Hii nchi ni ya hovyo sn. Mtu anawaletea hela bado mnamsumbua. Na ndio anapatia mshahara wake!Baada ya kulipia ulienda Ofisini kwao kupata Risiti?
Nakumbuka mwaka 2015 niliwahi kulipia mwezi wa Tano nikaitwa kufata Leseni mwezi wa Kumi. Huenda ni zama zinajirudia
Nakushauri hebu wapigie 0800110016 au 0800780078 nimetoka piga hizo namba muda si mrefu nilikuwa nashida nao na mimi nimemalizana nao wamenisaidiaMnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate.
Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna tatizo jingine mie sifahamu.Naombeni mnisaidie katika hili.
Nimeambatanisha na message ya malipo .
Malipo yamekamilika, Kiasi TSh 70,000 kwenda TRA-Commissioner for Domestic Revenue.
Namba ya malipo: 998417...
3. Jina: ............
Salio jipya: TSh 2,520. Ada: 1,000. VAT TSh 153. Muamala: 16819667. 04/06/22 10:34.
Baada ya miaka 2 Kama huja-renew itatakiwa kuanza process ya kuomba leseni upyaaa.Hii nchi ni ya hovyo sn. Mtu anawaletea hela bado mnamsumbua. Na ndio anapatia mshahara wake!
Hivi wajuzi leseni imeexpire zaidi ya mwaka huwa wanazingua au ni poa tu. Asanteni.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate.