TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

EFD haipaswi kuwa gharama ya mfanyabiashara maana himsaidii kazi, inasaidia kazi ya TRA ambao wana bajeti tayari kutoka kwenye kodi wanazokusanya kwetu. Kuniambia niwanunulie EFD ni sawa na kusema pia tuwanunulie magari na vitendea kazi vingine, hiyo ni dhuluma na wizi wa mchana. EFD haimuongezei tija mfanyabiashara bali inawarahisishia TRA kazi, kwa hiyo ni jukumu la TRA kugharamia hizo EFD, vinginevyo ni WIZI MTUPU.

hakuna nchi ambayo EFD machine huwa ni mali ya serikali. Hawa TRA wanafanya uungwana kwa kuelewa uelewa ni mdogo.
kwani kitabu unachotumia sasa hivi kuandika risiti ni mali ya TRA?

EFD ni sharti na ni sehemu ya biashara yako. Eleweni umuhimu wake na aacheni mkumbo wa kukataa. Wengine tunahisi ni mazoea ya kukwepa kodi.

Waliokwisha zinunua sasa wanajaribu kudanganya kwa kuandika bei tofauti na pesa wanazopokea. Unanunua vitu vya laki 4, mtu anakushawishi aandike laki 2.
 
Humu ndani kuna watu wapuuzi sana wametumwa kupima upepo. Nendeni muwambie mabosi wenu wajipange upya haibiwi mtu hapa kama ni elimu msituchukulie poa.
 
hakuna nchi ambayo EFD machine huwa ni mali ya serikali. Hawa TRA wanafanya uungwana kwa kuelewa uelewa ni mdogo.
kwani kitabu unachotumia sasa hivi kuandika risiti ni mali ya TRA?

EFD ni sharti na ni sehemu ya biashara yako. Eleweni umuhimu wake na aacheni mkumbo wa kukataa. Wengine tunahisi ni mazoea ya kukwepa kodi.

Waliokwisha zinunua sasa wanajaribu kudanganya kwa kuandika bei tofauti na pesa wanazopokea. Unanunua vitu vya laki 4, mtu anakushawishi aandike laki 2.

Kitabu cha risiti ni tofauti sana na EFD, hata tofauti ya gharama ni kam mbingu na ardhi, havilinganishiki.
 
Asante ndugu yangu. Hawa akina TRA NasDaz na wenzie wanapaswa waje warudie kusoma hii post yako kisha wasome tena iliyoanzisha thread, ndiyo hoja hasa wanayoikwepa. Kinachoudhi zaidi ni kuwa wanakwepa hoja halafu wanaleta majibu ya kuudhi na wakati mwingine matusi kabisa.

Lakini nashukuru mheshimiwa Waziri Mkuu amelisikia hili na ametoa agizo jana. Kwa maelekezo yale ya mheshimiwa PM jana, kuna matumaini.
Unataka nirudie kuisoma post ambayo haina mantiki? Kwenye post yangu nilizungumzia TZS 180K as basic salary huyo unayetaka nimsome akaifanya ni NET salary halafu bado ananitaka nimsome vizuri badala ya yeye ndie anisome vizuri kwamba nilichosema 180K ni basic/gross na sio NET! In short, alichokiandika chote nimekijibu hivyo sina sababu ya kurudia kumsoma.

Ukitaja PM kutoa tamko wala haimaanishi kwamba madai yenu ni ya msingi. By the way, kwa mtu anayefuatilia mambo nchi hii anafahamu wazi kwamba hapajatokea matamko ya PM yakawa na mashiko. Miezi kadhaa iliyopita aliingia maamuzi ya waziri wa ujenzi na kudai kwamba anasimamisha kwa mwezi mmoja kabla ya serikali kuchukua uazmuzi. Zaidi ya miezi mitatu imepita...then unaleta habari za waziri asiyfahamu hata wajibu wake?!
 
You have no idea about how well i understand what i just wrote, to make your life simple, there is no getting around the fact that using Vodacom SIM card in any machine does not increase it's price by 10,000 fold. basi zile nokia Tochi kariakoo zisingeuzwa 50,000

Hakuna kitu special kilichofanyika ndani ya hizo machine, i can configure those ports to communicate with vodacom servers while am half asleep and drunk. that is distributed data networks 101.any one who has ever coded a line of java in tehir life will tel you that. UPUUZI wanaouchaji TRA sio wa kuushabikia.atleast not from me, or anyone with 1% knowledge of such implementation.
Unaweza kuwa mtaalamu kweli kweli, tena kupita wote lakini hiyo wala haimaanishi kwamba huwezi kupotosha!! Hoja yako ingekuwa na msingi endapo ungeweka hapa manufacturer price ili ndipo tuone it's too expensivie kwa bei ya laki 6 to 7.6....
Nimeweka Net ya 6000 kwa sababu nimejenga hoja yangu, kuonesha kuwa kuwa mtu anayelipwa 180,000 kwa mwezi bado anakipato kikubwa.
shida yako ndugu unataka nifikirie kama wewe, hiyo ni ngumu kidogo, kama sio ngumu sana.TUKO tofauti.
That's your problem an not mine. Wewe uli-quote post yangu ambayo iliweka 180K as gross salary. By rule of thumb, unapo-quote post maana yake ni kwamba unataka kujibu kilichopo kwenye post husika. Sasa basi, ikiwa post uliyokuwa ume-quote inazungumzia 180K as gross salary na wewe ukaweka kwamba 180K ni net basi inaonesha ama huelewi na ikiwa unaelewa basi huwa unakurupuka kujibu hoja bila kuitafakari.
kwa kuwa unapenda watu wafate mkumbo, let me catch your wago for just a bit.
Hutakiwi kufuata mkumbo coz' hili si jukwaa la wafuata mkumbo. Unachotakiwa ni kuelewa mada...ikiwa una-quote post maana yake ni kwamba unataka kujibu post husika na mengine ni nyongeza. Lakini ikiwa post imesema 180K ni gross na wewe ukaitumia hiyo 180K kwamba ni net in the same post; then hapo suluhisho sio kufuata mkumbo bali ku-pay attention to what is in the particular post.
Mpokea mshara gros ya 180,000 HALIPI PAYE. Kwani Taxable income yake ni 162,000 ambayo inafall chini ya kiwango cha serikali cha kukusanya PAYE. Unajua kwa nini?hata serikali na uroho wake wa kuonea wafanyakazi inamhurumia huyu hohehahe mpokea 180,000.sasa huyu akichukua hii 162,000 anabakia na 5,400 kwa mwezi, bado ni maradufu ya 2,000 anayobaki nayo mfanyakazi. Bado huyu anafaida ya kuwekewa hiyo 18,000*2 kila mwezi na mwajiri wake kama pensheni. Mfanyabiashara hana yote hayo.akitaka kujiunga kwa hiari, hana wa kumuongezea hiyo half anayopata mfanyakazi, na inakula kwenye ile 2,000 kwa siku anayopata.
Either way you spin it 14M a year revenue is nothing to boast about. Ndio maana wabongo wakisikia mtu analipwa $100,000 a year US wanaona huyu jamaa atakuwa tajiri sana, not knowing kuwa,this $100,000 is going to incure over 80$ expenses, leaving this poor broke with just a net of about $2000 a month as a cushion, in a country where insurance costs $1000, and a simple hospital procedures can run you $10,000.
Huwezi kufanya comparison kwa upande mmoja kutumia actual figures na upande wa pili kutumia imaginary figures. Hiyo elf 2 yako ni imaginari figure.

Kama unahisi ni lazima kutumia title, mine is NasDaz...nakushangaa sijui ni kwanini unapenda kuirudia hiyo title kwangu.
faida ya Machine kwa Mfanyabiashara, haiji kwa KUWA TRA wamezichagua. if i were to do SWOT analysis y ahivyo vidubwasha ningevitupa kama optiona ya 100,kati ya option za kumpa faida mfanya biashara.
Si kwa sababu TRA wamezichagua bali zinapaswa kutumika kwa mujibu wa sheria...nilikupa changamoto utafute government gazette ambako walitoa specifications zinazohitajika including sifa za dealers na manufacturers.
It all comes down to a simple thing, you do not force how people keep their records in the free market. all you can force them to do is in what format they bring that record to you. HOW they keep it, none of you efn business.
Tofauti na zamani, hivi sasa teknolojia ina-play part kubwa katika ku-solve matatizo sugu yanayotokana na mwanadamu kutotaka kuwajibika. Baada ya kuonekana watu ni wagumu kulipa bili za umeme; pande hizi zikaanzishwa LUKU! Wakati LUKU zinaingia, watu kama nyinyi msiotaka mabadiliko walikuwa wanapinga matumizi ya LUKU kama mnavypinga hivi sasa! Hadi leo bado nakumbuka jinsi gazeti la Majira lilipokuja na heading kwenye front page kwamba LUKU zilibuniwa SA ili kuwakomoa Black South Africans. Ikiwa watu hawataki kulipa kodi kwa ridhaa zao lazima upatikane mfumo utakaowezesha ukusanyaji huo.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe unajijua wewe ni choko halafu unataka kusingizia wengine? Hizo namba ulizopiga hadi 'versity' ndio zipi wewe? Hesabu nilizokuwa nazungumza hapa zinahusu kujumlisha na kutoa tu, nazo zimekushinda bado unajigamba na economics uchwara za 'versity'. Umethibitisha ukilaza wako vya kutosha, walioona wameona. Endelea kupiga 'namba hadi versity', sisi huku tunaendelea na maisha. Waziri Mkuu umemsikia?
Ngoja nikupuuze, samahani lakini!
 
Unataka nirudie kuisoma post ambayo haina mantiki? Kwenye post yangu nilizungumzia TZS 180K as basic salary huyo unayetaka nimsome akaifanya ni NET salary halafu bado ananitaka nimsome vizuri badala ya yeye ndie anisome vizuri kwamba nilichosema 180K ni basic/gross na sio NET! In short, alichokiandika chote nimekijibu hivyo sina sababu ya kurudia kumsoma.

Ukitaja PM kutoa tamko wala haimaanishi kwamba madai yenu ni ya msingi. By the way, kwa mtu anayefuatilia mambo nchi hii anafahamu wazi kwamba hapajatokea matamko ya PM yakawa na mashiko. Miezi kadhaa iliyopita aliingia maamuzi ya waziri wa ujenzi na kudai kwamba anasimamisha kwa mwezi mmoja kabla ya serikali kuchukua uazmuzi. Zaidi ya miezi mitatu imepita...then unaleta habari za waziri asiyfahamu hata wajibu wake?!

Madai ni ya msingi vinginevyo kiongozi mkubwa kama yule angeyapuuza. Wewe kama kwako matamshi ya PM hayana mashiko, kwetu sisi tunaoathirika na utendaji wenu mbovu matamshi haya yana mashiko na ndiyo reference ya hatua zitakazofuata.
 
Unaweza kuwa mtaalamu kweli kweli, tena kupita wote lakini hiyo wala haimaanishi kwamba huwezi kupotosha!! Hoja yako ingekuwa na msingi endapo ungeweka hapa manufacturer price ili ndipo tuone it's too expensivie kwa bei ya laki 6 to 7.6....
That's your problem an not mine. Wewe uli-quote post yangu ambayo iliweka 180K as gross salary. By rule of thumb, unapo-quote post maana yake ni kwamba unataka kujibu kilichopo kwenye post husika. Sasa basi, ikiwa post uliyokuwa ume-quote inazungumzia 180K as gross salary na wewe ukaweka kwamba 180K ni net basi inaonesha ama huelewi na ikiwa unaelewa basi huwa unakurupuka kujibu hoja bila kuitafakari.
Hutakiwi kufuata mkumbo coz' hili si jukwaa la wafuata mkumbo. Unachotakiwa ni kuelewa mada...ikiwa una-quote post maana yake ni kwamba unataka kujibu post husika na mengine ni nyongeza. Lakini ikiwa post imesema 180K ni gross na wewe ukaitumia hiyo 180K kwamba ni net in the same post; then hapo suluhisho sio kufuata mkumbo bali ku-pay attention to what is in the particular post.
Huwezi kufanya comparison kwa upande mmoja kutumia actual figures na upande wa pili kutumia imaginary figures. Hiyo elf 2 yako ni imaginari figure.

Kama unahisi ni lazima kutumia title, mine is NasDaz...nakushangaa sijui ni kwanini unapenda kuirudia hiyo title kwangu.
Si kwa sababu TRA wamezichagua bali zinapaswa kutumika kwa mujibu wa sheria...nilikupa changamoto utafute government gazette ambako walitoa specifications zinazohitajika including sifa za dealers na manufacturers.
Tofauti na zamani, hivi sasa teknolojia ina-play part kubwa katika ku-solve matatizo sugu yanayotokana na mwanadamu kutotaka kuwajibika. Baada ya kuonekana watu ni wagumu kulipa bili za umeme; pande hizi zikaanzishwa LUKU! Wakati LUKU zinaingia, watu kama nyinyi msiotaka mabadiliko walikuwa wanapinga matumizi ya LUKU kama mnavypinga hivi sasa! Hadi leo bado nakumbuka jinsi gazeti la Majira lilipokuja na heading kwenye front page kwamba LUKU zilibuniwa SA ili kuwakomoa Black South Africans. Ikiwa watu hawataki kulipa kodi kwa ridhaa zao lazima upatikane mfumo utakaowezesha ukusanyaji huo.

Nani anakataa kulipa kodi? watanzania tunalipa kodi. tatizo mnalinganisha mazingira ya AFRIKA KUSNI NA TANZANIA AU MAREKANI ULAYA NA TANZANIA. lkn hata huko ulaya hata sisi tumefika pia, kila nchi ina utaratibu wake.

Hapa Tanzania kuna sehemu hakuna umeme kabisa na EFD haiwezi kufanya kazi kabisa, haya Tanzania tuna masoko ya Minada ya watu kuhama kufuata soko la mnada. mfano jmosi mikese Moro, Jumanne Mlandizi, pia kuna chalinze, Morogoro Mjini, Kibaha na nk. je wafanyabiashara watakuwa wanatembea na hizi mashine?

Ili mashine ifanye kazi itatakiwa kuingizwa bidhaa zote kila zinaponunuliwa, kwa kfano km una biashara/item ndogo km pini, wembe, heleni, bangiri, mikufu, sabuni za mche, za mfuko na nk zote zinatakiwa kuingizwa kwenye mashine kabla ya kuuza, je ni nani atakuwa anaingiza kwenye system? inabidi mfanya biashara aajiri watu wengie wa ziada kufanya kazi hii. je hizi ni gharama za nani?

Ulaya kuna masoko ya mnada km huku?
 
Nani anakataa kulipa kodi? watanzania tunalipa kodi. tatizo mnalinganisha mazingira ya AFRIKA KUSNI NA TANZANIA AU MAREKANI ULAYA NA TANZANIA. lkn hata huko ulaya hata sisi tumefika pia, kila nchi ina utaratibu wake.
Kama ingekuwa wafanyabiashara wa Tanzania ni kama wale wa huko, huo ugomvi wala usingekuwa mkubwa coz' wenzenu linapokuja suala la kodi, wanawajibika.
Hapa Tanzania kuna sehemu hakuna umeme kabisa na EFD haiwezi kufanya kazi kabisa, haya
Kwavile wewe upo kwenye umeme; unaonaje basi ukianza kuzitumia?
Tanzania tuna masoko ya Minada ya watu kuhama kufuata soko la mnada. mfano jmosi mikese Moro, Jumanne Mlandizi, pia kuna chalinze, Morogoro Mjini, Kibaha na nk. je wafanyabiashara watakuwa wanatembea na hizi mashine?
Sheria ipo wazi kabisa; mfumo huu ni kwa wale wenye address tu/eneo la kufanyia biashara.
Ili mashine ifanye kazi itatakiwa kuingizwa bidhaa zote kila zinaponunuliwa, kwa kfano km una biashara/item ndogo km pini, wembe, heleni, bangiri, mikufu, sabuni za mche, za mfuko na nk zote zinatakiwa kuingizwa kwenye mashine kabla ya kuuza, je ni nani atakuwa anaingiza kwenye system? inabidi mfanya biashara aajiri watu wengie wa ziada kufanya kazi hii. je hizi ni gharama za nani?

Ulaya kuna masoko ya mnada km huku?
Hivi huoni kwamba hiyo inakusaidia wewe mwenyewe kwenye record keeping? Kwani kuna tofauti gani hapo na mtu anayetumia cash book zaidi tu kwamba cash book ilikuwa manual na hii ya sasa ni electronical? Ungekuwa una uzoefu na SME Loans ungefahamu ni namna gani kunakuwa na changamoto ya kutoa mikopo kwa SMEs. Unless uwe na experience ya biashara, otherwise Credit Manager ama atatoa loan ndogo kuliko turnover ya biashara au kubwa kwa vile labda alidanganyika na Bank Statement ili hali Bank Statement doesn't reflect the cash flow of particular business.
 
Kitabu cha risiti ni tofauti sana na EFD, hata tofauti ya gharama ni kam mbingu na ardhi, havilinganishiki.

Narudi kwa upole kabisa ili nifahamu hasa tatizo lako binafsi ni nini? Ni bei ya EFD au ni jinsi EFD inavyoweka wazi mpangilio wa ulipaji kodi, ambao wewe huukubali? Walioendelea wana lugha moja tu, Fanya biashara, lipa kodi. Hutaki kulipa kodi, achana na biashara. na kweli usipolipa kodi ni kifungo au unafilisiwa.

Tatizio langu na TRA ni kuteua watu wachache nchini kuuza na kutoa service ya hizo machine. Hiyo ni ishara ya rushwa moja kwa moja. Walichotakiwa kufanya ni kutoa specifications na kuruhusu kila aliye na uwezo wa kununua au kuuza alete machine. Sawa na jinsi tunavyofanya simu za mkononi na ukisha ileta lazima uisajili ili iwasiliane na TRA. hadithi waliyoileta ya bodi ya tenda, haikubaliki kwa sababu hizo machine siyo za TRA. hapa JF tulidokezwa kwamba wanadaka elfu 50 kwa kila machine inayouzwa. Siku chache baadaye wakapunguza bei hadi laki 6.

Tatizo langu kwa wafanya biashara ni kukataa tu na wengi hata hawajui kuna tatizo gani ukitumia EFD. Tnao mitaani na ukiwauliza wanaishia kusema TRA washenzi sana! Wanaofahamu hawataki kwa kuwa zinawaweka wazi na uwezekano wa kulipa kodi kubwa unakuja, lakini hadhalani wanajidai kusingizia bei. Hapo ndo nilikuandikia kwamba, kila biashara unaanza na investment! EFD lazima iwe sehemu ya investment. Huwezi kuanzisha daladala bila kufikiria TRA, TANROAD, EWULA na hata malipo halamu kama hongo kwa polisi. Ukitaka kuanza shule unajiuliza ada kwanza.

Anayesema akilipa kwa mpangilio wa EFD atafirisika, huyo hastahili kufanya biashara na aondoke huko. Si kila mtu anastahili kuwa na biashara.

Niambie tatizo lako kubwa ni lipi? Tusaidiane ili JF isiwe ni sehemu ya kuonyeshana umwamba tu bila kuelimishana.
 
Unaweza kuwa mtaalamu kweli kweli, tena kupita wote lakini hiyo wala haimaanishi kwamba huwezi kupotosha!! Hoja yako ingekuwa na msingi endapo ungeweka hapa manufacturer price ili ndipo tuone it's too expensivie kwa bei ya laki 6 to 7.6....
That's your problem an not mine. Wewe uli-quote post yangu ambayo iliweka 180K as gross salary. By rule of thumb, unapo-quote post maana yake ni kwamba unataka kujibu kilichopo kwenye post husika. Sasa basi, ikiwa post uliyokuwa ume-quote inazungumzia 180K as gross salary na wewe ukaweka kwamba 180K ni net basi inaonesha ama huelewi na ikiwa unaelewa basi huwa unakurupuka kujibu hoja bila kuitafakari.
Hutakiwi kufuata mkumbo coz' hili si jukwaa la wafuata mkumbo. Unachotakiwa ni kuelewa mada...ikiwa una-quote post maana yake ni kwamba unataka kujibu post husika na mengine ni nyongeza. Lakini ikiwa post imesema 180K ni gross na wewe ukaitumia hiyo 180K kwamba ni net in the same post; then hapo suluhisho sio kufuata mkumbo bali ku-pay attention to what is in the particular post.
Huwezi kufanya comparison kwa upande mmoja kutumia actual figures na upande wa pili kutumia imaginary figures. Hiyo elf 2 yako ni imaginari figure.

Kama unahisi ni lazima kutumia title, mine is NasDaz...nakushangaa sijui ni kwanini unapenda kuirudia hiyo title kwangu.
Si kwa sababu TRA wamezichagua bali zinapaswa kutumika kwa mujibu wa sheria...nilikupa changamoto utafute government gazette ambako walitoa specifications zinazohitajika including sifa za dealers na manufacturers.
Tofauti na zamani, hivi sasa teknolojia ina-play part kubwa katika ku-solve matatizo sugu yanayotokana na mwanadamu kutotaka kuwajibika. Baada ya kuonekana watu ni wagumu kulipa bili za umeme; pande hizi zikaanzishwa LUKU! Wakati LUKU zinaingia, watu kama nyinyi msiotaka mabadiliko walikuwa wanapinga matumizi ya LUKU kama mnavypinga hivi sasa! Hadi leo bado nakumbuka jinsi gazeti la Majira lilipokuja na heading kwenye front page kwamba LUKU zilibuniwa SA ili kuwakomoa Black South Africans. Ikiwa watu hawataki kulipa kodi kwa ridhaa zao lazima upatikane mfumo utakaowezesha ukusanyaji huo.

You seem to be unable to comprehend simple facts. I already laid it down to you 180,000 salary is even low by Tanzania Government standard they don't tax these people. all they do is have them under social security. which is a positive for who ever concerend. SO your point of 180,000 NET or 180,000 Gross is NULL and void.

I did not make up any figure YAKHE.180,000 umeizusha wewe ukijdhani utamuonesha huyu mwenye kulipwa laki na themanini ni mnyonge. na hiyo 2,000 kwa siku mtu yoyote aliyewahi hata kuuza karanga anafahamu jinsi ya kukokotoa biahsara yenye mauzo ya 14M kuwork out around that net income to the businessman per day. If you are one of those naive souls who can't seem to tell what Sales,revenue,profit,expenses,gross profit and net profit is then you are in the wrong position to voice your authority. CALM down read everything i wrote to you. YOU WILL discover that 180,000 is 2.16M a year of net income, of which no one will ask a sent from you. NOT EVEN THAT PAYE you so wrongly assumed the government takes from 180,000 gross pay. THEY dont.

for a business who is law abiding and conducts his business in respectable manner with a very commendable net profit of 10%, they will need to have gross sales of no less than 21,600,000 to achieve that. if i were to assume no business goes without renting a place, pay licenses and electricity bills here is a simple breakdwon. and this is for a business person with no staff/help, just themselves

Rent:50,000*12=600,000
Electricity:30,000*12=360,000
Miscelenonous:10,000*12=120,000
Total Main expenses:980,000

This business will incur expenses of around 1M a year.which comes down to around 2,600 a day. Hizi huyu mfanyabiahsara mwenye fremu/duka etc lazima aziingie, kabla hajala yeye wala familia yake.these are entirely operational expenses.and they are not part of "profits". even if you were to assume this money goes into MFANYABIASHARA's Profit hanunui umeme, na ile fremu ni ya mjomba wake, hii ni 2,600 kwa siku. Ukijumlisha na ile 2,000 kwa siku bado anachezea kwenye 4,600 per day. hii ni 136,000 kwa mwezi. Bado yuko chini mno ya mpokea laki moja na themanini isiyo na matumizi ya kiofisi zaidi ya binafsi. Usilete hadithi za daladala na chakula. Kumbuka hata mfanyabiashara anatumbo pia na anapanda hiyo daladala.

so wen you say 180,000 kwa mwezi linganisha na mfanyabiashar amwenye mauzo ghafi yasiyopungua 24,000,000. Kama hujanielewa samahani.

If you understand maths, and are not shy about making a few multiplication you would come down to a very simple realizatoin that 14M of sales a year business is not a HUGE business. It's a Hand to Mouth Business.

I can understand, kuna njemba wakiambiwa huyu anauza 14M kwa mwaka wanaona tajiri ndio huyu.hawajui hizo 14M sio zake za kugawana na mkewe. ni rotation tu ya pesa.kw awabongo ni kazi ku-comprehend pesa kubwa, hasa ile ambayo watu hawajaizoea kuishika kila siku. ndio maana leo hii ni vigumu mtu akiambiwa kuna trillion of galaxies,whith trillions of stars. Our brains tend to lockout huge numbers.

If i were a Tanzanian Business man i would consult a Digital Media Company to break down the 14M in a nice pictorrial, then put it in one of the big publications for common mwananchi to see. TRA are being unfair. YOU dont ask these guys to pay 800,000 for a machine.

wewe kama hujanielewa, rudi nyuma, soma taratibu, utaleewa, haya sio mashindano, sio lazima ushinde, Kila mtu humu ni mlipa kodi, ama kwa hiyari au kwa kulazimishwa, hivyo kuwaita watu wakwepa kodi ni kupiga makelele tu.

they say two things are certain in life Death and Taxes.

adios
 
Narudi kwa upole kabisa ili nifahamu hasa tatizo lako binafsi ni nini? Ni bei ya EFD au ni jinsi EFD inavyoweka wazi mpangilio wa ulipaji kodi, ambao wewe huukubali? Walioendelea wana lugha moja tu, Fanya biashara, lipa kodi. Hutaki kulipa kodi, achana na biashara. na kweli usipolipa kodi ni kifungo au unafilisiwa.

Tatizio langu na TRA ni kuteua watu wachache nchini kuuza na kutoa service ya hizo machine. Hiyo ni ishara ya rushwa moja kwa moja. Walichotakiwa kufanya ni kutoa specifications na kuruhusu kila aliye na uwezo wa kununua au kuuza alete machine. Sawa na jinsi tunavyofanya simu za mkononi na ukisha ileta lazima uisajili ili iwasiliane na TRA. hadithi waliyoileta ya bodi ya tenda, haikubaliki kwa sababu hizo machine siyo za TRA. hapa JF tulidokezwa kwamba wanadaka elfu 50 kwa kila machine inayouzwa. Siku chache baadaye wakapunguza bei hadi laki 6.

Tatizo langu kwa wafanya biashara ni kukataa tu na wengi hata hawajui kuna tatizo gani ukitumia EFD. Tnao mitaani na ukiwauliza wanaishia kusema TRA washenzi sana! Wanaofahamu hawataki kwa kuwa zinawaweka wazi na uwezekano wa kulipa kodi kubwa unakuja, lakini hadhalani wanajidai kusingizia bei. Hapo ndo nilikuandikia kwamba, kila biashara unaanza na investment! EFD lazima iwe sehemu ya investment. Huwezi kuanzisha daladala bila kufikiria TRA, TANROAD, EWULA na hata malipo halamu kama hongo kwa polisi. Ukitaka kuanza shule unajiuliza ada kwanza.

Anayesema akilipa kwa mpangilio wa EFD atafirisika, huyo hastahili kufanya biashara na aondoke huko. Si kila mtu anastahili kuwa na biashara.

Niambie tatizo lako kubwa ni lipi? Tusaidiane ili JF isiwe ni sehemu ya kuonyeshana umwamba tu bila kuelimishana.

Mheshimiwa matatizo makuu ni mawili nayo nimeyaweka kwenye post ya kwanza. Kwa kifupi ni:
  1. Kiwango cha mfanyabiashara waliyesema alazimike kununua EFD ni cha chini mno, mauzo ya sh 14mil kwa mwaka, ambayo kimahesabu ni sh 38,000 kwa siku. Nikasema mtu anayeuza kiwango hiki ni mfanyabiashara duni sana, kwani kipato chake halisi ni duni kuliko cha mfanyakazi wa kima cha chini. Mtaji wake hauzidi laki 5, so hawezi kununua EFD ya laki 6.
  2. Bei ya hicho EFD ni kubwa sana.
Nikapendekeza:
  1. Kiwango cha mauzo ambacho EFD ni mandatory kiongezwe, angalao mil 100 kwa mwaka
  2. Kama ni lazima kurekodi mauzo yote yakiwamo ya hawa wanaoganga njaa na mtaji wa laki 5, basi hawa wapewe hizi EFD bure maana kimsingi zinasaidia kazi ya TRA kuliko zinavyowasaidia wao.

Nasisitiza umuhimu wa kulipa kodi lakini haki izingatiwe, TRA isifanye kama inataka kuzuia watu fulani kuendesha maisha yao kwa shughuli halali. Hata kama mtu anaishi kwa biashara duni, kwa kuwa ni shughuli halali aachiwe fursa hiyo ya kujikimu kimaisha bila kukandamizwa, awekewe utaratibu mzuri wa kulipa kodi kwa kiasi kidogo anachopata bila kumuongezea mzigo wa ziada wa EFD, ambao kwa hao walengwa wanaouza sh 38,000 kwa siku kifaa hicho hakinunuliki.

Natumaini umenielewa mheshimiwa.
 
You seem to be unable to comprehend simple facts. I already laid it down to you 180,000 salary is even low by Tanzania Government standard they don't tax these people. all they do is have them under social security. which is a positive for who ever concerend. SO your point of 180,000 NET or 180,000 Gross is NULL and void.

I did not make up any figure YAKHE.180,000 umeizusha wewe ukijdhani utamuonesha huyu mwenye kulipwa laki na themanini ni mnyonge. na hiyo 2,000 kwa siku mtu yoyote aliyewahi hata kuuza karanga anafahamu jinsi ya kukokotoa biahsara yenye mauzo ya 14M kuwork out around that net income to the businessman per day. If you are one of those naive souls who can't seem to tell what Sales,revenue,profit,expenses,gross profit and net profit is then you are in the wrong position to voice your authority. CALM down read everything i wrote to you. YOU WILL discover that 180,000 is 2.16M a year of net income, of which no one will ask a sent from you. NOT EVEN THAT PAYE you so wrongly assumed the government takes from 180,000 gross pay. THEY dont.

for a business who is law abiding and conducts his business in respectable manner with a very commendable net profit of 10%, they will need to have gross sales of no less than 21,600,000 to achieve that. if i were to assume no business goes without renting a place, pay licenses and electricity bills here is a simple breakdwon. and this is for a business person with no staff/help, just themselves

Rent:50,000*12=600,000
Electricity:30,000*12=360,000
Miscelenonous:10,000*12=120,000
Total Main expenses:980,000

This business will incur expenses of around 1M a year.which comes down to around 2,600 a day. Hizi huyu mfanyabiahsara mwenye fremu/duka etc lazima aziingie, kabla hajala yeye wala familia yake.these are entirely operational expenses.and they are not part of "profits". even if you were to assume this money goes into MFANYABIASHARA's Profit hanunui umeme, na ile fremu ni ya mjomba wake, hii ni 2,600 kwa siku. Ukijumlisha na ile 2,000 kwa siku bado anachezea kwenye 4,600 per day. hii ni 136,000 kwa mwezi. Bado yuko chini mno ya mpokea laki moja na themanini isiyo na matumizi ya kiofisi zaidi ya binafsi. Usilete hadithi za daladala na chakula. Kumbuka hata mfanyabiashara anatumbo pia na anapanda hiyo daladala.

so wen you say 180,000 kwa mwezi linganisha na mfanyabiashar amwenye mauzo ghafi yasiyopungua 24,000,000. Kama hujanielewa samahani.

If you understand maths, and are not shy about making a few multiplication you would come down to a very simple realizatoin that 14M of sales a year business is not a HUGE business. It's a Hand to Mouth Business.

I can understand, kuna njemba wakiambiwa huyu anauza 14M kwa mwaka wanaona tajiri ndio huyu.hawajui hizo 14M sio zake za kugawana na mkewe. ni rotation tu ya pesa.kw awabongo ni kazi ku-comprehend pesa kubwa, hasa ile ambayo watu hawajaizoea kuishika kila siku. ndio maana leo hii ni vigumu mtu akiambiwa kuna trillion of galaxies,whith trillions of stars. Our brains tend to lockout huge numbers.

If i were a Tanzanian Business man i would consult a Digital Media Company to break down the 14M in a nice pictorrial, then put it in one of the big publications for common mwananchi to see. TRA are being unfair. YOU dont ask these guys to pay 800,000 for a machine.

wewe kama hujanielewa, rudi nyuma, soma taratibu, utaleewa, haya sio mashindano, sio lazima ushinde, Kila mtu humu ni mlipa kodi, ama kwa hiyari au kwa kulazimishwa, hivyo kuwaita watu wakwepa kodi ni kupiga makelele tu.

they say two things are certain in life Death and Taxes.

adios

Mheshimiwa Kimweri nakushukuru kupita kiasi. Huyu jamaa NasDaz amefikia hadi hatua ya kunitukana kuniita 'choko' kwa kumueleza jambo hilihili. Kwa kweli hata kama yeye ni mmojawapo wa wanaofaidi hizo pesa za EFD, alipaswa kuelewa msingi wa hoja kwanza kabla ya kutetea kisichowezekana kutetea hata mbele ya asiyesoma. Na sielewi kwanini TRA wanajifanya vipofu kuhusu hili suala, maana linaonekana wazi. Hivi huko TRA hawana kitengo cha utafiti? Maana naamini wangetafiti hili suala vizuri malumbano haya yasingekuwapo, na hata kama kuna watu wangepinga TRA wangeweza kuj na majibu ya kisayansi, ambayo sasa hivi hawana. Mpaka sasa hivi hawawezi kusema wamefikiaje conclusion ya kwamba anayeuza sh 14mil kwa mwaka anaweza kumudu EFD, kwa hiyo iwe mandatory kwake kununua, naamini hawakufanya hii hesabu rahisi ya kuonesha mtu huyu anauza kiasi gani kwa siku ili wajue mapato yake na uwezo wa kiuchumi. Utafiti mdogo tu huu hawakuufanya.
 
Simple facts wakati unatumia imaginative figures? Kama kawaida yako kuto-pay attention...wewe kwa kutumia figure za kichwani uka-conclude kwamba mfanyabiashara anapata less 2000/- badala yake unasema 180K nimeitoa mimi!!!!!!! am signing out coz' am wasting my time here coz' nothing new is pointed out! However, here is a simple advice, if u wanna be respected u have to learn how to respect yourself....my name is NasDaz.
 
Mheshimiwa Kimweri nakushukuru kupita kiasi. Huyu jamaa NasDaz amefikia hadi hatua ya kunitukana kuniita 'choko' kwa kumueleza jambo hilihili. Kwa kweli hata kama yeye ni mmojawapo wa wanaofaidi hizo pesa za EFD, alipaswa kuelewa msingi wa hoja kwanza kabla ya kutetea kisichowezekana kutetea hata mbele ya asiyesoma. Na sielewi kwanini TRA wanajifanya vipofu kuhusu hili suala, maana linaonekana wazi. Hivi huko TRA hawana kitengo cha utafiti? Maana naamini wangetafiti hili suala vizuri malumbano haya yasingekuwapo, na hata kama kuna watu wangepinga TRA wangeweza kuj na majibu ya kisayansi, ambayo sasa hivi hawana. Mpaka sasa hivi hawawezi kusema wamefikiaje conclusion ya kwamba anayeuza sh 14mil kwa mwaka anaweza kumudu EFD, kwa hiyo iwe mandatory kwake kununua, naamini hawakufanya hii hesabu rahisi ya kuonesha mtu huyu anauza kiasi gani kwa siku ili wajue mapato yake na uwezo wa kiuchumi. Utafiti mdogo tu huu hawakuufanya.
Alah! Sasa unaanza kulalamika kwamba natukutukana? Rudia post zako nani alianza, nikakupa angalizo lakini ukaendelea...ulidhani ningeendelea kujitia mnyonge!! Tabia yangu ni moja...huwa siwezi kumtukana mtu hata siku moja...mtu akinianza, nitampa angalizo, asiposikiliza simwachii! Hata huyo Kimweri ni muda sasa ananiita yakhe...nikampa angalizo na kumkumbusha jina langu lakini katika post ya mwisho ndo kwanza akaiandika kwa herufi kubwa; kuonesha kabisa nachofanya ni kejeli na ndio maana nimemwabia na-sign out coz' i know anakotaka twende ni hiho huko ambako hata wewe ulianzisha njia na sasa unalalamika!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom