BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
kuna mtanzania anayeishi kwa mshahara?Wana jamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu ni lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa wafanyakazi wake pamoja na marupurupu mengine. Akhsanteni