SIOMIMI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 326
- 66
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye email zenu angalieni
UPDATES
Nimeambatanisha files zenye kada zote zilizofanya usaili
UPDATES
Kwa wale waliofanya interview ya TRA wameanza kupiga simu ya kwenda kuchukua barua, na unatakiwa mpaka tarehe 16 may uwe umeripoti kituo chako cha kazi