Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
Jamani tra leo mchana wameni call kuitwa kazini ass tax officer,wengine wekeni simu zenu karibu maana hawa jamaa nimekuta missed call 7 walikuwa wananitafuta since morning!
Angalia usitapeliwe ... hoax

kwa aliyepata barua ashajua kureport training tar 17/3 itakua muda gani?maaana barua haijasema
Aje aje pale?jaman leo hakuna aliepigiwa cm au ndo kushneh!