TRA yazifunga ofisi za TFF na kuamrisha kuacha kila kitu ofisini

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
TFF.png

Kampuni ya Yono Auction Mart walihusika katika kuzifunga ofisi hizo na kuwataka wafanyakazi wote kutotoka nje ya ofisi na kuacha kilakitu ndani.

Awali TFF walikuwa wanadaiwa na TRA na kuzuia baadhi ya magari yakiwemo yanayotumiwa na timu za taifa ambayo baadae yaliachiliwa na kuanza kutumika tena.
 
Ohoooo, kumbe TFF nao makanjanja.
Inabidi ile timu wanayoibeba iwape chumba cha ofisi.
 
cd291b2028510a6df0cdd9ba31a28cc3.jpg

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) leo na kuamrisha kuacha kila kitu ndani, hali hiyo imefikiwa kufuatia deni kubwa la kodi wanalodaiwa TFF. Kampuni ya Yono Auction Mart kwa idhini waliyopewa na TRA walihusika katika kuzifunga ofisi hizo na kuwataka kutotoka na kitu chochote ndani.
 
72a9b1f3db0af3530c8020a64b16c41c.jpg
 
Back
Top Bottom