IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,751
- 7,124
Weka picha
Zinawapendeza sana
Acha ushamba,OG kirefu chake ni Olive Green,hizo nguo za traffic zina rangi hiyo?kukariri kubaya sana.hizo nguo zinaitwa walking dressHivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana
Hivi hizi uniform ni kwa dar pekee, pwani na mikoa ya Jirani sijaona wakivaa Kama hawa wa dar?
Vile viskirt vilikua tabu sana. Haviwapi uhuru. Halafu wanachafuka katikati ya mapaja kwa vumbi na moshi.....teheteheeeZinawapendeza sana