TRA na kodi za kuagiza magari

TRA na kodi za kuagiza magari

Magari yenyewe basi Tanzania mengi kiivyo hamna magari kabisa Dar es Salaam ndiyo tunaambiwa kuna magari mengi lakini ikifika saa 4 usiku barabara zote kubwa nyeupe Kawawa, Morogoro, Sam Nujoma, Mandela, Nyerere, hamna magari huko mikoani patakuaje.
 
Sasa utashangaa hiyo railway dev levy ipo had kwenye mafuta....wakati wangeweza wakaiweka kwenye mafuta ili wengi waagize magar afu wakutanenayo kwenye mafuta. Na hyo reli yenyewe na funds zote hizo bado hamna kitu. Katika kodi tunazotapeliwa moja wapo ni hyo hapo ya reli dev levy
 
Ukiwa mkoani Kagera ni bora kununua vitu toka Uganda, kwanza vina ubora ukilinganisha na vya hapa Tz mfano nguo, viatu, hata vifaa vya kutumia umeme.
Tena sana, wafanyabiashara wa mwanza mbona wanaenda kuchukua nguo kampalla.
 
Au pia wangeweza kupunguza ili magar yawe mengi na wao wapate kodi zao za kutosha kwenye mafuta
 
Magari chakavu yanaharibu mazingira na ndiyo maana huko mnakoyanunua yanakuwa bei rahisi kwanza kuna wengine hata hupewa bure kwa maana huko hayaruhusiwi tena, hiyo ndiyo sababu!
ni watanzania wangapi wanaweza kuigiza gari mpya? Hawazi 2%,
 
Ikiwa mpya haitoi unafuu bado kwasababu wanafanyia mahesabu customs value kubwa kwasababu ya upya wa gari. sana sana ule ushuru wa uchakavu ndo utaondolewa na bado ushuru mwingine uko palepale.
Sure, watanzania tukiamua kuagiza magari mapya wote basi nina uhaki vilaza vya TRA watakimbilia kubadili formula, watasema gari utatumia muda mrefu zaidi hivyo lipia zaidi
 
Magari chakavu yanaharibu mazingira na ndiyo maana huko mnakoyanunua yanakuwa bei rahisi kwanza kuna wengine hata hupewa bure kwa maana huko hayaruhusiwi tena, hiyo ndiyo sababu!
Kwa hiyo hiyo kodi ya uchakavu inaelekezwa kwenye miradi ya kutunza mazingira eti enhee? Au unaota upo peponi ngedere wewe.
 
Tatizo ni kwamba wewe na wenzako hamjaelewa kwa nini kuna hizo kodi, lengo ndiyo msiagize magari chakavu hapa kwetu badala yake nenda CMC au toyota TZ kanunue hiyo gari! Dunia nzima hufanya hivi, hebu jaribu kutoa gari TZ kupeleka Japan hata gari hiyo hiyo uliyoinunua huko jaribu kuirudisha halafu uone watakuchaji kiasi gani!

Kutoza kodi kubwa ili kuzinufaisha show room za magari mapya wakati hatuna assembly plant.ni upuzi tu
 
Bila shaka malalamiko mengi yameandikwa kuhusiana na mada hii, sipendi ifikirike kwamba ni kitu kipya, ila kujaribu kukumbushia tena, pangine hawa wenzetu wanafikiria kwamba wannchi tumeridhika kwa kukaa kimya.

Kwanza nitoe mfano wa maheasabu nikizingatia kichakata chao TRA;

Used Motor Vehicles Valuation Calculator

Reference Number 1516307575
Make: BMW
Model: X5
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2002
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2001 - 2500 CC
Customs Value CIF (USD): 4805.46
Import Duty (USD): 1201.36
Excise Duty (USD): 600.68
Excise Duty due to Age (USD): 1802.05
VAT (USD): 1513.72
Custom Processing Fee (USD): 28.83
Railway Dev Levy (USD): 72.08
Total Import Taxes (USD): 5219
Total Import Taxes (TSHS):
11434829
Vehicle Registration Tax (TSHS):
380000.00

Hebu oneni mlolongo wa majina ya kodi kwa majina tofauti tofauti unzvyoongeza gharama ya uagizaji wa magari;

Ki-uchumi, kodi nyingi kama hizi huwa zina maana mbili kwa pamoja au pengine mojawapo;

1. Kuzuia/kupunguza bidhaa za nje zisifurike katika soko la ndani, ili kuimarisha viwanda vya ndani vinavyotengeneza kwa wingi na kwa ufanisi bidhaa hiyo hiyo au inayokikdhi mahitaji kama hiyo inayotakiwa kuagizwa nje, au kuzuia kabisa bidhaa mbovu zinazoweza kuharibu mazingira na afya ya wananchi na pia kuongeza ajira za ndani.

2. Kuongeza pato litokanalo na kodi; hii huwa ni kwa muda mfupi kwani ikiendelea kwa muda mrefu pato halitaongezeka, kwani watu wataacha kununua, na kushusha pato tegemewa.

Kwa hiyo TRA , wakiwa wanafanya kazi yao kwa maslahi ya wananchi ni lazima wafikirie namna ya kutoa huduma, kwa kuweka mifumo saidizi, itakayosaidia wananchi kupenda kulipa kodi, na kuilipa kwa hamasa.

Wanapashwa kuainisha malengo yao, kama yanafanana na la kwanza au la pili; kwangu mimi naona lile la pili haliwaungi mkono sana kwa sababu makato haya yamekuwa yanaongezeka tu kwa muda mrefu sana sasa, na kuondoa dhana ya makusanyo yapaswayo kuleta faida kwa muda mfupi.

Kwa lile la kwanza, pia haliwaungi mkono kwa sababu hatuna kiwanda cha ndani tunachokikinga na bidhaa za nje.

Napata fikra kwamba TRA hawapendi kufanya tathmini itakayosaidia wananchi, ili nao angalau wapendeke, wasionekane kama wanatoka sayari ingine (Aliens), kwa sababu wao kodi hizi haziwahusu; pamoja na wabunge.

Mawazo yangu ya kuhitimisha ni kwamba kitengo cha elimu kwa mlipa kodi wanapashwa kutoa elimu kwa ukamilifu, siyo kuishia tu kwenye matakwa yao kisheria tu. Utamsikia akisema ati kama maendeleo hayaonekani pamoja na utoaji kodi hil si swala lao, hawaoni kwamba wapo kwenye mnyororo wa maendeleo (development chain)? na kwamba wao kwa kuwa huenda kuonana na walipa kodi moja kwa moja, wanakumbana na vikwazo, na kutokuwa tayari kwa sababu hawakamilishi mnyororo huu?

Kwa mlolongo huo hapo juu, ni wazi kwamba wengi mno wataacha kuagiza bidhaa hizi, na hivo kupunguza pato ambalo TRA wangekusanya kidogo kidogo lakini kwa walipaji wazuri wengi; pia, inaongeza incentive ya watu kukwepa kodi.

Fikirieni na mufanyie kazi haya malalamiko.

Reference Number 1516307575
Make: BMW
Model: X5
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2002
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2001 - 2500 CC
Customs Value CIF (USD): 4805.46
Import Duty (USD): 1201.36
Excise Duty (USD): 600.68
Excise Duty due to Age (USD): 1802.05
VAT (USD): 1513.72
Custom Processing Fee (USD): 28.83
Railway Dev Levy (USD): 72.08
Total Import Taxes (USD): 5219
Total Import Taxes (TSHS):
11434829
Vehicle Registration Tax (TSHS):
380000.00

Hii ni kwa malawi
Duty Calculations for a Vehicle Priced at : USD 4,805.50
COST, INSURANCE & FREIGHT : USD 4,805.50
Port Charge : USD 1,000.00
Year of Make : 2002
Engine Capacity : 2000 - 2499 cc
Total of Vehicle and Port Charge : USD 5,805.50
Value for Duty Purposes(VDP) : MWK 4,026,985.08
TOTAL DUTY ESTMATED(TDE) : MWK 7,145,179.27
1 MWK =0.0015 USD

Uganda gari hilo hilo
Age of Vehicle 14 years
CIF in UGX UGX 16,582,723.29
Import Duty UGX 4,145,680.82
VAT UGX 3,731,112.74
Withholding Tax UGX 994,963.40
Environmental Levy UGX 8,291,361.65
Infrastructure Levy UGX 248,740.85
Registration Fee UGX 1,200,000.00
Total Taxes UGX 18,611,859.45
1 UG shs= 0.0003

Habari ndio hiyo...
 
Magari chakavu yanaharibu mazingira na ndiyo maana huko mnakoyanunua yanakuwa bei rahisi kwanza kuna wengine hata hupewa bure kwa maana huko hayaruhusiwi tena, hiyo ndiyo sababu!
Si kweli, wenzetu hawatumii Magari kama sisi, rafiki yangu alinunua gari ya 1998 imetembea km 10750!!!!! Ina 5yrs bongo hajagusa injini zaidi ya service za kawaida. Hizi Cary Suzuki nyingi ni za 2000 rudi chini, gari kuwa bei rahisi KWA wenzetu ni hesabu tu, inaitwa depreciation.[emoji15]
 
unachangia ukuaji wa viwanda vya uganda.. ukisikia akili mbovu ndio hii!
uganda nao wana import,kule vitu viko chini sana,ukilinganisha na hapa,wacongo,watanzania(kigoma,kagera,mwanza na hadi baadhi kutoka Dar)na hata wakenya wanachukulia pale,vitu vyao vipo chini sana,
 
Wewe na we KILAKA, kwa kipato kipi uzuie wananchi kuagiza magari chakavu? Nchi hii ya ajabu kweli badala ya kuexempt kodi wananchi wenye kipato cha chini na watumishi wenye kipato kidogo, tunaexempt wabunge... Pathetic isn't it
really pathetic!
 
Magari chakavu yanaharibu mazingira na ndiyo maana huko mnakoyanunua yanakuwa bei rahisi kwanza kuna wengine hata hupewa bure kwa maana huko hayaruhusiwi tena, hiyo ndiyo sababu!

Nchi gani kwa mfano inayo wspa watu magari ya bure, umewahi kutembelea nchi zipi za Ulaya na Merikani ambapo umekuta raia wake rwote wanaendesha magari yenye umri wa miaka mitatu kwenda chini au unafikiri huko hakuna walala hoi!

Comments zako hazionyeshi kama umewahi kutoka nje ya Tanzania.
 
Bila shaka malalamiko mengi yameandikwa kuhusiana na mada hii, sipendi ifikirike kwamba ni kitu kipya, ila kujaribu kukumbushia tena, pangine hawa wenzetu wanafikiria kwamba wanncavu sana barabarani hadi aibu
dio maana tunamagari chakhi tumeridhika kwa kukaa kimya.

Kwanza nitoe mfano wa maheasabu nikizingatia kichakata chao TRA;

Used Motor Vehicles Valuation Calculator

Reference Number 1516307575
Make: BMW
Model: X5
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2002
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2001 - 2500 CC
Customs Value CIF (USD): 4805.46
Import Duty (USD): 1201.36
Excise Duty (USD): 600.68
Excise Duty due to Age (USD): 1802.05
VAT (USD): 1513.72
Custom Processing Fee (USD): 28.83
Railway Dev Levy (USD): 72.08
Total Import Taxes (USD): 5219
Total Import Taxes (TSHS): 11434829
Vehicle Registration Tax (TSHS): 380000.00

Hebu oneni mlolongo wa majina ya kodi kwa majina tofauti tofauti unzvyoongeza gharama ya uagizaji wa magari;

Ki-uchumi, kodi nyingi kama hizi huwa zina maana mbili kwa pamoja au pengine mojawapo;

1. Kuzuia/kupunguza bidhaa za nje zisifurike katika soko la ndani, ili kuimarisha viwanda vya ndani vinavyotengeneza kwa wingi na kwa ufanisi bidhaa hiyo hiyo au inayokikdhi mahitaji kama hiyo inayotakiwa kuagizwa nje, au kuzuia kabisa bidhaa mbovu zinazoweza kuharibu mazingira na afya ya wananchi na pia kuongeza ajira za ndani.

2. Kuongeza pato litokanalo na kodi; hii huwa ni kwa muda mfupi kwani ikiendelea kwa muda mrefu pato halitaongezeka, kwani watu wataacha kununua, na kushusha pato tegemewa.

Kwa hiyo TRA , wakiwa wanafanya kazi yao kwa maslahi ya wananchi ni lazima wafikirie namna ya kutoa huduma, kwa kuweka mifumo saidizi, itakayosaidia wananchi kupenda kulipa kodi, na kuilipa kwa hamasa.

Wanapashwa kuainisha malengo yao, kama yanafanana na la kwanza au la pili; kwangu mimi naona lile la pili haliwaungi mkono sana kwa sababu makato haya yamekuwa yanaongezeka tu kwa muda mrefu sana sasa, na kuondoa dhana ya makusanyo yapaswayo kuleta faida kwa muda mfupi.

Kwa lile la kwanza, pia haliwaungi mkono kwa sababu hatuna kiwanda cha ndani tunachokikinga na bidhaa za nje.

Napata fikra kwamba TRA hawapendi kufanya tathmini itakayosaidia wananchi, ili nao angalau wapendeke, wasionekane kama wanatoka sayari ingine (Aliens), kwa sababu wao kodi hizi haziwahusu; pamoja na wabunge.

Mawazo yangu ya kuhitimisha ni kwamba kitengo cha elimu kwa mlipa kodi wanapashwa kutoa elimu kwa ukamilifu, siyo kuishia tu kwenye matakwa yao kisheria tu. Utamsikia akisema ati kama maendeleo hayaonekani pamoja na utoaji kodi hil si swala lao, hawaoni kwamba wapo kwenye mnyororo wa maendeleo (development chain)? na kwamba wao kwa kuwa huenda kuonana na walipa kodi moja kwa moja, wanakumbana na vikwazo, na kutokuwa tayari kwa sababu hawakamilishi mnyororo huu?

Kwa mlolongo huo hapo juu, ni wazi kwamba wengi mno wataacha kuagiza bidhaa hizi, na hivo kupunguza pato ambalo TRA wangekusanya kidogo kidogo lakini kwa walipaji wazuri wengi; pia, inaongeza incentive ya watu kukwepa kodi.

Fikirieni na mufanyie kazi haya malalamiko.
na n
 
Nasikia kichefu chefu hawa TRA kukusanya kodi kwa USD na sio Tsh. URA wanachaji kwa Ugsh. Kenya Ksh. Nani katuloga?
 
Labda kwa vile ukiwa mtumishi wa serikali unapata exemption hivyo hii haiwaumi.
Lakini pia wanasahau kuwa punde tu nao watarudi huku huku.
 
Gari unanunua dola 2000..utalipa milolongo ya kodi na ushuru na vibali mpaka gari iwe barabarani ishakula zaidi ya Sh.mil 5 kmamae TRA.
 
Back
Top Bottom