kavaa OG ukaona yeye ni Robot kama ujui OG kaulize!Mimi Nimekupuuza!

tena sana tu kwani kidogo kunishika kanivuruga kila kitu kilicho baki akirudi tena niombe mch....zo?
 
Hivi bado huvaa zile sket fyupi, zinazo watega madereva?
 
Wewe naona umevurugwa si bure!Sasa hiki kichwa cha habari ndo wote jamani??Huyo Traffic ni binadamu kama wengine usione kavaa OG ukaona yeye ni Robot kama ujui OG kaulize!Mimi Nimekupuuza!
Kumuelewa mtu nalo ni tatizo la kimaisha!

tena sana tu kwani kidogo kunishika kanivuruga kila kitu kilicho baki akirudi tena niombe mch....zo?
Umeishavurugwa unapata wapi nguvu za kuomba mchezo??
 
umesha niambia sijitambui kuna nini tena? usi paniki ndugu!

jamani nawasalim wanaJF.wachanianze nafanya kazi kwenye mgaawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike nakuni shtu kwaku nibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila uja mara kwa mara kujipatia uduma do! mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu? ushauri jamani.
Hahaha! Siwezi paniki mambo kama haya. Jf is a stress free place.

Ulimaanisha UJIELEWI au HUJIELEWI? angalia pia kwenye nyekundu ulimaaanisha nini?

Watu wengine huwa na shida ya kutumia herufi “H” kwenye Kiswahili. Panapostahili kuiweka huiacha na panapostahili kuiacha huiweka. Mfano:
mgaawa badala ya mgahawa

1. Hunakosea badala ya unakosea

2. Hamekuja badala ya amekuja

3. Uniwezi badala ya huniwezi
4. Anipendi badala ya hanipendi
5. Ujielewi badala ya hujielewi
Naamini wewe sio miongoni mwa hao, mkuu!
 
Kumuelewa mtu nalo ni tatizo la kimaisha!

Umeishavurugwa unapata wapi nguvu za kuomba mchezo??

sasa nifanye je?kaanza mwenyewe alafu apo juu neno "kumuelewa mtu ni tatizo la kimaisha" una maanisha nini?
 
jamani nawasalim wanaJF.wachanianze nafanya kazi kwenye mgaawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike nakuni shtu kwaku nibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila uja mara kwa mara kujipatia uduma do! mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu? ushauri jamani.
Hahaha! Siwezi paniki mambo kama haya. Jf is a stress free place.

Ulimaanisha UJIELEWI au HUJIELEWI? angalia pia kwenye nyekundu ulimaaanisha nini?

Watu wengine huwa na shida ya kutumia herufi “H” kwenye Kiswahili.SAWA nimekuelewa asante kwa hutambuzi wa makosa yangu hata hapa nahisi kama nimekosea!
 
Back
Top Bottom