Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,282
- 31,432
Sasa huu ndo upumbavu kabisa yaaniTASK FORce wa tra wanashindana kununua audi..ni wapumbavu sana kila mwaka wanangangania wapandishe kodi...kuna mtu wa ndani azam niliongea nae anasema azam alikuwa analipa kwa almashauri kodi ya mabango b13-20b walivyokuja kuhamishiwa tra wakatakiwa kulipa b50-80 wakakayafuta na kununua turubai nyingine..