Sina chuki binafsi na bosi wako kakobe,kama umekaririshwa maisha na kakobe ni juu yako,Una chuki binafsi na kakobe,
Leteni hoja yenu ya kukaguliwa ,msikwepe ukweli.
Sina chuki binafsi na bosi wako kakobe,kama umekaririshwa maisha na kakobe ni juu yako,Una chuki binafsi na kakobe,
Usikariri wewe,mbona hamuisemi ile kauli ya pesa kuliko serikali?Tatizo ni ile kauli ya "Tubu dhambi zako", hakuna jingine. watu wanataka baraka za Mungu bila kutubu
Kama unaishi kwa kauli za kitapeli utakaguliwa na uhojiwe ili mamlaka ijiridhishe kama uko mzima au zimefyatukaKwa hio na mie choka mbaya naishi nyumba ya nyasi huku simiyu nikisema na hela kuliko serikali mtakuja nichunguza.Mbona Dr shika kasema ana billion 25 Uchunguzi wake lini, kama kusema ni kusema.
Kwahiyo askofu wako unamfananisha na wa akina kalumanzila?Na waganga wa kienyeji MBONA upokea sadaka, makanisa mengine lini mtaanza kukagua sadaka.
Kazi ya mchungaji ni kulisha kondoo wa kristo ,si kukurupuka na kuleta uzishi kny jamii.Mchungaji gani anakuwa muoga kukemea maovu,Dawa ya maouvu ni kuyasema ili wahusika watubu wasipotee kwenye uovu.
kama wakikariri kama kakobe kua wanapesa kuliko serikali watakaguliwa,kukurupuka akurupuke kakobe,muwashirikishe makanisa mengine,hiyo kauli ya pesa kuliko serikali ni yakwake ,tena mumwambie atii mamlakaKwa hio Uchunguzi wa sadaka ni kwa kakobe tu kwann msifanye makanisa na dini zote hadi kwa waganga wa kienyeji kote zatolewa sadaka
Unamfahamu mtoto wake wa kiume aliyesoma Good Samaritan? Magari aliyokuwa akitumia kwenda nayo shule ni zaidi ya hiyo nyumba, anasoma sekondari na anaendesha mwenyewe!Ndiyo Nyumba yake, aliijenga tangu miaka ya themanini; kwa gharama ya Milioni 2; kabla hajawa mtumishi wa Mungu; baada ya kuingia katika utumishi, maisha yake yote ameyatoa kwaajili ya huduma.
mimi nimekunywa pombe aina ya beer ila wewe umekunywa gongo mixer wanzuki..ndio maana mpka akili yako yaonyesha kulewa ..hujielewi..ningekuwa mimi ndiye mzazi wako ningekubadilisha na pumba tu ilinipate mashudu as chakula cha kukuWewe umekunywa pombe ndio unaona kulia kushoto kushoto kulia,acha kukurupuka kangara itakuponza,na uache maisha ya kukaririshwa na akina pangupakavu
Jitu kubwa kabisa unakaririshwa maisha,huna ubongo weye,na hiyo signature ya trumph mnavyofanana lo! Ndio maana mnalea vitoto vya akina pangu pakavu.mimi nimekunywa pombe aina ya beer ila wewe umekunywa gongo mixer wanzuki..ndio maana mpka akili yako yaonyesha kulewa ..hujielewi..ningekuwa mimi ndiye mzazi wako ningekubadilisha na pumba tu ilinipate mashudu as chakula cha kuku
maana huna faida ..nakuwa namtoto asiyejitambua kama wew nisawa nakuhifadhi fuvu lamtu ndani ya kabati ..
shithole
Mnakariri mpaka maneno ya trumph ama kweli kazikwelikweliSerikali yenye laana .Kweli Trump hakukosea kutuita shitholes yes ! We are diguisting filthy shitholes indeed.
Rudi kny mada husikaMijitu imekalia upuuzi mtupu kupambana na watu wanaosema ukweli yaani mpaka leo hawa viongozi wakuu wanayofanya haya ndo hao hawana aibu bado wanapanda majukwaani na kuongea upupu wa ahadi za maji na umeme Dah! Miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru .Shame on Tanzanian rulling greenish cartel if you know what I mean .
TRA wana taratibu zao za kazi.Tax investigation huwa haisimamiwi na MTU mmoja kuanzia mwanzo hadi mwisho.Kuna kitu Kuna naitwa TOR au terms of reference.Wa kwanza unaambiwa utaanzia hapa point A hadi B.Akimaliza analetwa bosi mwingine kuanzia point B hadi C.Na aweza kuja mwingine kuanzia Point C Hadi D nk kubadilishwa hivyo huwa sababu za utaalamu wa eneo husika.mmoja aweza kuwa mtaalamu hasa eneo A sio B nk Kakobe ache uchunguzi wa kodi ni mambo ya kitaalamu.
Asishangae huyo naye anatoka akaja mwingine ambaye yeye mfano aweza kuwa kabobea kwenye kodi za kimataifa kuangalia kama huduma ya Kakobe huwa inapata mapato nje ya nchi inalipa kodi nchi zingine anakofanya huduma na mfumo wa mapato yake huduma nje ya nchi ukoje na akaunti zake na akimaliza aweza ondoka akaja mtaalamu wa utakatishaji fedha wa TRa kuongoza team kuona kama akaunti za kanisa za Ndani na zile nje zina mahusiano na kama hazina zinaoperate vipi na je hakuna itumikayo kutakatisha fedha au kuzikwepesha ili zisijulikane Tanzania.
Sababu utajiri wake waweza kuwa ni wa pesa za nje ya nchi ambako huwekwa kwa pesa za kigeni.Mwingine aweza kuja kutizama matumizi ya sadaka tu kuwa zikikusanywa zinatumika kanisa husika au husafirishwa kwenda mahali kwingine zikienda huenda wapi?Huwa hazibadilishwi kwa pesa za kigeni na kusafirishwa nje ya nje kwa njia za panya na kwenda kuwekwa akaunti zake zilizoko nje ya nchi?
Kifupi Kakobe asidhani huo ukaguzi ni Mdogo kuwa unahitaji MTU mmoja afanye amalize Ndani ya siku mbili.TRA hapo atakuwa nao muda mrefu Sana.Atulie tu.Nadhani sasa atakuwa kaanza kuelewa ule usemi wa Biblia kuwa ulimi kiungo kidogo lakini usipouchunga matatizo yake makubwa mno.
Msalimie mkweo Mara ya mwisho kumtumia hela ya matumizi ilikuwa lini?Hizi ni bla bla tu za kutaka kutetea mambo ya aibu yanayofanyika
Atakayemuua kakobe mwenye haki,aandae makaburi mengi. Kwa huyu, tatakufa wengi.
Atakayemfunga, apanue geleza lake .ajue atatufunga wengi.
Ni heri nife nikiitetea haki na mwenye haki.
HAWAJUI KUWA
Msukule umefunguliwa