TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

Argentina ,chile Uruguay hata nchi maskini za Europe kama Serbia na bosnia na Gerogia kila mtu analipa kodi # watanzania sisi ni watu waajabu sana tupenda kuitwa wanyonge kwa uzembe wetu tuache burebure tuchape kazi@ mim sina chama lakini ukweli lazima niongee
 
Hiyo ni Argentina na huwezi kuifananisha na taka taka km Tz. Kule bado wanafunzi wanakaa chini?
*Kule raisi anafuta ajira?
*Anakula hela za marehemu (rambi rambi)?
*Hatoi nyongeza ya mshahara?
*wamefuta fao la kujitoa?
*Kule kuna sheria ya vyeti lkn baadhi ya watu wenye vyeti feki wanaachwa?
*kule kuna risaasi inapiga kona inaua mpaka mwananchi asiyekuwa na hatia?
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania,wanachokifanya kwa serikali ya awamu ya Tano ni unyanyasaji wa wananchi masikini wa nchi hii.

Mwananchi ambaye ameona ajiajiri mwenyewe ili ajiepushe na uhalifu kama vile ujambazi lakini kwa hali ilivyo sasa inatisha

TRA mwanza nimeshuhudia wakifunga visalooni ambavyo wateja wake hunyoa kwa sh 1000, kisa hajalipa kodi,fundi cherehani tena wanaorepair nguo nao wanafungiwa kisa hawajalipa kodi

Pia nikashuhudia wafanyabiashara wa ng'ombe kwenye minada wanapigwa faini kubwa kisa wanasafirisha ng'ombe bila kutumia malori,nimeshuhudia maafisa wa TRA wakiomba elfu 70 faini kwa kila ng'ombe,fikiria umenunua ng'ombe watatu kwa sh laki 6, unalipa sh laki 210 hii ni haki kweli

Chonde chonde serikali kupitia TRA wanajitathimini namna wanavyolipisha wananchi kodi za ajabu ajabu

Jamani salooni ya kunyoa sh 1000 ana mashine moja anatakiwa kulipa kodi,huu sio unyanyasaji,
Fundi cherehani masikini anayesubiria nguo ya mtu ichanike naye anambiwa alipie kodi
 
Jamaa ambaye yupo pale white house hawezi kujuwa uchungu wa 1000 kwa mana yeye anunui hata kibiriti.. Atasimamiaje mambo haya ya wafanya biashara wadogo.. Mimi najutia kura yangu

Ww wakupiga makofi metuletea mtu wa ajabu sana.
*Kaja na watu wasiojulikana
*Wahanga wa tetemeko hela zao za rambi rambi zilichukuliwa
*Kafuta ajira
*Hakuna fao la kujitoa
*Hakuna nyongeza ya mshahara
*Zoezi la Vyeti feki limeendeshwa kibaguzi sana kiasi kwamba km ni unyanyasaji. Sheria ni msemeno kwann sehemu zingine msumeno haujapita? Ni sawa una watoto 2 na wa jirani yako 2 na wote wamefanya kosa. Unachapa wa majirani lkn wa kwako huwachapati. Hiyo ni haki?
*Trilion 1 imepigwa peupe.
N:B
Ungekuwa karibu halafu ndiyo unasema kwa ''unaijutia kura yako'' ningekupiga ngumi ya sikio ili ujifunze siku nyingine ujifunze kukaa kimya.
 
Hiyo ni Argentina na huwezi kuifananisha na taka taka km Tz. Kule bado wanafunzi wanakaa chini?
*Kule raisi anafuta ajira?
*Anakula hela za marehemu (rambi rambi)?
*Hatoi nyongeza ya mshahara?
*wamefuta fao la kujitoa?
*Kule kuna sheria ya vyeti lkn baadhi ya watu wenye vyeti feki wanaachwa?
*kule kuna risaasi inapiga kona inaua mpaka mwananchi asiyekuwa na hatia?
Hata Rwanda machinga wanalipa Lodi# Burundi hadi baiskeli inalipia kodi @ kodi ni lazima kwa maendeleo
 
Ni halali yao kulipa kodi siyo huku raisi anafuta ajira, fao la kujitoa, hakuna nyongeza ya mshahara. Ulipe kodi hiyo hela unaitoa wapi?
 
Hii mamlaka hii, hii mamlaka hii! Iko siku tu
 
Ww wakupiga makofi metuletea mtu wa ajabu sana.
*Kaja na watu wasiojulikana
*Wahanga wa tetemeko hela zao za rambi rambi zilichukuliwa
*Kafuta ajira
*Hakuna fao la kujitoa
*Hakuna nyongeza ya mshahara
*Zoezi la Vyeti feki limeendeshwa kibaguzi sana kiasi kwamba km ni unyanyasaji. Sheria ni msemeno kwann sehemu zingine msumeno haujapita? Ni sawa una watoto 2 na wa jirani yako 2 na wote wamefanya kosa. Unachapa wa majirani lkn wa kwako huwachapati. Hiyo ni haki?
*Trilion 1 imepigwa peupe.
N:B
Ungekuwa karibu halafu ndiyo unasema kwa ''unaijutia kura yako'' ningekupiga ngumi ya sikio ili ujifunze siku nyingine ujifunze kukaa kimya.
Ni kweli mkuu nisamehe tu kwa mana sijui nikilogwa narudia tena Najuuta kupigia kura Upepo
 
Ni halali yao kulipa kodi siyo huku raisi anafuta ajira, fao la kujitoa, hakuna nyongeza ya mshahara. Ulipe kodi hiyo hela unaitoa wapi?
tatizo kwa magu ni fao lakujitoa , kubinywa kwa demkcrasia na jpm kuwa ndio government speaker personnel
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania,wanachokifanya kwa serikali ya awamu ya Tano ni unyanyasaji wa wananchi masikini wa nchi hii.

Mwananchi ambaye ameona ajiajiri mwenyewe ili ajiepushe na uhalifu kama vile ujambazi lakini kwa hali ilivyo sasa inatisha

TRA mwanza nimeshuhudia wakifunga visalooni ambavyo wateja wake hunyoa kwa sh 1000, kisa hajalipa kodi,fundi cherehani tena wanaorepair nguo nao wanafungiwa kisa hawajalipa kodi

Pia nikashuhudia wafanyabiashara wa ng'ombe kwenye minada wanapigwa faini kubwa kisa wanasafirisha ng'ombe bila kutumia malori,nimeshuhudia maafisa wa TRA wakiomba elfu 70 faini kwa kila ng'ombe,fikiria umenunua ng'ombe watatu kwa sh laki 6, unalipa sh laki 210 hii ni haki kweli

Chonde chonde serikali kupitia TRA wanajitathimini namna wanavyolipisha wananchi kodi za ajabu ajabu

Jamani salooni ya kunyoa sh 1000 ana mashine moja anatakiwa kulipa kodi,huu sio unyanyasaji,
Fundi cherehani masikini anayesubiria nguo ya mtu ichanike naye anambiwa alipie kodi
mlizoea vya bure mbona watumishi wanalipa kila mwisho wa mwezi na hawalalamiki!
unakuta mwalim analipwa laki tatu na analipa kodi ,wewe mfanya biashara unapata zaid ya laki tano lakin hautaki kulipa kodi!
 
daah ajira hakuna biashara ngumu kilimo hakuna suko zuri la mkulima shule za msingi walimu ni wachache mnoo gharama za maisha zimekuwa juu mishahara haiongezeki mikopo hailipiki Hawa mabeberu na mafisadi walio tufikisha hapa Mungu anawaona ngoja nitembee kifua mbele npo kwenye right track
mkuu utakuwa unatumiwa na mabeberu kuvuruga a man yetu
 
Back
Top Bottom