TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Nafasi za kazi zilizotangazwa na TRA watakachukuliwa kutoka chuo cha Moshi
 
Ndio walivosema au? Sawa ni chuo cha biashara lakini mbona na wengine wanasoma hizo coz kwenye vyuo vingine kwanini wawatenge huu ni upendeleo sasa
 
Wewe perry acha dharau jua muccobs ni chuo ambacho kipo chini ya sua na hata vyeti vyao hua vinaandikwa sokoine university..acha dharau wenzio wamejikita zaidi kwenye biashara na pia kinafahamika sana.
 
Yani waache kuchukua vipanga wa udsm,mzumbe,ifm,tia na Iaa..wakachukue watu wanaosomea mambo ya ushirika?

Sasa udsm na mzumbe vinatofauti gani na sua wewe mana muccobs ni chuo ambacho kipo chini ya sua na pia ni chuo cha serikali..nakufahamisha tu kama ulikua hujui.mi sijasoma hapo ila trust mi inawezekana ni kweli mwaka jana walitoa post kwa graduates asilimia nyingi walitoka muccobs na sasa wapo kazini wanapeta.
 
Sasa udsm na mzumbe vinatofauti gani na sua wewe mana muccobs ni chuo ambacho kipo chini ya sua na pia ni chuo cha serikali..nakufahamisha tu kama ulikua hujui.mi sijasoma hapo ila trust mi inawezekana ni kweli mwaka jana walitoa post kwa graduates asilimia nyingi walitoka muccobs na sasa wapo kazini wanapeta.

sasa mtu amesomea mambo ya ushirika,TRA akafanyaje?
 
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa

wewe siwezi kukushangaa naona tarehe yako ya kujiunga jf hapo!! mungu akusaidie kwa kweli uweze kufikiria mbali maana una mawazo mgando sana!
 
Au ni njama tu wengine tukate tama???????? Itafahamika hukohuko mpaka kieleweke.......🙂
 
muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama hellen,dr mwende,dr magigi....bila kumsahau engineer boa
kumbe na wewe ..mama mwende ni noma...wacha waseme ila tunapeta ..hata mimi nipo kwenye taasisi kubwa tu hapa nchini na intake yangu muccobs tulichukuliwa 4 post zilikuwa 10...ofsin tupo muccobs kibao mkuu
 
sasa mtu amesomea mambo ya ushirika,TRA akafanyaje?

Wewe wa wapi chuo kinaitwa moshi university collage of cooperatives and business studies ..unaelewa maana ya and? Coz za biashara kama baf na procurement and supply na nyinginezo zipo pale .sa kama unazani kila anaeenda pale anaenda kusomea ushirika umepotea.
 
Back
Top Bottom