Tayar huyu jamaa ni mchawi. Kwa roho hiyo duh hivi kwa Tanzania hii hii niwe mzalendo wa kulipa kodi ili iweje?Acha roho mbaya we kijana,Ukiendelea utakuja kuwa mchawi mbaya sana,
Mnoko
Jamaa anadaiwa pesa ya pango
Luku
Ada ya watoto
Akiagiza bidhaa kutoka nje
Kodi anayohesabiwa ni kubwa kuliko gharama za bidhaa
Alipe 100% kodi si ataumia na kufunga biashara
Kuweni na huruma basi.khaa hakuna aliyetajirika kwa kulipa kodi 100%
Acha unoko ww lzm ni msukuma
Tayar huyu jamaa ni mchawi. Kwa roho hiyo duh hivi kwa Tanzania hii hii niwe mzalendo wa kulipa kodi ili iweje?
Tayar huyu jamaa ni mchawi. Kwa roho hiyo duh hivi kwa Tanzania hii hii niwe mzalendo wa kulipa kodi ili iweje?
Na hawa ndio waTanzania....Acha roho mbaya we kijana,Ukiendelea utakuja kuwa mchawi mbaya sana,
Kwa hiyo usipodai receipt utanufaika na nini? haujui hiyo yote inaenda kwenye tumbo la huyo ambapo ingeenda kuboresha huduma za jamii.Tayar huyu jamaa ni mchawi. Kwa roho hiyo duh hivi kwa Tanzania hii hii niwe mzalendo wa kulipa kodi ili iweje?
Hajaiba chochote, labda tu mashine yake haijaonesha total include VATNimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/= ni 37, 800 na risiti yake ilipaswa kusomeka:
cash ni 172, 200
VAT 18% ni 37, 800
Hivyo Total cash isomeke 210, 000 akawa hana majibu.
Kama mtanzania mlipa kodi sikuridhika. Wito wangu kwa mamlaka ya Mapato nchini kukagua mashine hizi, nimegundua maduka mengi ya vifaa vya ujenzi hayana kabisa hizi mashine hivyo kuwepo na mwanya wa ukwepaji kodi kwa kutolipa kodi sahihi.
Ni hakika mkuu mwisho wa siku hakuna kitakachopotea hapo kama kodi ya serikaliHajaiba chochote, labda tu mashine yake haijaonesha total include VAT
178,000 * 1.18 = 210,040
Tuna tatizo sana mkuu hizi akili za kulialia.Ni ujinga kushabikia mkwepa kodi lakini ni upuuzi zaidi kulaumu wafichuaji wa wakwepa kodi. Pengine inaonesha kuwa watanzania wengi ni irresponsible citizens.
Asante muanzisha uzi kwa kufichua hilo. Niliwahi lizungumzia humu hili suala. Tatizo ni kubwa zaidi ya TRA wanavyoweza kufikiri.
Wafanya biashara wengi hawapendi kutoa risiti na wakiona unahitaji risiti basi wanafanya uhuni wa kupunguza kiasi ama kwa kukuomba wapunguze amount uliyowalipa au wanapunguza bila kukitaarifu.