ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 540
- 648
Huu lazima ni umbea wa kijiweni, mishahara lazima ina ngazi huwezi kukurupuka tu na kusema take home 3M bila kuainisha ni ya mfagiaji au karani au receptionist au Meneja. Kama NSSF wanapokea mshahara sawa kila Idara basi Dr Dau ni janga la kiduniaNSSF inafunika TRA NA TANAPA. NI BALAA NSSF TAKE HOME 3,000,000. BADO POSHO ZA KUFA KIUMBE
AH wapi inategemea na cheo.NSSF inafunika TRA NA TANAPA. NI BALAA NSSF TAKE HOME 3,000,000. BADO POSHO ZA KUFA KIUMBE
AH wapi inategemea na cheo.
uko sahihi, speaking from experience
Huu lazima ni umbea wa kijiweni, mishahara lazima ina ngazi huwezi kukurupuka tu na kusema take home 3M bila kuainisha ni ya mfagiaji au karani au receptionist au Meneja. Kama NSSF wanapokea mshahara sawa kila Idara basi Dr Dau ni janga la kidunia[/QUO
acha uboya nina bro anafanya kazi huko nssf naelewa nachosema...we niaje