Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,181
- 29,916
- Thread starter
-
- #261
Kwa heshima ya huu uzi, nyie watu wenye tongo tongo ya ubongo naona kinyaa hata kuwajibu.Kwa hiyo solution ni kulilia mitandaoni ndio watajirekebisha? ππ Kama suluhisho hujui bora hata usingeandika,mana haya malalamiko yashasemwa sana, wafanyabishara, wanasiasa na wawekezaji pia. Unahisi ili TRA ijirekebishe nini kifanyike?
Wakuu hii kitu imekata vipi,nafikili ni mda kuwa na mjadala juu ya TRA, wa kitaifa, kweli tunapenda mapato ila sio KWA upepo huu wa TRATunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara.
TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma.
TRA kama ilivyo ada kwao, hawafuati weledi wa kibiashara au kuona jinsi ya kupata mapato endelevu, wao ni kutimiza amri ya mkubwa wao, iwe isiwe.
Mfano:
Wafanyakazi wawili wawili au watatu wanapewa kampuni mbili au tatu na wanatakiwa watazame makosa ya kiuhasibu ndani ya returns za mfanyabiashara zilizowasilishwa TRA hata miaka 10 iliyopita.
Haijalishi kama kuna wenzao walipita mwaka jana na mwaka juzi. Ni kama mtu anaamrishwa kuvuna shamba lililokwisha kuvunwa.
UKWELI hapo ni kwamba hakuna kodi ya mapato inayotafutwa, ni hela tu, basi. Uwe nazo usiwe nazo unalijua Jiji.
Hivyo makosa ya kiuhasibu yanatafutwa kwa nguvu. Tunajua fika level ya wahasibu wetu, ambao hata serikalini wapo, na makosa yanayoweza kufanywa.
Hiyo timu ya wakaguzi wa TRA wanapata makosa ya kulazimisha kama kumi hivi, na huo ndio mtaji wa βkodiβ, na si kutokana na mapato.
Kwanza, makosa hayo yajengewa uhalali wa kupigwa kodi
Pili, yanapigwa fine
Tatu, yanapigwa interest-riba
Yakijumlishwa ndiyo eti unaletewa assessment ya kodi unayodaiwa-wizi mtupu, maana hizi ni kodi za kupikwa.
Ukiwa na Tax Consultant ataweza kupangua baadhi ya hizo βkodiβ, kama huna TRA wanakimbilia akaunti yako benki na kukomba chochote kilichomo.
Sasa hii ni State Robbery.
Na haya yanafanyika kila leo.
Matokeo yake:
Sasa hivi kuna misururu ya wafanyabiashara kule matawi ya TRA, wanafunga biashara.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kodi iliyokokotolewa haitokani na mapato, bali makosa ya kiuhasibu.
Kodi iliyokokotolewa na TRA hao haiwezi kulipika kutokana na mapato ya kibiashara, hivyo mtu kulazimika kufunga biashara.
Makampuni tunayoyaona mitaani yametembelewa mara tatu au nne kwa mwaka, TRA wanataka kodi za kupikwa.
USHAURI
TRA inatakiwa ifanye kazi kwa madhumuni iliyo anzishwa, yaani kukokotoa kodi kutokana na MAPATO YA BIASHARA na si vinginevyo.
Sasa hivi kodi zinachukiliwa kutokana na punitive measures na si mapato, hivyo kula mtaji wa biashara.
Kiuchumi hili kosa linaua biashara nchini.
Hii itasaidia kupunguza usumbufu uliopo sasaNashauri; TRA wachunguzwe juu ya uhalali wa kodi zao. Kesi zimekuwa nyingi siku za hivi karibuni.
Wengi wanataabika zaidiMimi yalinikuta tayari hivyo hivyo ulivyoeleza.
Una biashara yoyote?Lipeni kodi acheni blah blah
Nadaiwa na TRA Kodi za kulazimisha jumla 167,970,600.34Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara.
TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma.
TRA kama ilivyo ada kwao, hawafuati weledi wa kibiashara au kuona jinsi ya kupata mapato endelevu, wao ni kutimiza amri ya mkubwa wao, iwe isiwe.
Mfano:
Wafanyakazi wawili wawili au watatu wanapewa kampuni mbili au tatu na wanatakiwa watazame makosa ya kiuhasibu ndani ya returns za mfanyabiashara zilizowasilishwa TRA hata miaka 10 iliyopita.
Haijalishi kama kuna wenzao walipita mwaka jana na mwaka juzi. Ni kama mtu anaamrishwa kuvuna shamba lililokwisha kuvunwa.
UKWELI hapo ni kwamba hakuna kodi ya mapato inayotafutwa, ni hela tu, basi. Uwe nazo usiwe nazo unalijua Jiji.
Hivyo makosa ya kiuhasibu yanatafutwa kwa nguvu. Tunajua fika level ya wahasibu wetu, ambao hata serikalini wapo, na makosa yanayoweza kufanywa.
Hiyo timu ya wakaguzi wa TRA wanapata makosa ya kulazimisha kama kumi hivi, na huo ndio mtaji wa βkodiβ, na si kutokana na mapato.
Kwanza, makosa hayo yajengewa uhalali wa kupigwa kodi
Pili, yanapigwa fine
Tatu, yanapigwa interest-riba
Yakijumlishwa ndiyo eti unaletewa assessment ya kodi unayodaiwa-wizi mtupu, maana hizi ni kodi za kupikwa.
Ukiwa na Tax Consultant ataweza kupangua baadhi ya hizo βkodiβ, kama huna TRA wanakimbilia akaunti yako benki na kukomba chochote kilichomo.
Sasa hii ni State Robbery.
Na haya yanafanyika kila leo.
Matokeo yake:
Sasa hivi kuna misururu ya wafanyabiashara kule matawi ya TRA, wanafunga biashara.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kodi iliyokokotolewa haitokani na mapato, bali makosa ya kiuhasibu.
Kodi iliyokokotolewa na TRA hao haiwezi kulipika kutokana na mapato ya kibiashara, hivyo mtu kulazimika kufunga biashara.
Makampuni tunayoyaona mitaani yametembelewa mara tatu au nne kwa mwaka, TRA wanataka kodi za kupikwa.
USHAURI
TRA inatakiwa ifanye kazi kwa madhumuni iliyo anzishwa, yaani kukokotoa kodi kutokana na MAPATO YA BIASHARA na si vinginevyo.
Sasa hivi kodi zinachukiliwa kutokana na punitive measures na si mapato, hivyo kula mtaji wa biashara.
Kiuchumi hili kosa linaua biashara nchini.
Nadaiwa na TRA Kodi za kulazimisha jumla 167,970,600.34
Nimemua kumwachia Mungu hata sielewi
Wakuu hii kitu imekata vipi,nafikili ni mda kuwa na mjadala juu ya TRA, wa kitaifa, kweli tunapenda mapato ila sio KWA upepo huu wa TRA
Kuna rafiki yangu kigoma kapewa charge ya madai makubwa mwamba alikua alipi kodi vizuri,Sasa jamaa siku ya pili Hali chakula, na sijui what will be next to him
Nafiki kunaitajika mjadala wa kitaifa Kama kweli TRA hii itatuvusha, au ivunjwe tuanzishe chombo kipya na watu wapya wasasa naona hawafai hata ukiifumua, wakabaki wale wale
Ujembe wao ungejidhihirisha kwenye kuondoa hizi kero otherwise hawana lolote kazi kuchomekea surual za vitambaa na mashati Yao ya blue.TRA inaweza kuwa inaongoza tanzania kwa kuajiri majembe tanzania ndio taasisi bora kimahesabu kwa mujibu wa bodi ya wahasibu tatizo maagizo
Level ya discont dhidi ya TRA kwa sasa ni kubwa.Ifike mahali, wananchi tutangaze kuwa TRA ni adui wa mwananchi, ni adui wa maendeleo, na adui mkuu wa Taifa.
Kiundwe chombo kingine kipya. TRA kwa ujumla ni genge la wevi wanaotumia mgongo wa Serikali.
Kuanzishwe jumuia ya walipa kodi. Jumuia hiyo ikiwa na nguvu ya kutosha, hakuna mlipa kodi atakayeonewa na hawa wahuni TRA. Kuwe na ada ya wanachama. Itakuwa jukumu la jumuia hii kutetea wanachama wake.
Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kuunganisha nguvu za wanachama, ikibidi hata kuitisha mgomo wa walipa kodi. Wanachama wanaweza kugomea kufungua viwanda vyao na biashara zao hata kwa mwezi mmoja ikilazimu ili kuishinikiza Serikali kuisimamia TRA .
TRA inaweza kuwa inaongoza tanzania kwa kuajiri majembe tanzania ndio taasisi bora kimahesabu kwa mujibu wa bodi ya wahasibu tatizo maagizo
Kwa huo ujinga wa kujipa vichwa mnashindwa hata kueleza na ku interprt misingi ya With Holding Tax, kulinganisha na Corporate Tax, ikiwa ni pamoja na provisional tax.TRA inaweza kuwa inaongoza tanzania kwa kuajiri majembe tanzania ndio taasisi bora kimahesabu kwa mujibu wa bodi ya wahasibu tatizo maagizo
Kwa huo ujinga wa kujipa vichwa mnashindwa hata kueleza na ku interprt misingi ya With Holding Tax, kulinganisha na Corporate Tax, ikiwa ni pamoja na provisional tax.
Sijawahi kuona afisa wa TRA ambaye amezielezea hizi kodi tatu kwa pamoja, na akaeleweka.
Maafisa wngi wa TRA ni mediocre tu, no less.
Tulia kada dawa ikuingie.Una matatizo ya kimsingi, na pengine hata uwezo wa kudadavua kwako ni duni kiasi.
Kwamba nashabikia chama tawala haina maana kubariki madudu ya watendaji.
Na unajaribu kuingiza siasa uchwara mahali pa kutumia akili ya kiutendaji.
Kama umesoma Mzumbe tukupe pole tu.
Lipeni kodi, mimi kama mzalendo nanufaika pale kodi inapokusanywa na kupeleka maendeleo kwa wananchi wanyongeKodi zipi? Maana kodi za kawaida zinalipwa vizuri au unataka walipe kodi VAT za kubambikiwa kwa uonevu? Wewe utakuwa ni mmojawapo wa maofisa wanawafungia A/C wafanyabiashara, wewe ni mnufaika wa huo uonevu wote
Ndio wewe unayo ?Una biashara yoyote?
labda unaokitana nao hao wa presumptive taxes.mi muhasibu wa kampuni ya mtu ukweli hawa wa LTD ni wakali balaaKwa huo ujinga wa kujipa vichwa mnashindwa hata kueleza na ku interprt misingi ya With Holding Tax, kulinganisha na Corporate Tax, ikiwa ni pamoja na provisional tax.
Sijawahi kuona afisa wa TRA ambaye amezielezea hizi kodi tatu kwa pamoja, na akaeleweka.
Maafisa wngi wa TRA ni mediocre tu, no less.