TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

Acha roho mbaya we kijana,Ukiendelea utakuja kuwa mchawi mbaya sana,
Roho MBAYA unayo wewe ambaye umeshafikiri na kuamini kabisa kuwa kukwepa kodi ni HAKI. Kama unaamini alichofanya ni roho mbaya na unahisi una dini katubu.
 
Nilijifunza mengi sana ughaibuni...maendeleo hayaji kama ndoto arifu
 
Safi sana wahusika wameona TIN hiyo. Haiwezekani wengine tukamuliwe hadi mwisho wengine wateleze na ganda la ndizi tu.
Em adhibitishe kwamba alitoa 210,000/= badala ya 178,000/= kama mkataba halali (risiti) unavyotamka, tumuamini yeye au mkataba halali?
 
Hapa namuona huyu mfanyabiashara akihaha......

Maana UIN yake inamuanika haswa,kuanzia TIN No yake mpaka S/No ya hiyo mashine yake...

Hii ni balaa aisee.

Mleta mada,umemchoma huyo jamaa.
 
Hapa namuona huyu mfanyabiashara akihaha......

Maana UIN yake inamuanika haswa,kuanzia TIN No yake mpaka S/No ya hiyo mashine yake...

Hii ni balaa aisee.

Mleta mada,umemchoma huyo jamaa.
Kuna mashine nyingine fake aiseee huenda asidakwe
 
Em adhibitishe kwamba alitoa 210,000/= badala ya 178,000/= kama mkataba halali (risiti) unavyotamka, tumuamini yeye au mkataba halali?
Kama huyo mfanyabiashara ni mazoea yake ,Na wakitaka kufuatilia ajue kuna mtego utawekwa,
Siku hizi wenye maduka ndio wanakulazimisha mteja uchukue risiti
 
Hapo umepigwa changa la macho, mbona liko wazi kabisa.

Ila huu u chungu ungekuwa unauonesha kwa magamba ambao ndio majambazi sugu ningekuelewa maana hawa ni watoto wa gambas.

"Mtoto wa nyoka no nyoka"
 
We ..., sasa umemsaidia nini? yani hata tatizo hajalijuwa mfanyabiashara ushakwenda kuripoti na kuanika taarifa zake zote, ungekaa ukamshauri naamini angebadilika, sasa unataka watu wachukulie kiki kwake, jiulize hivi kama una uchungu na nchi na watanzania ungemwambia taarifa za kwenye hii risiti nitafikisha polisi endapo hutorekebisha ndani ya masaa 24 huu mfumo wako, halafu ukashade hiyo risiti zile particulars za mfanyabiashara (kama ulivyo shade jina lako na particulars zako hapa jf) ukaiweka hapa ungepungukiwa kitu?
 
Yaani wewe ndo ningekuwa nimekuuzia mimi umekuja kunianika humu lazima nilale na wewe nyuma kwa nyuma,halafu nyi wateja wa bei rahisi wa kutoa vi laki laki ndo mnajifanya mna uchungu sana, mi mtu kama wewe ningekurudishia pesa yako ukanunue kwingine..haya maisha watu tunakamuliwa kodi lukuki sijui fire, dawasco,jiji,tra kama una stoo pia wanataka uwe na risiti zake halafu mtu anakuja kukuvuruga eti mbona risiti siyo
 
Nilijifunza mengi sana ughaibuni...maendeleo hayaji kama ndoto arifu
Na maendeleo hayaji kwa kufuta ajira, na kuwanyima watu baadhi ya stahiki zao.
baadhi ya viongozi wanahiaribu hii nchi.
Akilipa kodi fulani siyo lazima na mm nilipe. Hiyo kodi atalipa Magu na Bashite wake
 
Na mamako
Punguza jazba ndugu. Ukiona idadi kubwa ya watu hawaipendi hii nchi, wanakwepa kulipa kodi au hawataki kusikia neno uzalendo. Usikimbilia kuwalaumu watu. Chunguza ni kitu kmewafanya wawe hivyo?
Ukiona mtoto wako kila ukifika nyumbani anakosa furaha au anakimbilia chumbani hata km ulimkuta sebuleni, hebu chunguza huenda ww una matatizo.
 
Huduma zipi ambazo zimeshaboreshwa kwa kutumia hizi kodi zetu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…