TRA na Ukaguzi wa 'fire stickers'

Mkuu unajua unachosema hapo kwa red au unaleta siasa za ushabiki?

Hao unaowapigia debe (in blue) hawakuwemo bungeni wakati sheria zinapitishwa?

Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu
 
kama TRA ndo wanatoa izi stika za fire, hawa jamaa wa fire brigade wanatoa nini tena?
na mbona hawa jamaa wa zima moto ndo wanatusumbua barabarani kila kukicha?
 
Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu

samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa
 
samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa

Naona umeamua kunipatia haki yangu japo uliichelewesha kidogo!

Hakuna chembe ya siasa hapo na wala simsemi mtu vibaya wala kumshabikia mtu, ni namna serekali inavyoendesha vitu kwa zima moto tu
 
Bado wizara inayohusiana na mazingira,afya nao watakujakuleta kodi ktk magari muda si mrefu wanajua huna pa kukwepea
 
Back
Top Bottom