meDav
Member
- Dec 24, 2014
- 40
- 5
Niko safarini natoka Mbeya kwenda Njombe kufika maeneo ya Chimala kuna kitu kimenishangaza kidogo sababu kwanza tumepigwa mkono halafu traffic police wakaingia ndani moja kwa moja hadi siti ya nyuma wakaanza seaching mtu waliompoint tu wakamkuta na mzigo .
Hivyo jamaa wameshusha hapa na mzigo wake daah.
Sasa kitu ambacho sijaelewa kuwa hawa jamaa kusema kwamba wako makini sana na kazi au wamechoreshwa mchongo maana hakuna mtu waliomgusa zaidi ya jamaa tuu moja kwa moja...!
Ila kama its true kuwa they did it by their own big up kwao saluuute