comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,226
- 5,947
Kwa muda sasa kamanda mkusanya kodi PAMELA wa kitengo cha EFD amekuwa akihimiza utumiaji wa EFD kwa namna inayozidi mamlaka aliyopewa na sheria; anatukana wafanyabiashara na kuwababikizia ankara za uongo. Anaingilia hata utaratibu wa kiuongozi wa wafanyabiashara.
Amefika hatua ya kusingizia wafanyabiashara tuhuma chafu kama uuzaji wa madawa ya kulevya na mambo kama hayo. Inasemekana anapewa nguvu hizi na Meneja wake wa Mkoa.
Kwa ujumla utendaji wa namna hii hauna tija na bora ulekebishwe mapema.
Wafanyakazi wengi tra wanatumia lugha za kuudhi kama:

- Munaisoma namba
- Mulimchagua wenyewe
- Ni mabunge yenu ya ccm yanayoimba ndiyoooooooooo huku hayana chochote wajuacho yaliyopitisha sheria
- Kama huwezi funga biashara