TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

Jitu kubwa kabisa unakaririshwa maisha,huna ubongo weye,na hiyo signature ya trumph mnavyofanana lo! Ndio maana mnalea vitoto vya akina pangu pakavu.
[HASHTAG]#Shithole[/HASHTAG] huna mpya
 
Mchungaji gani anakuwa muoga kukemea maovu,Dawa ya maouvu ni kuyasema ili wahusika watubu wasipotee kwenye uovu.
Nakukumbusha soma warumi 13,usome kwa sauti na waumini wa kakobe wasikie,na kakobe pia asikie.
 
Kibeseni bado umelala someni warumi 13,mnaelekezwa kutii mamlaka iliyo kuu,na kutoa heshima kwa viongozi wenu,na kulipa kodi,kakobe kama ni mtumishi anaemwakilisha kristo duniani ,ilibidi ayajue haya na awafundishe wachungaji wake na waumini wake,lakini yeye amekua wakwanza kutotii mamlaka ,hao waumini wake wakoje?si ndio kabisaa,hawama hata hiyo habari,serikali chunguzeni makanisa ya akinapangupakavu wanafundishwa nini?
 
H
Kibeseni bado umelala someni warumi 13,mnaelekezwa kutii mamlaka iliyo kuu,na kutoa heshima kwa viongozi wenu,na kulipa kodi,kakobe kama ni mtumishi anaemwakilisha kristo duniani ,ilibidi ayajue haya na awafundishe wachungaji wake na waumini wake,lakini yeye amekua wakwanza kutotii mamlaka ,hao waumini wake wakoje?si ndio kabisaa,hawama hata hiyo habari,serikali chunguzeni makanisa ya akinapangupakavu wanafundishwa nini?
Heri nilale mie,mda wakujibishana na mpumbavu sina, nisije kuwa mpumbavu kama yeye.


Sent from KIBESENI teknology................
 
H

Heri nilale mie,mda wakujibishana na mpumbavu sina, nisije kuwa mpumbavu kama yeye.


Sent from KIBESENI teknology................
Kibesenii,mambo kibeseni pole kwa uchovu,umesoma warumi 13?soma na biblia vizuri,acha uvivu ,na kulala, kesha usiku na uamke mapema,uvivu wenu wa kusoma ndio unamfanya kakobe afikiri kwa ajili yenu na kuwafanya mateka,vitatizo vyenu vidogo vidogo,mpaka kakobe awatatulie ndio maana mko mateka,soma sana usimuache elimu,someni biblia yote asiwakaririshe vifungu vifungu kwa maslahi yake,someni,kibeseeni sikuhizi unaijua na teknolojia,du kweli unamaendeleo,msalimie kakobe,ukamsaidie na mama askofu kufua na kupanga pichu zake
 
Kibesenii😀😀 ,jibu bwana,au mpaka kakobe akupe ruhusa?omba hata misukule wenzio wa akina justice kwanza wakusaidie, maana ndio mmekaririshwa neno "upumbavu"maneno yako mengi jamani sio hilo tu,mwambieni awafundishe kuwa watii wa mamlaka pia warumi 13.,kibesenii sikuhizi ni mwanateknolijia.
 
Kibesenii😀😀 ,jibu bwana,au mpaka kakobe akupe ruhusa?omba hata misukule wenzio wa akina justice kwanza wakusaidie, maana ndio mmekaririshwa neno "upumbavu"maneno yako mengi jamani sio hilo tu,mwambieni awafundishe kuwa watii wa mamlaka pia warumi 13.,kibesenii sikuhizi ni mwanateknolijia.


Shetani naye anatumia maandiko, Mfano Mathayo 4: 5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, 6 akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

andiko hilo shetani amelichukua katika Zaburi 91:11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.

Kwahiyo wewe ni ajenti wa ibilisi, nawe umesimama kinyume na Kweli ya Neno la MUngu. ndiyo maana una ujasiri wa kuwanenea mabaya Watumishi wa Mungu kama Kakobe.

Maandiko yanaposema tuitii mamlaka, haimaanishi tutatii kila kitu hata kama kipo Kinyume na Neno la Mungu; Mfano, Shadraka na Meshaki na Abednego walikata amri ya Mfalme ya Kuabudu sana ambayo Nebukadreza aliisimamisha; Je waliitia mamlaka? jibu ni hapana; Je walifanya Dhambi? jibu ni hapana, ndiyo maana MUngu aliwaokoa hata baada ya kutupwa katika tanuru la Moto. Danieli 3:1-30; Danieli naye hali kadhalika, Danieli 6;

kwahiyo acha kupotosha maandiko. Hata mashoga na wasagaji hutumia Biblia kwa taarifa yako; wanasema Mungu alimwambia adamu nitakufanyia msaidizi wa kufanana nawe, wanasema mwanamke hafanani na mwanaume, ndyi hao wanaleta mambo ya ushoga. Kaa chini jifunze, acha kiburi.

Ifahamike kwamba maandiko hayafasiriwi kama apendavyo mtu fulani tu, 2 Petro 1:20 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.

hii ni ajabu, kwamba ukienda Chuo, unakubali kufundishwa History, Jiografia au Kemia, Lakini kwenye Biblia kila mtu anajifanya mwalimu; Kuna hukumu kubwa kwa walimu. Yakobo 3:1 Ndugu zangu, msiwe waalimu wengi, mkijua ya kuwa mtapata hukumu kubwa zaidi.

Neno la Mungu siyo kama hisabati, kwamba kila mtu atakuwa Mwalimu. Wewe umetoka huko kulewa kangara, unafanya uzinzi na uasherati, bado unataka uwe Mwalimu wa Neno la Mungu. Okoka kwanza, Mungu akupe uwezo wa kushinda dhambi ndipo uanze kufundisha Neno la Mungu.

Maandiko yanasema Kila alitajaye Jina la BWANA na auache uovu. 2 Timotheo 2:19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.

Acha kwanza UOVU ndipo uanze kulitaja Jina la BWANA.
 
Nakuuliza kanisa au church,linamwakilisha nani?kanisa linamwakilisha yesu kristo na si vinginevyo,yesu alisemaje anayetaka kunifuata na ajikane nafsi yake,wewe na mwenzio kakobe,mnajua kijikana nafsi?watu wanakuja kny hiyo church yenu,wanakuja fundishwa nini?wanakuja kumuabudu mungu,au wanakuja sikiliza pichu za mama mchungaji kukaguliwa?madhabahu ya kristu ,ihubiri ukristu,nyie wanaume mizima inavaa suruali anafunga na mkanda inakwenda kanisani kusikiliza pichu za mama askofu kukaguliwa kweli?umesema kweli hilo kanisa lenu linamwakilisha ibilisi hiyo mathayo 4;5 inawahusu asilimia mia moja,tena utakapokuja kujibu,pamoja na majibu yako ya kukariri matusi,uniambie maana ya kujikana nafsi na kumfuata kristo.jitambue kijana
 
Luka 9:23-24,akawaambia wote,mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe,ajitwike msalaba wake kilasiku anifuate24 kwa kua mtu atakaetaka kuiponya nafsi yake ataiangamiza,na mtu atakaeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu ndiye atakayesalimika.
Haya elezea kakobe amejikana nafsi,nguo zimeguswa tu anapiga kelele,huyo anaweza kujikana na kubeba msalaba wake?yeye utii wake upo wapi,? Kimtii kristo kuko wapi?amekalia kuwakaririsha matusi tu,anatakiwa awafundishe kuwa wanyenyekevu ,watii,na kujikana nafsi na kumfuata yesu kristo hapo mge eleweka,vinginevyo hiyo church au kanisa kny hiyo taasisi yake aifute aandike kitu kingine,kwa kuwa kanisa au church linamwakilisha yesu kristo,na huo uaskofu avue,kwa kua pia unamwakilisha yesu kristo,bali ajivike labda u @Nabii tito
 
TRA wamemaliza kimya kimya, na wamepotea kimya kimya!

Asante sana Mtumishi wa Mungu Kakobe.
 
Back
Top Bottom