TRA na mapato ya November 2016

.. Kwa hiyo kwa kuwa yanashuka ndiyo iwachukue muda mrefu kuyaweka hadharani?
 
Siku Hizi Kila Mtu Mchumi Na Mtaalamu Wa Ndege
Sio kila mtu ni mchumi, watu wanatunza kumbukumbu na pia watu wanafanya literature reviews, kwa hiyo mwez huu ukiongea A mwez ujao uka ukasema B lazima watu wahoji ata kama hawana utaalam. Walisema uchumi uko vizur na mapato yamepanda na yanavuka malengo kila mwezi wataalam wakawapinga wakasema uchumi hauko salama na mapato yatashuka. Hamna anaeombea mabaya ndani ya nchi lakini mtu anaposhauri na kuupuzwa inauma especialy anaekupuuza unajua kabisa hajui
 
TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.

Mimi kama Shetanii miongoni Mwa mashetanii wote tz..naipongeza Sirkalii Uchumi unaimarika sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…