Mkuu pia andika kwa kidole "Barakoa zina Sumu msizivae"Mie kwenye kijiwe changu cha kuuza majeneza huwa siweki bango bali nimetundika jeneza moja kwa kamba juu hivyo mtu akipita tu anaona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu pia andika kwa kidole "Barakoa zina Sumu msizivae"
Hili ni tatizo Kubwa sana, na liko mikononi kwa Raisi mwenyewe, na hapo inakua ngumu sana kuliongelea Swala la kodi Kubwa ambayo inarudisha Nchi nyuma, Ni vizuri raisi akatafuta watu mwenye uelewa wa Biashara wawe wafanya biashara wasio na historia ya upigaji, wamshauri wamwonyeshe jinsi kodi Kubwa na nyingi inavyoikosesha Nchi pesa nyingi.Naandika haya huku nacheka sana,
Mmoja wa wateja wangu alitaka kufanya Campaign kubwa ya kitaifa kwa ajili ya bidhaa yake/ huduma. Kama ilivyo kawaida yangu nilimpatia baadhi ya Maangalizo ikiwamo umuhimu wa kuwa strategic na cost conscious ili asije tumia pesa nyingi kufanya matangazo ambayo sio ya lazima. Basi tukaanza mchakato wa kufanya due diligence na kuona hii kampeni yake ya kuweka mabango offline itaendaje.
Nikaenda kwa afisa wa TRA kufahamu kodi ya mabango ni kiasi gani? Akaniambia ni TZS 18000 kwa futi moja ya mraba.Kwa hesabu za haraka Bango moja kubwa linaweza kuwa na futi 8 za mraba hivyo kwa mwaka litapaswa kulipiwa kati ya TZS 40k hadi TZS 80k kwa idadi ya mabango tuliyotaka kuweka na ukubwa wake tuligundua kwamba gharama za kuyatengeneza mabango ni ndogo kuliko kuliko kodi kwa 120% yaani kodi tutakayolipa kwa kila bango ni kati ya 80% na 120% Kwanza nikashangaa lakini baadae nikaelewa ni kwa nini sasa hivi makampuni mengi yanakimbia kuweka Mabango mjini.
Hivi TRA hizi rates nilizopatiwa kweli ndo standard rates au kuna mazingira ya UPIGAJI? Ukipita mjini mabillboard yaliyokuwa yanachangamsha mji yameshushwa mji unaoneka umezeeka kumbe chanzo ni hizo kodi tata za Mabango.
Swali ni je, hiki kiwango ni fair?
Hakuna hata haja ya kulipisha mabango kwenye magari, kwani magari yanalipa kodi, na hizo bizaa zinalipa kodi, unampa unafuu wa huyo wenye bizaa kupata wateja, ili aweze kulipa kodi , hawafikirii hawa watu kabisa.TRA wana matatizo wako tayari wakose pesa kuliko ku chaji pesa ndogo wakiusanye kodi
Mfano madogo magari mengi sana ya kubeba mizigo yalikuwa na matangazo ya bidhaa kwenye bodi za magari baada ya kuambiwa kodi kubwa na TRA za hayo.matangazo ambayo kwa wanaona kama mabango ya biashara wenye mahari wamefita hayo.matangazo gari inatembea bila tangazo na TRA wanaambulia mikono mitupu!!! heri hata wangesena lupeni hata elfu 20 kwa mwezi waambulie chochote kulipko.kupata zero
Lipa Kodi acha kupiga diliTRA wana matatizo wako tayari wakose pesa kuliko ku chaji pesa ndogo wakiusanye ko
Noliona juzi unawaambia TABOA wakuwasilishie chap matatizo yao utapiga simu kwa wahusika watatue haraka sana vipi na hili huwezi kupiga simu?TRA wana matatizo wako tayari wakose pesa kuliko ku chaji pesa ndogo wakiusanye kodi
Mfano madogo magari mengi sana ya kubeba mizigo yalikuwa na matangazo ya bidhaa kwenye bodi za magari baada ya kuambiwa kodi kubwa na TRA za hayo.matangazo ambayo kwa wanaona kama mabango ya biashara wenye mahari wamefita hayo.matangazo gari inatembea bila tangazo na TRA wanaambulia mikono mitupu!!! heri hata wangesena lupeni hata elfu 20 kwa mwezi waambulie chochote kulipko.kupata zero
Malori mengi yamefuta mabango
Kuanzia Azam hadi Azania
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kusema TRA ndo wahujumi uchumi namba moja.TRA wana matatizo wako tayari wakose pesa kuliko ku chaji pesa ndogo wakiusanye kodi
Mfano madogo magari mengi sana ya kubeba mizigo yalikuwa na matangazo ya bidhaa kwenye bodi za magari baada ya kuambiwa kodi kubwa na TRA za hayo.matangazo ambayo kwa wanaona kama mabango ya biashara wenye mahari wamefita hayo.matangazo gari inatembea bila tangazo na TRA wanaambulia mikono mitupu!!! heri hata wangesena lupeni hata elfu 20 kwa mwezi waambulie chochote kulipko.kupata zero
Si unakumbuka ilitaka kuanzishwa kodi ya lakini za simuSoon wataanza kukata kodi kwa wote wanaomiliki smartphone.