Bongolala..nimesamehe ila nikifikiri ingekuwa ni mtu katumiwa salary yake yote halafu imepotea njia angesurvive vipiDuu mchaga kwa pesa!maana pesa zote duniani wanafikiri ni zao kama vile mmasai na ng'ombe.ALLAH atakupa zaidi samehe!
Dah . Hiyo sijui kama utakaa uipate. Ndio weakness za mobile pesa .
ni kweli mku..amount ni 72K Na hilo la watu anaowasiliana nao tumeliona lakini tukaona tutajichosha na kuwasumbua tu..ipo siku atajichanganya mwenyeweHao Vodacom hawajawasaidia vya kutosha, inategemea na userious wenu labda kutokana na kiwango chenyewe cha pesa. Voda wanaweza kupata jina la huyo jamaa na utambulisho wake kamili (?), then wanaweza kutrace
anawasiliana sana na nani, mnaweza kutumia watu anaowasiliana nao kufika karibu naye kwa urahisi, then kwa kushirikiana na police...BUM...HUYU HAPA!:scared:
ni kweli mkuu..ila watu tunatofautiana maadili..how comes you swindle money which is not yoursbora umtafute ana kwa ana ila usitegemee itafika wakati ataweka pesa ktk account yake maana anajua atakatwa tu juu kwa juu, pole! Kuhusu kutrace huyo jamaa nadhani ni ngumu ingawa mtandao husika unaweza kukusaidia vizuri zaidi ikiwa utakidhi vigezo vyao vya kutoa hizo details
ni kweli mkuu..ila watu tunatofautiana maadili..how comes you swindle money which is not yours
kwa faida ya wanajamvi wote iwapo utapatwa na tatizo kama hili piga namba 15366 pindi tu upokeapo meseji ya mpesa na kubaini kuwa umekosea utumaji wa pesa. Muda huo huo watazui fedha uliyotuma na kuirudisha kwenye account yako ya Mpesa ndani ya masaa 24.
ni kweli mkuu..ila watu tunatofautiana maadili..how comes you swindle money which is not yours
Sidhani mkuu kama kuna namna unaweza kutrace location ya simu ilipo zaidi ya kujua simu inatumia mnara wa sehemu gani.Is there any method to trace the location of the mobile phone?