GDP ya Kenya na tz ni saw a? Je marginal propensity to earn or consume tz na Kenya iko sawa? Compare na per capita income ya izo nchi mbili. Generally and intellectually huwezi linganisha ivo bila kuangalia economic environment ya izo nchi mbili.
Kodi zipo kisheria kutokana na uchakavu wa gari lenyewe au la kifahari n.k so sio kusema gari m7 kodi 20m griiiii! it dependi gari yako either umepewa zawadi au umenunua kwa mtu mwenye shida kakuuzia kwa bei poa au umenunua kwa bei ya offer is up to you huku tushawekewa standard yetu hizo hizo gari ukiuziwa kwa bei juu kuliko kodi itakuwa ni ile ile kwa mwenzako aliyeuziwa kwa bei ya offer au zawadi.... tuwe wawazi sio kuponda kwa kupitiliza.... la muhimu tuombe kupunguziwa kodi na wabunge wetu ndio waliotunga.... na tuache kununua mitumba tuzoee vipya au hamjui ni raha magari mabovu ni sawa na jini litakunyonya hakika
Ni watu wangapi wa kawaida wanaweza Kumudu kununua gari jipya?Lawama kubwa ziende kwa wabunge especially wa ccm (ndo kwa wingi wao)wangeweza kabisa kuzuia dhuluma hii ovu.TRA tunawalaumu bure,wanatekeleza sheria.
Uongo usizidi sana... ops mnatuchosha kusoma upuuzi
Sawa njooni tu
Kwani ukipitisha Mombasa hutalipia ushuru?
Tatizo mnanunua magari yaliyo 'hoza' sasa!!!
mbona ukinunua gari jipya kodi yake ni kubwa sana ukilinganisha na gari hilhilo ukinunua likuwa kuku?
Hawa jamaa wamepandisha ushuru wa kuingiza magari kumbe nao ni wizi tu. Unanunua gari mill 7 ushuru TRA unalipa mil 20. Huu ni uwendawazimu kabisa. Haiingii akilini.
These people are robbers. Majambazi wakubwa TRA ndio maana Mungu anawalaani. Mtu unakokotoa na kutafuta kigari cha $2000 kufika haha Ushuru ni $4000, upumbavu gani huu TRA. Hawataki watanzania wanunue Magari period
Tatizo mnanunua magari yaliyo 'hoza' sasa!!!
Ilikua ya mwaka gani?
Otherwise tuanze kupitishia mombasa tu sasa.
Kodi za magsri ni Maumivu sana kwa Watanzania, kodi ni.kubwa sana, imefikia hatua kununua gari kwa Mtanzania ni km adhabu???
Bunge na serikali lazima walitazame hilo...halafu ajabu ni kwamba ukiagiza gari nje na ukinunua bei hapa kwetu ni karibu bei sawa
Kuna habari kuwa hawa jamaa wanaouza magari kwny showroom kuna michezo huwa wanafanya TRA kukwepa kodi ndio maana kodi inafanana na anaeagiza nje moja kwa moja!
Ndugu yangu fanya utafiti. Magari yapo kwenye mitandao na TRA calculator ipo kwa weside yao. This is the plain truth. Kodi zipo juu mnoooo
Hivi TRA si wana calculator ya ushuru? hebu tutafute ukweli kwa kutumia hii calculator, tuwekee detail za gari na mwaka wake.. Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
Wakuu inawezekana tunalipa ushuru mkubwa sana, na hivyo serikali inapaswa itusikilize. Lakini pia jaribu kulinganisha ushuru walipao wenzetu Kenya kwa kutumia calculator ya Tanzania, na Kenya. Inaonesha Kenya wanalipia maradufu.
Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
KRA Motor Vehicle Import Duty Calculator
Kodi zipo kisheria kutokana na uchakavu wa gari lenyewe au la kifahari n.k so sio kusema gari m7 kodi 20m griiiii! it dependi gari yako either umepewa zawadi au umenunua kwa mtu mwenye shida kakuuzia kwa bei poa au umenunua kwa bei ya offer is up to you huku tushawekewa standard yetu hizo hizo gari ukiuziwa kwa bei juu kuliko kodi itakuwa ni ile ile kwa mwenzako aliyeuziwa kwa bei ya offer au zawadi.... tuwe wawazi sio kuponda kwa kupitiliza.... la muhimu tuombe kupunguziwa kodi na wabunge wetu ndio waliotunga.... na tuache kununua mitumba tuzoee vipya au hamjui ni raha magari mabovu ni sawa na jini litakunyonya hakika
Wana calculator lao hilo ni hatar.. Unaingiza sijui mwaka, CC, model hio bei inayotoka hapo..utajuta!!! Bora mie na baskeli yang
Ilikua ya mwaka gani?
Otherwise tuanze kupitishia mombasa tu sasa.
GDP ya Kenya na tz ni saw a? Je marginal propensity to earn or consume tz na Kenya iko sawa? Compare na per capita income ya izo nchi mbili. Generally and intellectually huwezi linganisha ivo bila kuangalia economic environment ya izo nchi mbili.
hayo uliyomueleza ni ya kitaalamu sana sidhani kama atakuelewa
Mbona yanawezekana tu kununua gari jipya kwani kitambo kile Tanganyika na zanzibar kulikuwa na Magari mapya tu... hii Used ni kuanzia miaka ya 80s juu kwenda 90s kulikuwa na Magari Mapya tu Land Rover Peugeot renault, Scania, Benz kubwa Bedford,Fiat, Nissan Dutsun, Toyota Hilux, Suzuki, Leyland na Nadhani Nyerere alikuwa hapendi Mitumba.. na watu waliweza kununua mbona why now washindwe?
Fanyeni Kazi sana kila kitu kinawezekana... Kulima, Biashara n.k inawezekana
Ni watu wangapi wa kawaida wanaweza Kumudu kununua gari jipya?Lawama kubwa ziende kwa wabunge especially wa ccm (ndo kwa wingi wao)wangeweza kabisa kuzuia dhuluma hii ovu.TRA tunawalaumu bure,wanatekeleza sheria.
Wakuu mimi naahilisha kununua gari kila siku maana sipati jibu zuri kwa calculator zao. Kuna kitu kimoja kinanisumbua:
Wanasema kuwa unaponunua gari lenye umri kidogo unalipia bei ndogo. Ukiangalia hii utakuta kwa gari fulani jinsi unavyopunguza miaka ndo gharama zinaongezeka na unapopandisha miaka kuwa mingi inapungua. Ila ukifika miaka kama 9 na 10 ndo bei ziko chini. Sasa nashindwa kuelewa hivi kigezo gani kinatumika wakati wanasema umri wa gari ambao unaanza kulipiwa gharama kubwa ni miaka 8 kwa sasa.
Inawezekana nashindwa kuelewa. Unaweza chagua gari fulani ubadili miaka tu utagundua hilo.
Sawa mkuu Mlaleo. Ila issue hizo standards zilizowekwa ni za kinyonyaji. Halafu unvyoongelea magari mapya jua pia kwamba kodi ya gari jipya ni juu mno. Better used. Anyway issue kubwa ni hawa watu wafikirie namna ya kupitia upya hii sheria. Waweke ushabiki wa kisiasa pembeni na wafanye kwa maslahi mapana ya taifa.
Wonderful! kumbe wewe sio mmoja wetu!!!!