TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

ook kumbe wewe ni class mate?

this is too much commonity aisee...! apo ni kozi tu tulipishana...u kan guess mine maana nadhani ni kozi yetu tu haikuwa na kipindi cha mama mwende!!!!
 
Vipi wadau wa muccobs,mlichukuliwa wa ngapi kuanza kazi?
 
Mnakisifia chuo chenu cha ushirika, na kibaya zaidi watu wenyewe mnaokisifia chuo hata ajira huko TRA hamjapata, tembeeni huko TRA mkauulizie staff wengi wametokea chuo gani, wengi IFM pale ndo kuna magwiji wa masomo ya Tax, ma dr wa taxation wapo kibao, ukija upande wa account ndo usiseme kuna ukitoka pale lazima uwe professional wa account, hata wanafunzi wengi wanaongoza kuchukua CPA utakuta Ifm,mzumbe, udsm, Iaa, tia, hata staff pia hapo tra wengi ni product ya ifm, udsm,mzumbe
 
Mnakisifia chuo chenu cha ushirika, na kibaya zaidi watu wenyewe mnaokisifia chuo hata ajira huko TRA hamjapata, tembeeni huko TRA mkauulizie staff wengi wametokea chuo gani, wengi IFM pale ndo kuna magwiji wa masomo ya Tax, ma dr wa taxation wapo kibao, ukija upande wa account ndo usiseme kuna ukitoka pale lazima uwe professional wa account, hata wanafunzi wengi wanaongoza kuchukua CPA utakuta Ifm,mzumbe, udsm, Iaa, tia, hata staff pia hapo tra wengi ni product ya ifm, udsm,mzumbe

Hapo sababu kubwa hivyo ndo vyuo vilivokuwepo tokea zaman kdg ila kwasasa mambo yanaanza kubadilika baada ya miaka mitano hiyo hali hutaiona tena
 
sasa mtu amesomea mambo ya ushirika,TRA akafanyaje?

aliyekwambia muccobs wanasoma ushirika pekee nani? hilo jina tu kwa sasa uliza kwanza info za hiko chuo kwa sasa ndo uongee, mfano wanatoa kozi inaitwa Bachelor of Micro finance and entrepreneurship hakuna chuo chochote bongo kinachoweza ku compete na mwanafunzi aliyesoma hiyo kozi muccobs wako nondo na kwa taarifa yako 50% ya wanaosoma hiyo kozi wanapewa offer ya kazi kabla ya kumaliza mwaka wa tatu na 90% wanaajiriwa soon wanapotoka chuo, wako vizuri na nawakubali sana na believe me huwezi compete na mwanafunzi wa ushirika kwenye kutafuta kazi
 
me nashauri kabla hamjakiongelea ushirika fanyeni utafiti kuhusu hiko chuo kwa sasa na sio kukariri jina Ushirika, utazidi sota na wenzio wanapeta wanakozi nyingi na competent tofauti na huo ushirika kwa sasa na wako nondo, so fanyeni research kwanza si uzushi bali ni hali halisi kwa sasa ushirika wako vizuri sana na huwezi kushindana nao kwenye job market ya course za biashara, mfano mwanafunzi wa ushirika anayefanya Micro finance ushirika huwezi kushindana naye kwenye market lazima akutupe mbali saaaaaaaaaaaannaaaa
 
me nashauri kabla hamjakiongelea ushirika fanyeni utafiti kuhusu hiko chuo kwa sasa na sio kukariri jina Ushirika, utazidi sota na wenzio wanapeta wanakozi nyingi na competent tofauti na huo ushirika kwa sasa na wako nondo, so fanyeni research kwanza si uzushi bali ni hali halisi kwa sasa ushirika wako vizuri sana na huwezi kushindana nao kwenye job market ya course za biashara, mfano mwanafunzi wa ushirika anayefanya Micro finance ushirika huwezi kushindana naye kwenye market lazima akutupe mbali saaaaaaaaaaaannaaaa[/QUOTE

nimependa mfano wako wa mwisho hapo . , !
 
Yani waache kuchukua vipanga wa udsm,mzumbe,ifm,tia na Iaa..wakachukue watu wanaosomea mambo ya ushirika?

Aliyekwambia muccobs wanafundisha ushirika tu nan?!
Chunguza kabla ya kuargue....
 
Labda kama ni Kilimanjaro Community Union na siyo TRA.

You guyz msiwe mnacomment tu ka hamjui.....
Ushirika wana programs kibao tu za kibiashara na n very marketable...
Ukija kwenye swala la center bora znazotoa CPA na PSBTB wako vzur so usikurupuke tu.....
 
hahahaha vyuo vilivyo pandishwa hadhi vinajaribu kujitutumua
 
hahahaha vyuo vilivyo pandishwa hadhi vinajaribu kujitutumua

Issue sio kupandishwa hadhi kwa chuo... Issue n what nimepata kutoka chuo na how ntakitumia kwa manufaa hcho nlichokipata
Its all about content and competence ndugu......
 
Back
Top Bottom