Tatizo langu hapo ni harufu tu. Kwani hawawezi kusuka nywele zao zikawa safiii afu wakaoga jamani?
Mwenzangu nywele zimesetiwa kwa udongo sijui na mwili mzima umepakwa foundation ya udongo lol sie hadi tupoteze pesa kitu cha mac lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Huyu amekaaje au sioni vizuri?
Tatizo langu hapo ni harufu tu. Kwani hawawezi kusuka nywele zao zikawa safiii afu wakaoga jamani?
Huyu amekaaje au sioni vizuri?