Tra wanapiga simu za kuita watu kazini

Tra wanapiga simu za kuita watu kazini

Habar zenu wadau wa tra.Jana kuna mtu alienda kuliza kama wamemaliza kuita, akambiwa kuwa wamemaliza na wameita watu 91 kwa ass tax ofcrs
Kuna jamaa anafanya kazi pale nilimuliza kuhusu hii ishu akasema kuna baadhi ya vitengo vinaweza vikawa vinahitaji watu kwa hio usishangae ukisikia fulani kaitwa na si lazima ukitwa na wewe uende training ITA, unaweza kuingia mzigon moja kwa moja.
Tuombe Mungu kuwe na mapengo yanayohitaji kuzibwa mapema, labda tunaweza husika kuyaziba.
Pamoja sana wadau wenzangu wa tra
 
Kuna jamaa alinambia kupata kazi TRA ni lazima uwe Mchaga ni kweli?
 
Mmmmmh....hiyo ya wa chagga ndo wanapiga mzigo TRA sio kweli! Sema wachaga weng wanapenda sana TRA.......me nimepigiwa sim leo asubuh!
 
mimi mwenyewe kuna jamaa namfahamu kaitwa, ni mchaga
Wengi tuu zile ofisi zao majina ni yale yale inafikia kipindi wengine wanaficha SURNAME na kutumi za kizungu.
Mtu anajiita Godlisten Eliakim Joseph
 
Back
Top Bottom