TRA na Ukaguzi wa 'fire stickers'

May 8, 2012
56
12
WAKUU HIVI MNAJUA SASA HIVI UKIENDA KU RENEW ROAD LICENCE NI LAZIMA ULIPIE NA FIRE STIKA? HATAKAMA HAIJAISHA NI LAZIMA, NA KAMA UMECHELEWA KULIPIA ROAD LICENCE UNACHAJIWA PENALT YA FIRE WAKATI HAIJAISHA! Mmh
 
Hivi hiyo fire sticker ni kwa sababu gani tena? au gari likiungua inakuwa kama bima yake? nauliza tu.
 
Izi ni kodi ambazo zinakusanywa bila ya kuwa na mantiki
Mtu anaenda sajili kwa kutumia fire extinguisher ya kuazima
Afterall ata gari ikiungua wao hawa usiki
 
Hiyo imeanza lini jamani? mbona hii nchi vingozi wetu hawafikiri kabisa,hao TRA wanakagua huo mtungi au wenyewe wanakusanya hela tu,nijuavyo mimi ukienda fire unapeleka na mtungi unakaguliwa kama bado inafanya kazi vizuri
 
Huu inaelekea ni mradi wa watu.Nilifika kuchukua fire sticker katika office ya zima moto Morogoro nikiwa na fire extinguisher yangu, tena nzuri tu.Wakaniambia ni lazima nichukue fire extinguisher ya kwao, kwa vile ya kwangu hawana uhakika nayo.Nikawambia waijaribu wakagoma.Wa-Tz bwana,kazi kweli kweli,ni kuchakachua mambo mtindo mmoja.
Izi ni kodi ambazo zinakusanywa bila ya kuwa na mantiki
Mtu anaenda sajili kwa kutumia fire extinguisher ya kuazima
Afterall ata gari ikiungua wao hawa usiki
 
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
 
Heri Mimi sijasema hata kidogo Acha tu nina hasira halafu wameniambia nirudi j4 baada ya kupanga foleni muda mrefu sana...
 
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
Umechukua hatua kuhakikisha kama hayo malipo ni halali au ukiambiwa lipa unalipa tu? Kawaida viwango vya kodi au ushuru vikipanda vinatangazwa rasmi sasa hilo ongezeko limetangazwa lini na nani?
 
We umelipa kiasi gani mkuu? nataka kujua kama nimeibiwa, maana ukifika TRA hawakubali ulipe motor vehicle peke yake bila hiyo fire
 
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?

Ndo bei yake, nachokiona ni wizi tu maana wanakupa sticker tu bila fire extinguisher, sasa hiyo sticker ndo itasaidia nini moto ukitokea,
 
sasa nini maana ya comprehensive insurance? hii ingekuwa kwa wale ambao wamekata third party only.
 
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
Na fire extinguisher???au hivihivi kavukavu??nijuze maana hapo....niwizi kama kibaka anavyokupiga roba hakuna tofauti:spy::spy::spy::spy::spy::spy::spy::spy::doh::doh::doh::doh::nono::nono::nono::nono::nono::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::rip::rip:CCM:painkiller:
 
cc 0-500 Tshs. 10,000.00
cc 501-1500 Tshs. 20,000.00
cc1501-2500 Tshs. 30,000.00
cc2501-kuendelea Tshs. 40,000.00

MPOOOOOOOOOOOOO, HIVI KODI HII KWELI SERIKALI ILISHINDWA HATA KUIFICHAFICHA HUMOHUMO NDANI YA STICKER YA ROAD LICENSE KWA KUSEMA TUU IMEPANDA BILA KUFANYA UPUUZI HUU?
 
Mkuu una uhakika na hizo categories? manake ya kwangu iko kwenye category ya cc 501-1500 lakini wamenicharge elfu 40, hebu nihakikishie nikaseme nao mkuu
 
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?

Inasemekena zinaendana na ukubwa wa engine (CC)ya gari yako, kwa kifupi kama walivyocategorize cc kwenye road license sticker
 
Jamani haina haja kujiumiza kichwa hapa, huu ni ubabe tu wa serekali yetu, ni kuwa hawana hela sasa hivi, wanahitaji pesa za haraka haraka kuendeshea serekali ndio maana wameibukia huku, inauma sana ila ndio matunda ya kuichagua hakuna cha kufanya tena labda nasema tena labda! kutokee mabadiliko 2015.

Wakipata pesa wanazohitaji watapotea na hutaona tena ujinga huu pengine hata kabla ya Disemba mwaka huu.
 
Mkuu unajua unachosema hapo kwa red au unaleta siasa za ushabiki?

Hao unaowapigia debe (in blue) hawakuwemo bungeni wakati sheria zinapitishwa?
 
Mkuu una uhakika na hizo categories? manake ya kwangu iko kwenye category ya cc 501-1500 lakini wamenicharge elfu 40, hebu nihakikishie nikaseme nao mkuu

yupo sahihi tena unakwenda na kadi ya gari wahakikishe cc serikali dhaifu inakusanya kodi kwa walala hoi huku mafisadi wakiendelea kupeta na kuzila vile vile
 
Back
Top Bottom