Habari za jioni wadau??
TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!!
Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14!
Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!!
Vitu vya kwenda navyo siku ya interview ni
1.Barua ya kuitwa kuhudhuria usaili!
2. Picha mbili za passport size!!
3.Vyeti Original
4. Cheti cha kuzalia
5. Kikokotozi!
Naombeni msaada wenu pls! Maswali yanakuaje,maana kabla ya kwenda vitani,mchunguze kwanza adui yako anatumua zana zipi za maangamizi!!