TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

hilo la pr ufunguo niliambiwa kaka...yule kijana wake wa kcmc alikuwa anatumega sana chuo pale
pr donge ni my best best friend na mke wake..dr mwende na mke wake mi nawaonaga makauzu sana..sinaga time nao lakini hawakuwai kunishika masomo yao nina b ila makauzu sana

Ahaha Kur***e???! Shiett....na ww ni culprit?
Prof Donge yuko poa sana.
Alafu ebu define Ukauzu n in th same line wadefine Boa n mama Hellen.
 
na uzuri wako wote huo,kumbe nawe umesoma ushirika?
 
Ahaha Kur***e???! Shiett....na ww ni culprit?
Prof Donge yuko poa sana.
Alafu ebu define Ukauzu n in th same line wadefine Boa n mama Hellen.
boa alikuwa poa hata mama hellen alikuwa ananipena sana kusema kweli
 
Mama Hellen? Duh inaonesha;

1. ulikuwa kipanga sana darasani

2. ulikuwa unavaa magauni zaidi (unaijua dress code anayoipendaga)

Sasa ni difainie ukauzu wa the Mwende's!
 
ahahaaa mama hellen alishawai kunitoa class nilikuwa nimevaa kipedo cha hatari.urafiki wake haupo stable yule.
kuhusu ukauzu wa hao mwendes ahahaaa mbona upo interested sana? kwani wewe huwajui?
 
Kuwa makini Smile! unaweza kuwa unachat na Muhusika moja kwa moja hapa au mtu wake wakaribu..
 
Last edited by a moderator:
Kuwa makini Smile! unaweza kuwa unachat na Muhusika moja kwa moja hapa au mtu wake wakaribu..
ahaaa nadhani mentor ni mdau wao ila mi sinaga unafiki bwana kama mtu atashika robo tatu ya darasa huyo tumsemeje?
 
ahahaaa mama hellen alishawai kunitoa class nilikuwa nimevaa kipedo cha hatari.urafiki wake haupo stable yule.
kuhusu ukauzu wa hao mwendes ahahaaa mbona upo interested sana? kwani wewe huwajui?

Nawafahamu n Dr. Mwende was my best lecturer and 'mentor' honestly ndo mana niko interested kufahamu definition yako ya 'kauzu'!

Nothing more.
 
kauzu ni mtu ambae hayupo friendly kiivo..honestly mi sio nawachukia wala sikuwai kushikwa hata masomo yao mama mwende dr mwende boa hellen nadhani wote nina B ...ila kina mwende mambo mambo yao bwana ..watu wanawakomaje pale!
 
ahaaa nadhani mentor ni mdau wao ila mi sinaga unafiki bwana kama mtu atashika robo tatu ya darasa huyo tumsemeje?

Ahaha huyo ni mama yule watu walikuwa wanamuogopa bana...kha! Luckily sikupitia mikononi mwake so i never experienced hiyo hofu watu waliyokuwa wakiiongelea. I guess ndo maana niko more puzzled na comments zako!
 
ahaaa au ndo mama mkwe wangu?
 
acha mbwembwe content ndio inayo amua unafikiri chuo kitakubeba cku wanaangalia unajua nin sio umesoma wapi na umepata ngapi

just loved the content, nafahamu kuwa good reputation ya chuo ni muhimu, ubora wa mitaala inayotumika kuwapika wanafunzi (well informed with research), wakufunzi na wakurufunzi bora na walielimika sawia, maktaba za kisasa, maabara, na elimu kwa vitendo! lakini vilivyo muhimu zaidi ni competences in terms of knowledge, skills and appropriate attitudes za wahitimu. vyote hivyo, vina mfanya mhitimu aonekane bora na mwenye ability to do A B C.....kazini, huko ndiko soko la ajira lilikofika kwa sasa. ni muhimu kujua kuwa mpaka 2013, Tanzania ina taasisi za elimu ya juu na universities 43 ambazo zimesajiliwa (na mamlaka kama TCU au NACTE), ushindani ni mkubwa. kwa wahitimu, the strong shall survive and the weak shall perish...the choice is on your hands!
 
Back
Top Bottom