TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

kodi.jpg
 
We nawe umetokea wapi?hoja ya kukaguliwa kakobe uningiza mada nyingine,au ndio mliokaririshwa maisha na kakobe.ulanzi haumuachi mtu salama
akili zako zina urefu wakikombe cha kahawa so huwezi kielewa nachozungumza namantik ninayo izungumza..so go back to school

period
 
Mungu yupi anaegombania sadaka?mathayo 12:7 Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya nataka rehema ,wala si sadaka,msingaliwalaumu wasio na hatia.Mungu wa kweli hagomaniani sadaka na muumini wake .Mungu anataka watu watende matendo mema na si sadaka.
Kinachotokea ni binadamu kujaribu kumpokonya Mungu Sadaka.
 
TRA wana taratibu zao za kazi.Tax investigation huwa haisimamiwi na MTU mmoja kuanzia mwanzo hadi mwisho.Kuna kitu Kuna naitwa TOR au terms of reference.Wa kwanza unaambiwa utaanzia hapa point A hadi B.Akimaliza analetwa bosi mwingine kuanzia point B hadi C.Na aweza kuja mwingine kuanzia Point C Hadi D nk kubadilishwa hivyo huwa sababu za utaalamu wa eneo husika.mmoja aweza kuwa mtaalamu hasa eneo A sio B nk Kakobe ache uchunguzi wa kodi ni mambo ya kitaalamu.

Asishangae huyo naye anatoka akaja mwingine ambaye yeye mfano aweza kuwa kabobea kwenye kodi za kimataifa kuangalia kama huduma ya Kakobe huwa inapata mapato nje ya nchi inalipa kodi nchi zingine anakofanya huduma na mfumo wa mapato yake huduma nje ya nchi ukoje na akaunti zake na akimaliza aweza ondoka akaja mtaalamu wa utakatishaji fedha wa TRa kuongoza team kuona kama akaunti za kanisa za Ndani na zile nje zina mahusiano na kama hazina zinaoperate vipi na je hakuna itumikayo kutakatisha fedha au kuzikwepesha ili zisijulikane Tanzania.

Sababu utajiri wake waweza kuwa ni wa pesa za nje ya nchi ambako huwekwa kwa pesa za kigeni.Mwingine aweza kuja kutizama matumizi ya sadaka tu kuwa zikikusanywa zinatumika kanisa husika au husafirishwa kwenda mahali kwingine zikienda huenda wapi?Huwa hazibadilishwi kwa pesa za kigeni na kusafirishwa nje ya nje kwa njia za panya na kwenda kuwekwa akaunti zake zilizoko nje ya nchi?

Kifupi Kakobe asidhani huo ukaguzi ni Mdogo kuwa unahitaji MTU mmoja afanye amalize Ndani ya siku mbili.TRA hapo atakuwa nao muda mrefu Sana.Atulie tu.Nadhani sasa atakuwa kaanza kuelewa ule usemi wa Biblia kuwa ulimi kiungo kidogo lakini usipouchunga matatizo yake makubwa mno.
Kwa kila akimaliza kukagua anahamishwa kituo au?,vipi mna na wa vitengo vya kukagua utajiri wa rohoni?,nyumba za minada watu wanakwepa kuzinunua wanaogopa kufwatwa watoe bank statement
 
kukiwa na sheria hiyo itajulika



Nadhani sasa hawataendelea na uchunguzi, baada ya Ibada ya Jumapili, na Kakobe kuwageuzia kibao. sidhani kama watakuwa interested kuendelea, nadhani wataishia kimya kimya bila hata press conference.
Huwa wakipigwa za uso upotea kimya kimya hawaleti marejesho.
 
Unaota hapo uchunguzi ndio utapamba moto uchunguzi wao ni kama wa kimahakama wakiwa kwenye uchunguzi hawatakiwi kuongea chochote hadi ukamilike.Ni marufuku ofisa yeyote wa serikali kuongelea uchunguzi kabla ya kukamilika na ripoti kutoka iwe wanachunguza mhamiaji haramu nk Sasa wataingia Ndani zaidi akisema hana akaunti Ndani ya nchi na nje ya nchi je nako hana za kwake ,za familia au za kanisa? Subiri tulia Wataalamu wa uchunguzi sio waropokaji kama Kakobe Nikumegee kitu wachungaji wengi wa Kakobe wanataka sana uchunguzi wa sadaka unaofanywa na TRA.Sadaka zinazokusanywa makanisani kwao mikoani zinaishia kwa kakobe makao makuu .Badala ya kusaidia makanisa mahali husika zilipokusanywa.Kuna mambo subiri ripoti ya TRA.TRA watafuatilia hadi senti ya mwisho iwe ya Ndani ya nchi au nje ya nchi.Kuna kazi wanafanya open zingine behind the scene.Na maadili ya kazi hawaruhusiwi kuongea hadi ripoti itoke isainiwe na makubwa zao
Kwa hio Uchunguzi wa sadaka ni kwa kakobe tu kwann msifanye makanisa na dini zote hadi kwa waganga wa kienyeji kote zatolewa sadaka
 
Neno nalielewa vizuri sina haja ya kulirudia mimi ni one touch one goal,sina haja ya kurudia,huyo mtoa mada aliejibu matusi ndio amejibu bila jazba, na wala hajakurupuka,mbona humpi usia wa kutotukana watu ovyo,au unamuogopa?au ndio kakobe mwenyewe?hahaha kawakaririsha maisha mpaka munamuogopa,poleni sana.
Madume mazima mnakaririshwa maneno na kakobe someni muelewe neno,msonge mbele msiwe mateka.samahani kama ni ke,ila kama ni dume poooole.
Una chuki binafsi na kakobe,
 
Amina kwa baraka,kama ni mchungaji,chunga kondoo wa mungu vema, hakikisha humpotezi hata moja,usijitwalie utukufu wa mungu ,ukafanya waumini wako wakuabudu wewe badala ya Mungu,msijitwalie pesa kwaajili ya neno la Mungu,mmepata bure toeni bure.
Mchungaji gani anakuwa muoga kukemea maovu,Dawa ya maouvu ni kuyasema ili wahusika watubu wasipotee kwenye uovu.
 
Kwa hio Uchunguzi wa sadaka ni kwa kakobe tu kwann msifanye makanisa na dini zote hadi kwa waganga wa kienyeji kote zatolewa sadaka
Dini zingine juhudi zao zinaokana wana shule,hospitali na miradi kibao ya maendeleo ya kusaidia waumini wao.Kakobe pesa anapeleka wapi waumini choka ambaya hana shule wala miradi ya kusaidia waumini waondokane na ujinga,maradhi .umaskini huku yeye anatamba kuwa tajiri katikati ya waumini maskini. Lazima achunguzwe.kaangalie waumini mfano katoliki Lutheran waislamu nk hali zao nzuri sana na hujawahi sikia kiongozi wa dini yao anasema tajiri kuliko serikali never.Lakini waumini wao wako vizuri shule za kuwaelimisha zipo,hospital miradi kibao ya kuwasaidia nk .Kakobe sadaka anapeleka wapi? Tambo za kusema tajiri kuliko serikali lazima zifuatiliwe
 
kukuza mambo kivipiiii......???? yani mtu kuambiwa tu atubu anakagua hadi boxer za mchungaji???
 
Dini zingine juhudi zao zinaokana wana shule,hospitali na miradi kibao ya maendeleo ya kusaidia waumini wao.Kakobe pesa anapeleka wapi waumini choka ambaya hana shule wala miradi ya kusaidia waumini waondokane na ujinga,maradhi .umaskini huku yeye anatamba kuwa tajiri katikati ya waumini maskini. Lazima achunguzwe.kaangalie waumini mfano katoliki Lutheran waislamu nk hali zao nzuri sana na hujawahi sikia kiongozi wa dini yao anasema tajiri kuliko serikali never.Lakini waumini wao wako vizuri shule za kuwaelimisha zipo,hospital miradi kibao ya kuwasaidia nk .Kakobe sadaka anapeleka wapi? Tambo za kusema tajiri kuliko serikali lazima zifuatiliwe
Kwa hio na mie choka mbaya naishi nyumba ya nyasi huku simiyu nikisema na hela kuliko serikali mtakuja nichunguza.Mbona Dr shika kasema ana billion 25 Uchunguzi wake lini, kama kusema ni kusema.
 
Kwa hio na mie choka mbaya naishi nyumba ya nyasi huku simiyu nikisema na hela kuliko serikali mtakuja nichunguza.Mbona Dr shika kasema ana billion 25 Uchunguzi wake lini, kama kusema ni kusema.
Dt shika hapokei sadaka kwa MTU
 
Tatizo ni ile kauli ya "Tubu dhambi zako", hakuna jingine. watu wanataka baraka za Mungu bila kutubu
 
Na waganga wa kienyeji MBONA upokea sadaka, makanisa mengine lini mtaanza kukagua sadaka.
Waganga wa kienyeji hawajasajiliwa na serikali na hawapokeii sadaka hupokea kafara ambayo yaweza kuwa MTU au mnyama au ndege kuku nk kafara sio sadaka wala fungu LA kumi LA Kakobe lvinavyomfanya Kakobe atambe kuwa ana hela kuliko serikali
 
akili zako zina urefu wakikombe cha kahawa so huwezi kielewa nachozungumza namantik ninayo izungumza..so go back to school

period
Wewe umekunywa pombe ndio unaona kulia kushoto kushoto kulia,acha kukurupuka kangara itakuponza,na uache maisha ya kukaririshwa na akina pangupakavu
 
Back
Top Bottom