TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

mlizoea vya bure mbona watumishi wanalipa kila mwisho wa mwezi na hawalalamiki!
unakuta mwalim analipwa laki tatu na analipa kodi ,wewe mfanya biashara unapata zaid ya laki tano lakin hautaki kulipa kodi!
Salooni ya kunyoa kwa 1000 kwa siku anapata laki 5 kwa mwezi.

Utafiti wa saloon
Kunyoa wastani wa watu 10 kwa siku=10,000tzs

MATUMIZI
Kula mchana 2000
Familia chakula 5000
Umeme siku 1500
Kodi ya jengo 1000
Mafuta na Spirit 500

Makadirio ya chini ya kodi 150,000/= kwa mwaka huyu atalipa nini?
 
Salooni ya kunyoa kwa 1000 kwa siku anapata laki 5 kwa mwezi.

Utafiti wa saloon
Kunyoa wastani wa watu 10 kwa siku=10,000tzs

MATUMIZI
Kula mchana 2000
Familia chakula 5000
Umeme siku 1500
Kodi ya jengo 1000
Mafuta na Spirit 500

Makadirio ya chini ya kodi 150,000/= kwa mwaka huyu atalipa nini?
Hawaangalii Matumizi yako wanaangalia unachoingiza
 
Du ndugu ungekaa chini kwanza uandike vizuri.TRA sijawahi sikia ati sheria zao zinakutaka upakize ng'ombe kwenye Lori. Halafu kama unatunza kumbukumbu zako za biashara kwa nn ufunge duka? Mbona mm nipo Tunduma ndiyo kwanza napiga biashara yangu sababu sioni kwa nn niwaogopevTRA hali ya kuwa najua kiwango nachopata nastahili lipia 150,000 kwa mwaka. Tatizo tukiwa hatujitambui ndiyo tunatafuta sababu.Hakuna sheria TRA inataka ubebe ng'ombe kwenye Lori, hao jamaa wao ni watu wa kukusanya Kodi tu.Kama unaona vipi kuja jamaa mm huwa wananisaidia sana kama nakuwa na utata 0800780078 au 0800750075
 
Na yule Nyoko kule mpaka ajinyee, alifikri mambo mteremko? Na yeye vyuma vimekaza! Nawaunga mkono wafanyabiashara wa Songwe waliohamishia Zambia,, wakirudi nitawaona maboya! Tena naagiza wote wahamie huko!
Hahahahah
 
Ukijua matawi wenzio wanajua mizizi. Tunduma mji wa mpakani na Zambia wafanyabiashara wote wa Tanzania wamehamia upande wa Zambia. Sasa TRA Tunduma hata hicho kidogo hawapati. Wanunuzi wa bidhaa zao ni watanzania waishio Tunduma kodi inalipwa Zambia kwenye mamlaka ya kodi ya kistaarabu
Safi sana hao wafanya biashara wa mpakani nmewapenda bure maana wamejiongeza hii tra ya magu inataka kuwafilisi watz.
 
Mimi nikienda dukani km nomenunua kitu cha 50,000 namwambia jamaa kabisa aandike risiti ya 10,000.

Si kaamua kubana?? Na mimi nabana zaidi
 
Wanavyokadiria sio haki kwani wanaangalia mauzo ya mteja badala ya faida. Faida ndiyo tunagawana na sio mtaji wangu
 
Hiyo ni Argentina na huwezi kuifananisha na taka taka km Tz. Kule bado wanafunzi wanakaa chini?
*Kule raisi anafuta ajira?
*Anakula hela za marehemu (rambi rambi)?
*Hatoi nyongeza ya mshahara?
*wamefuta fao la kujitoa?
*Kule kuna sheria ya vyeti lkn baadhi ya watu wenye vyeti feki wanaachwa?
*kule kuna risaasi inapiga kona inaua mpaka mwananchi asiyekuwa na hatia?
Vp kuhusu biashara, ongelea biashara
 
Back
Top Bottom