TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

acha mbwembwe content ndio inayo amua unafikiri chuo kitakubeba cku wanaangalia unajua nin sio umesoma wapi na umepata ngapi
Ni kweli chuo hakimbebi mtu .lakini kumbuka tra post zao nying ni kwa watu waliosoma biashara na hiko chuo chenyewe kimebase kwenye mambo ya biashara labda ndio sababu wanaamini mtu akitoka pale anakua anamaarifa sana.lkn nashangaa hawa watu wanachuo chao au bado wanafunzi hawajahitimu .cjawaelewa hapo na hii habari haina ukweli wowote
 
Sasa hiyo inatusaidia nini sisi tusio na ajira,kwamba ili tuajiriwe TRA turudi tukasome huko MUCCOBS au kwamba tulioomba TRA tusitarajie kuchukuliwa kama ni hivyo kwa nini wasiende pale MUCCOBS wakaajiri wanafunzi wa pale mpaka wakaamua kutangaza kwa wote? Tuache Tabia ya kukatishana tamaa,TRA iko Karibu mikoa yote Tanzania Sasa sidhani kama kama hao waliosoma hicho chuo chako ndo watachukuliwa kote.
 
amna lolote...bila shaka utakua bado uko chuo au ndo umemaliza juz tu that's why bado una umimi..muccobs might be a good college lakin chuo hakimbebi mtu ndugu yangu bali uwezo binafs wa mtu...mbona zile post za tax officer majority walitoka udsm na mzumbe
 
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa

asilimia kubwa ya wanaosoma muccobs wanatoka moshi plus yule jamaa mwenye review centre ni mwalim wa muccobs so ana waencourage wanafunz wake wafanye wapige pepa soon after kumaliza chuo hata kabl ya kupata kaz akili bado iko fresh...experience shows fresh from school wanafaulu zaid hii mitian vs wafanya kaz coz the latter hawana enough time kujiandaa plus wameshasahau mambo mengi...
 
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa

Hiyo timu ni hatari, mbona hujamtaja Sethiel?? Then Mzee wa Taxation, Muhandeni bila kumsahau Mtaalamu wa Uchumi Kimambo.... Na Prof. Msanga, mzee wa Sheria
 
Japo sipendi ushabiki wa vyuo lakini binafsi naamini muccobs ni chuo cha mchangani kimsingi huwezi fananisha UDSM, Mzumbe na vinginevyo pia swala sio umesoma wapi swala la msingi ni je umeelimika? au umefaulu tu darasani na bila kusahau kama Mungu amekupangia kupata TRA, lazima utapata tu hata kama umesoma CBE...overr...!!!Mungu sio Athumani..wala Jumanne...cha msingi ni kusali na kufanya hizo interview zao vizuri tu...mimi naomba watu msiosoma Muccobs mje mtoe ushuhuda..kama mkipata kazi huko..muccobs mie kiukweli nimeijua mwaka jana.....hahahahahaha...
 
May be maana mimi nina friends wengi waliopata kazi kwa mara moja na ni graduates wa MUCCoBS
 
Yani waache kuchukua vipanga wa udsm,mzumbe,ifm,tia na Iaa..wakachukue watu wanaosomea mambo ya ushirika?

Kweli ndugu hizo taasisi ulizozitaja ndiyo magwiji wa Account hapa nchini bila ubishi. wengine hawa wanababaisha kiana.
 
Nafasi za kazi zilizotangazwa na TRA watakachukuliwa kutoka chuo cha Moshi
Mimi naona wengi watatokea dit...dah ajira imekuwa ngumu hadi watu wanalia wamesoma chuo gani???
Jamani kwani hizo nafasi zinatoka lini??
 
Sijasoma hapo lakini waliosoma pale wameiva maana ninafanya nao kazi wako Vizuri kama wale wa Mzumbe ya Enzi za IDM.
 
TRA ndo hawa jamaawa rushwa.? Kuna mbwiga hapa anaongea kuhusu Rushwa Authority of Tz.
 
Wapendwa naomba kuuliza hzo post zimetangazwa ln na deadline na ni wtu gan wanahtajka, i mean post gan, sory kwa kukusumbueni.
 
unajua wewe ulieleta huu uzi unaakili za kizee sana. we unafikiri kusoma chuo flani ndio candidate anakua na sifa zaidi...sasa kwa taarifa yako hata hapa tz muccobs haiko kwenye top 50 ya vyuo
 
unajua wewe ulieleta huu uzi unaakili za kizee sana. we unafikiri kusoma chuo flani ndio candidate anakua na sifa zaidi...sasa kwa taarifa yako hata hapa tz muccobs haiko kwenye top 50 ya vyuo
rank ya chuo ni ya ngapi ukiwamfuatilia kama unafahamu huwa haionyeshi uwezo wa wahitimu mbali inaangalia ktk umaamurufu wa chuo kwa ukongwe wake, ukubwa wake, uwingi wa programa, umarufu wa website ya chuo kidogo kuna wengine wameenda mbele kidogo wamejaribu kuangalia uhalisia wa program inayotolewa na chuo kwa mahitaji ya jamii ya sasa lkn sio uwezo wa wahitimu kama unavyofikiria nenda kasome kwa umakini tena hzo top 100 inaangalia vitu gani kama hawajaelezea vigezo wanayoangalia ujua hyo data ni feki
 
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa

chuo au darasa la tatu c,hadi mahudhurio?
 
Msijali mwaka huu tumewaita wote waliokidhi vigezo,angalia email inbox kwa yeyote uliyeomba nafasi zile.
 
Ushirika ipi?? Ile ambayo graduate wa CMA wapo mtaani toka 2009 mpaka leo?
aaaaaaaaaaaaghrr muangalie vya kuandika/kupost sometime.
 
Back
Top Bottom