Kodi za TRA kwa model za gari zipo fixed ,hata ukipewa gari bure kodi ni ile ile hawaangalii bei uliyonunulia huko Japan/Abroad...Zamani ndiyo walikuwa wanacharge based on CIF.Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari.
Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu Japan, nikataka gari wakaninunulia kwa mtu na sio zile za mnada wala Za dealership. Hii gari lazima iwe bei nafuu lakini ukija TRA wanakwambia hiyo sio bei yake umeshusha. Sasa wao wanataka sio tununue magari tuuziwe bei kubwa ndio wafurahi ama?
Mkuu kabla ya kulaumu jitahidi upate taarifa sahihi. Yule Ommy gari yake kadanganya taarifa za gari. Gari ni G63 yamwaka fulani(G63 ni top range ya G Wagon) yeye kaandika ni base model ya mwaka wa nyuma.Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari.
Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu Japan, nikataka gari wakaninunulia kwa mtu na sio zile za mnada wala Za dealership. Hii gari lazima iwe bei nafuu lakini ukija TRA wanakwambia hiyo sio bei yake umeshusha. Sasa wao wanataka sio tununue magari tuuziwe bei kubwa ndio wafurahi ama?
We una uthibitisho gani kama kadanganya?Mkuu kabla ya kulaumu jitahidi upate taarifa sahihi. Yule Ommy gari yake kadanganya taarifa za gari. Gari ni G63 yamwaka fulani(G63 ni top range ya G Wagon) yeye kaandika ni base model ya mwaka wa nyuma.
Mwaka na model una determine kiwango cha ushuru.
Ingawa TRA kwenye bei za magari mnaweza kutofautoana wao wameweka bei kila gari wanavyojua wao ili kuweka kiwango maalum kwa gari fulani ya mwaka fulani maana kila mtu atakuja kusema bei yake. Ila kichekesho ukileta invoice kubwa kuliko bei yao watatumia invoice yako.
Mbinu nyingi rahisi za kuthibitisha, mojawapo chassis number. Nenda kwenye kifaa chako unachotumia humu, Google VIN (Vehicle indentifcation number) weka chassis number ya gari yeyote itakupa model ya gari, mwaka iliyotengenezwa, Nchi ilikotengenezwa nk.We una uthibitisho gani kama kadanganya?
WAkati mnakusanya bima, hua hamfanyi uchunguzi huo wa kina?Tulishawahi miaka ya nyuma (Kampuni ya bima) kubaini basi lilipata ajali na kudai fidia ya comprehensive insurance chassis yake ni Scania lorry. Tulibaini baada ya ku-request vehicle history VIN. Hakulipwa.
Wanajisifia kudhurumu watu kirahisi tu.WAkati mnakusanya bima, hua hamfanyi uchunguzi huo wa kina?
Alikata bima kwa chassis ya bus ila ikisoma roli na ninyi mkakubali baadae kapata ajali mkamdhurumu kwa kujifanya mmetumia goggle baadae ule mpunga mnachukua ninyi mgenkua Nchi zinazojitambua mngemlipa hela nyingi sana.Mbinu nyingi rahisi za kuthibitisha, mojawapo chassis number. Nenda kwenye kifaa chako unachotumia humu, Google VIN (Vehicle indentifcation number) weka chassis number ya gari yeyote itakupa model ya gari, mwaka iliyotengenezwa, Nchi ilikotengenezwa nk.
Tulishawahi miaka ya nyuma (Kampuni ya bima) kubaini basi lilipata ajali na kudai fidia ya comprehensive insurance chassis yake ni Scania lorry. Tulibaini baada ya ku-request vehicle history VIN. Hakulipwa.
Dunia hii ya leo na Teknolojia uwezo wa kudanganya hayo ni mdogo labda maafisa wasipokuwa makini na hata ukidanganya leo ukipata Mtu mzuri anayeweza ku-analyse mambo utadakwa tu.
Wasanii sana, ni kama beetting tu mkeka ukichanika hawaangalii kama kuna fixed match, ukipiga mzinga wanaanza kutafuta mbinuWanajisifia kudhurumu watu kirahisi tu.
Waongo hao wanajua bus nyingi zina chassis za truck sio bus ili wawaibie watu na wasiwalipe Bima kubwa harafu anakuja kujisifia hapa kama hiyo michezo sisi hatuijui..Wasanii sana, ni kama beetting tu mkeka ukichanika hawaangalii kama kuna fixed match, ukipiga mzinga wanaanza kutafuta mbinu
Kwenye Bima kuna kitu kinaitwa Utmost of good faith, declaration of material fact nk. Kama mhitaji wa bima unatakiwa kuwa mkweli juu ya mali uliyokatia bima na bima inakuwa mkweli mkweli itakulipa utakapopata janga. Hii ni universal principal.Alikata bima kwa chassis ya bus ila ikisoma roli na ninyi mkakubali baadae kapata ajali mkamdhurumu kwa kujifanya mmetumia goggle baadae ule mpunga mnachukua ninyi mgenkua Nchi zinazojitambua mngemlipa hela nyingi sana.
Hawa watafikiwa tu na wao siku moja, haiwezekani uchunguzi mkali sana uwe kwenye kulipa fidia, ila kwenye kukusanya ada za mwaka process ziwe chache tuWaongo hao wanajua bus nyingi zina chassis za truck sio bus ili wawaibie watu na wasiwalipe Bima kubwa harafu anakuja kujisifia hapa kama hiyo michezo sisi hatuijui..
Hapo ni kuingilia majukumu ya vyombo vingine na itakuwa kituko kampuni yeyote Duniani itakayofanya hivyo. Mathalani kwa kesi hiyo ya Ommy, unafikiri Kampuni ya bima ni practicle kufanya uchunguzi ikiwa document za mamlaka ya mapato (car registration) zimethibitishwa na wao ikiwemo uhalali wa umiliki 'insurable interest'.WAkati mnakusanya bima, hua hamfanyi uchunguzi huo wa kina?
Hiki unachosema ndo tunataka kukipingaIkiwa kuna kampuni itaruhusu kufanya uchunguzi, itakimbiwa na wateja on the spot. Unafikiri nani atakubali kusubiria Bima yake wiki nzima au mwezi kwa sababu mnafanya uchunguzi!!
Kitalaamu ili mtu akate Bima inatakiwa awe na roadworth certificate ndio inakua kama base ya taarifa za hiyo gari sema kwetu tunaruka vitu vingi sana ndio maana unaona sawa kwa kilichofanyika.Kwenye Bima kuna kitu kinaitwa Utmost of good faith, declaration of material fact nk. Kama mhitaji wa bima unatakiwa kuwa mkweli juu ya mali uliyokatia bima na bima inakuwa mkweli mkweli itakulipa utakapopata janga. Hii ni universal principal.
Ukiiba gari, ukaikatia bima si jukumu la Kampuni ya bima kwenda Polisi kufanya uchunguzi wa umiliki. Ila likipata ajali na ukadai, kuna mawili, unaweza kupona pale ambapo Bima hawajahisi fraud ila wakinusa fraud inaingia hatua ya pili ya uchunguzi. Wengi wamedakwa kwa njia hiyo, kuanzia waliochoma nyumba, magari, kuficha mali ili walipwe na kadhalika.
By the way, mimi nilkuwa kampuni ya uchunguzi wa madai ya bima, na nilikuwa mzuri kwenye hilo. Hilo la VIN ni jambo dogo kwangu. Kubwa ilikuwa kubaini hata ajali yenyewe ina kipengere na mwenye gari alikuwa mpole mambo yasifike mbali iishie tu kutokulipwa.
Usiseme Duniani Mkuu SA hauwezi kukata Bima bila kuwa na ubora wa gari yako kuruhusiwa kuwa bara barani wanaita roadworth certificate bongo mnafanya vitu kienyeji sana harafu mnasema Dunia nzima ya wapi..Hapo ni kuingilia majukumu ya vyombo vingine na itakuwa kituko kampuni yeyote Duniani itakayofanya hivyo. Mathalani kwa kesi hiyo ya Ommy, unafikiri Kampuni ya bima ni practicle kufanya uchunguzi ikiwa document za mamlaka ya mapato (car registration) zimethibitishwa na wao ikiwemo uhalali wa umiliki 'insurable interest'.
Ikiwa kuna kampuni itaruhusu kufanya uchunguzi, itakimbiwa na wateja on the spot. Unafikiri nani atakubali kusubiria Bima yake wiki nzima au mwezi kwa sababu mnafanya uchunguzi!!