Kama ni hivyo basi TRA hawajitambuiMbona umen'gan'gania lipa kodi nimemsikiliza diamond kwenye hiyo video vizuri wala yeye alalamiki suala la kulipa kodi kwasababu yeyemwenyewe ni mlipaji mzuri wa kodi na amekuwa wanawasiliana vizuri na kukaa pamoja na TRA ila kinamshangaza ndipo key point ambapo TRA wanatakiwa wamjibu ni kitendo Cha kumfungia account zake bila kumpa taarifa yoyote juu la Hilo suala wakati wana number zake za simu, na pia wana njia nyingi za kumpa taarifa lakini hawajafanya na amejaribu kwenda TRA baada ya kufungiwa hawajampa majibu ya kueleweka zaidi ya kuambiwa nenda kwa mtu fulani na akifika kwa huyo anarushiwa kwa mtu mwingine bila kupewa majibu yoyote hiyo ndio key point ya malalamiko ya Diamond nashangaa wewe unaamisha magoal
Mshana Jr
Demi
🤣🤣🤣🤣🤣Hebu nionyeshe...nataka kumsalimia Chibu
Ndo wewe nini? 😅🤣🤣🤣🤣🤣
Mayor QuimbyHebu nionyeshe...nataka kumsalimia Chibu
Hili suala limenigusa kwasababu uncle wangu imewahi kumkuta hii kadhia alifungiwa account zake za bank na alitakiwa alipe kiasi fulani Cha kodi kinachodaiwa na TRA akawaomba wamfanyie audit accounting ya tax anayodaiwa ikakuta ni kiwango Cha tax ni kikubwa kuliko hata alichoambiwa alipe na TRAKama ni hivyo basi TRA hawajitambui
Mwenzako anakuchota akiliNdo wewe nini? 😅
Usinitanie lkn...am serious ujue😅😅. Namwendea pm
Ujue Zuchu anakupimia tu!😡Usinitanie lkn...am serious ujue😅😅. Namwendea pm
Achana na zuchu hana hata nyama nyamaUjue Zuchu anakupimia tu!😡
😡
Lakini ana room na nido za kuzugia.Achana na zuchu hana hata nyama nyama
Haijalishi. Mi Mondi namtaka...mfikishieni salamu zangu popote alipo.Lakini ana room na nido za kuzugia.
Huyu wenu si alisema kodi za dhulma, mbona ana apply formula?Kamuulize hayati kwake chato...
Yeye ndio alianzisha hii system....
Halafu waheshimiwa, nawaomba mtupunguzie usumbufu wa kuwafuata fuata kwenye ofisi zenu. Yaani ikiwezekana tukutane mara moja tu kwa mwaka; mwezi Machi, wakati wa makadirio.
Amekusikia.Haijalishi. Mi Mondi namtaka...mfikishieni salamu zangu popote alipo.
You made my morning aiseMifano yote alizikwa nayo......
Kuna mtu wakati ule alikuwa na thubutu ya kuleta malamiko yake kwenye media.....
Usijitoe ufahamu, wafanyabiashara walikuwa wanaishi kama wako Sobibor camp....
Acha upumbavu.Unajua ni familia ngapi ziliathirika kuhama kwa Manji?,Alipohama Manji Dengu na mbaazi zilitupwa jalalani kwa kukosa mnunuzi.Inaonekana unahudumiwa hujui maana ya uchumiAlihama manji na nchi haikuathirika yeye nani?
Alipe kodi na afuate utaratibu,TRA hawawezi muonea nasibu peke yake yeye nani