YEHODAYA Acha uongo, msimamizi wa kwanza ameshushwa na kupelekwa mkoani, (mkoa aliopelekwa unahifadhiwa kwa sasa) amepata demotion kwamba hakufanya kazi waliyoitaka ili kumkomoa Kakobe,
FYI ni kwamba huyu msimamizi wa kwanza alifunga uchunguzi na kusema hakuna kodi ya serikali hapa, maana mapato yote ni SADAKA, na SADAKA haitozwi kodi. matokeo ya uchunguzi hayakuwafurahisha mabwana wakubwa, wakampa demotion na kuanza upya uchunguzi kwakupekua nguo. Swali la kujiuliza, mradi gani wa kodi unakaa kwenye nguo???????? hii nchi ya vi-wonder kweli.