TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

Jamani nchi ,ni ya wananchi wote,ninaendeshwa na sheria na taratibu ,haiendeshwi kama mtu ananvyojitakia mwenyewe,makanisa na maeneo yote yanayofanya ibada yana utaratibu ,yanasimamiwa na mamlaka ya nchi chini ya sheria husika,TRA,wanafanya kazi chini ya tararibu na sheria husika,ukaguzi wanaofanya Tra,ni wakawaida pale wanapohisi kuna mapato ya serikali, nashangaa kakobe askofu wa siku nyingi tena amesoma kwa kiwango chake anashangaa kukaguliwa na vyombo vya serikali,yeye mwenyewe kakiri anapesa kuliko serikali na waziri anayetaka aende akamkopeshe,alitegemea nini? Serikali isiende kuchukua mapato yake?kama alikua anabeep safari hii namba ataisoma.
Mzee wa vijisenti
 
kakobe huyu huyu aliesoma mkwawa,aliekua mcheza disko mahiri,au mwingine? Na kama unasema hawamjui mtambulishe ajulikane asitembee gizani,atembee nuruni,na kama ni mtu wa nuruni utajulikana tu,na hayo ya kuwaita wenzio wapumbavu ndio unajidhiirisha yaliokujaa moyoni,kuwa giza limetanda,ukristo sio kutukanana bali kuelimishana juu ya roho wa Mungu ili watu wapone ,na si kujigamba,na serikali kupitia vyombo vyake hawana sababu ya kumtafutia kosa lolote ,yeye mwenyewe kakobe kadeclear anapesa kuliko serikali ,ulitaka serikali ifanyeje?ikae kimya? Lazima ikague uhalali wa kumiliki pesa kuliko serikali,na kama kuna mapato ya serikali wayachukue,sasa mnashangaa nini?mnalalamika nini? Hii sio serikali dhaifu.kakobe ni nani mpaka wamtafutie kosa? TANZANIA ina watu wangapi?yeye mwenyewe kaongea maneno ya kudraw attention kwenye vyaombo vya serikali,au ilikua anatafuta kiki?Mwache aisome namba vizuri.

Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.

Zaburi 53:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

Biblia imesema pia kuhusu mpumbavu/upumbavu.

Ni upumbavu kuanza kuchunguza miradi inayopaswa kutozwa kodi kwenye nguo.
 
Usisome biblia kwa kukariri,soma uielewe,tena uombe sana Roho mtakatifu akufunulie,neno la Mungu limesema Mpumbavu amesema Moyoni"narudia Moyoni,hakuna Mungu,sasa wewe unayesema wenzio wapumbavu ,umewasikia wapi kny mioyo yao wamesema hakuna Mungu,maana kila Mtu ana moyo wake, watu wanaomkagua kakobe ni wapumbavu,kwani wanapomkagua ndio wamesema hakuna Mungu?kwani kakobe ndio mumgu?kama amewaambia yeye ndio mungu,ngoja nicheke kidogo,ha ha haa,ama kweli mmepatikana, mmekaririshwa maneno ya biblia,poleni sana someni biblia muielewe,Mungu ni moja yupo mbinguni,duniani hakuna mungu,hapa kuna mamlaka zilizowekwa na mungu, ukaguzi wa kukagua unafanyika na vyombo vya serikali na vina mamlaka ,ya kukagua mpaka ndani ya utumbo si kny nguo tu,tena wamekuhurumia sana,usijisahau ukafikiri kakobe ni Mungu,yeye kaikuta biblia aisome na kuwafundisha asijisahau sana,tena mwambieni aheshimu mamlaka ,kwakua mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.
 
Kakobe ni mtumishi wa Mungu, hafanani na wewe mlevi na mwasherati. ameokolewa, amesafishwa. ndiyo anakuhubiri hata wewe uache dhambi.

Sitakujibu tena, nisije nikafanana na wewe! labda kama utakuja kwa adabu.

Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Mithali 29:9 Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu; Akikasirika au akicheka, pia hapana raha.
 
Ukiona mtu anatukana matusi ujue ameshaishiwa hoja,huna hoja,na huna cha kunijibu zaidi ya matusi,pole sana,muombe Roho mtakatifu akufunue,umeona wapi mtu kutwa anatafuta maneno kny biblia ya kutukana watu?jamii furum ni ya great thinkers,na si wa kukaririshwa na kakobe mistari ya biblia,wajinga ndio waliwao,ulivyo anzisha uzi huu ulifikiri wote tumekaririshwa maisha na kakobe?ilitaka wote tumsifu ?shame on you,tena serikali tunaomba mchunguze vizuri si mapato tu ,hata hawa maaskofu wa akina pangu pakavu,wanawapoteza sana watu kwa kuwakaririsha watu mistari na kuwafanya mateka,makanisa wanaodai kutwa kuchwa sadaka na kuwanyooshea watu wengine vidole ilhali wao ndio wakosefu wachunguzwe na yafungwe,watumishi wenye weledi wapo wengi tu,tena huna hoja wewe hata mtoto wangu wa darasa lakwanza anakupita mbali,acheni kukaririshwa ,utakuta dume zima linakaririshwa maneno na kakobe,kweli? Ndio maana na wake zenu wana**wa na hao maskofu wenu wa akinapangu pakavu.tena unamtindo wa kuwanyooshea vidole watu kuwa wanadhambi watubu,anza wewe mdhambina mkuu kutubu,toa kwanza boriti kny jicholako ndio utoe kibanzi kny jicho la mwenzio, tunaomba mamlaka husika chunguzeni maaskofu wa akina pangupakavu
 
Kenna unalielewa vyema neno la Mungu?Acha jaziba soma taratibu urudi e tena na tena utalielewa. Usikurupuke kujibu kwa jaziba
 
Kenna unalielewa vyema neno la Mungu?Acha jaziba soma taratibu urudi e tena na tena utalielewa. Usikurupuke kujibu kwa jaziba
Neno nalielewa vizuri sina haja ya kulirudia mimi ni one touch one goal,sina haja ya kurudia,huyo mtoa mada aliejibu matusi ndio amejibu bila jazba, na wala hajakurupuka,mbona humpi usia wa kutotukana watu ovyo,au unamuogopa?au ndio kakobe mwenyewe?hahaha kawakaririsha maisha mpaka munamuogopa,poleni sana.
Madume mazima mnakaririshwa maneno na kakobe someni muelewe neno,msonge mbele msiwe mateka.samahani kama ni ke,ila kama ni dume poooole.
 
Pole wewe maana mimi sikaririshwi na mwanadamu bali Roho wa Bwana hunifundisha kila kunapokucha. Ndiyo Maana hunikuti nikikurupuka khs neno la Mungu kwani ninamjua alikonitoa. Lkn pia mimi siabudu kwa kakobe bali ni mchungaji pia. Mungu akubariki sana
 
Amina kwa baraka,kama ni mchungaji,chunga kondoo wa mungu vema, hakikisha humpotezi hata moja,usijitwalie utukufu wa mungu ,ukafanya waumini wako wakuabudu wewe badala ya Mungu,msijitwalie pesa kwaajili ya neno la Mungu,mmepata bure toeni bure.
 
Commissioner wa TRA aliagiza kupitia vyombo vya habari kwenda kuchunguza ili kujua kanisa la FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP -lina miradi au Askofu Mkuu Zachary Kakobe kama ana miradi binafsi inayomwingizia kipato ili waweze kupata kodi.

Jumamosi ya tarehe 30/12/2017 barua kutoka TRA ilifika makao makuu ya kanisa FGBF -MWENGE DSM. Na jumanne ya tarehe 02/01/2018, kilitumwa kikosi kikiongozwa na afisa mmoja (.....) ambaye pia ndiye alitajwa kwenye barua kama kiongozi wa msafara.

Walipokelewa na kukawa na mahojiano yalichukua zaidi ya masaa sita. Maana waliingia saa sita kasoro mchana. Walitoa karatasi ilikuwa na listi ya maswali (Questionnaire). Upande wa kanisa alikuwepo Askofu mkuu Zachary Kakobe pamoja na viongozi wa kanisa. Zoezi liliendelea ikafikia maamuzi pia ya kutaka Bank Statements kutokea 2014 mpaka 31/12/2017 katika akaunti zote mbili. Moja ni akaunti ya kanisa la hapa DSM (FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP) na ya pili ni akaunti ya Kitaifa ya FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP. Pia wakataka akaunti binafsi ya askofu na mama mkuu, wakataka pia akaunti za watoto.

Wiki yote hiyo zoezi la kuangalia kupitia Bank Statements na rekodi za fedha katika akaunti za kanisa. Mwisho wa uchunguzi kama commissioner wa TRA alivyoagiza kuchunguza kama kanisa au Askofu Kakobe wana miradi nje ya sadaka.

Kikosi hicho chini ya Afisa wa TRA (......) baada ya uchunguzi kwa siku kadhaaa, walijiridhisha pasipo shaka kwamba kanisa la FGBF nchi nzima na Askofu Kakobe hawana miradi ambayo ndiyo hutozwa kodi.

Hivyo kiongozi wa msafara huo na kikosi chote walirejesha taarifa na kiongozi huyo akashauri mjadala huo ufungwe.

Kinyume chake baada tu ya huyo afisa kushauri kufungwa kwa mjadala, alipewa uhamisho wa ghafla kwenda mkoani. Na kuteuliwa Kiongozi mwingine na badhii ya maafisa kubadilishwa kwenye kikosi.

Mnamo jumanne 09/01/2018 kikosi kazi kipya. Kilifika kanisani. Kwa awamu walikuja kivingine. Mambo waliyokuja nayo ndiyo ambayo yametupa kujua kuna hila ndani yake.
Walifika wakauliza na kutaka zile bank statements za sadaka, wakapewa. Hawakuridhika. Wakaanza kukagua. Wakaingia kila ofisi kanisani hapo FGBF -Mwenge. Mbaya zaidi walienda nyumbani kwa Askofu Mkuu Zachary Kakobe Kijitonyama, wakapekua mabegi na kutoa nguo moja baada ya nyingine za askofu pamoja na za mama askofu Hellen Kakobe.

Wakachukua simu za mama askofu. Pia wamechukua computer za kanisa. Wakaanza kuhoji matumizi ya sadaka jinsi yanavyotumika.

Bodi ya wadhamini ya kanisa la FGBF walikaa kikao cha dharura alhamisi 11/01/2018, walieleza kila kitu kwamba katika sadaka hakuna matumizi yaliyotumika nje na imani yetu ambayo ni kuhubiri Injili pamoja na uendeshaji wa huduma kama taasisi. Lakini muhtasari na maelezo ya bodi ya wadhamini TRA hakuyapokea, sasa sijui wanataka uthibitisho gani na kutoka kwa nani kama wanakataa vielelezo vya bodi ya wadhamini!!?? Pia waliomba idadi ya washirika na rekodi zao za kutoa zaka na sadaka wakapewa maana kila kitu kiko wazi na kiko nuruni.

Jumamosi ya tarehe 13/01/2018 zililetwa barua ikimtaka Askofu Kakobe na mama wafike TRA -MWENGE leo Jumatatu wameitaka wito. Mnamo saa nne kasoro asubuhi leo jumatatu ya tar 15/01/2018 Askofu Mkuu Zachary Kakobe na mama askofu, bodi ya wadhamini na baadhi ya viongozi wa kanisa wamewasili TRA -Mwenge DSM.

Maswali ya kujiuliza, kama walikosa miradi ina maana wanatafuta kodi kwenye sadaka?? Na iweje wahoji juu uhalali wa matumizi ya fedha ya kanisa wakati bodi yenyewe haina tatizo juu ya hilo??

Mwisho nimalizie kwa kauli ya Askofu Kakobe aliyoitoa jana ibadani

"Shetani wa kuninyamazisha bado hajazaliwa, neno lolote Mungu atakalonipa nitasema kama lilivyo bila kupindisha, kwangu kifo ni promotion ya kwenda kukaa na Baba mbinguni, huwezi kunitishia kifo,nina miaka 62 nikifa leo nitakufa sawa na umri wa Petro na Paulo Mtume, ila nikifa ninapoenda wewe utakuja mbinguni ninakoenda?

Pichani, ni nyumba ya Askofu Kakobe na kibao cha mtaa Kijitonyama DSM

26734146_1244721932338795_4926151626821610731_n.jpg

26238986_1244722039005451_6732083576321121271_n.jpg
Walipe kodi tuu kwani sadaka sio hela. Mbona ni mtaji kuliko mitaji mingine..
 
Biblia inasema MTU akiwa na kitu cha kujivuna ajivune kuwa anamjua Bwana Mungu kakobe kakiuka Biblia anajivuna kuwa ana pesa na anajua Katiba wacha TRA wamrudishe kwenye mstari.Kuna wengine mtume Paulo alisema nimemwachia shetani awafundishe kakobe anahitaji mashetani wamfundishe maana kwa Mungu hafundishiki
 
Walipe kodi tuu kwani sadaka sio hela. Mbona ni mtaji kuliko mitaji mingine..
Tena sadaka zenyewe wanatia mifukoni,hawatunzi ,mayatima,wala wajane,hawana shule wala hospitali,wakiwa na shule bei juu kama za mitaani.
 
Watu wanashangaa TRA kukagua hadi nguo zote nyumbani za familia yote.Ni kawaida sio matajiri wakubwa wote huweka pesa benki au kwenye miradi .Wengine utajiri wao huutumia kwenye mavazi.mfano unakuta mke ana chain ya almasi ya bilioni kadhaa au mkufu wa dhahabu wa kuvaa kiunoni au miguuni wa bilion kadhaa au ana nguo za bei ya mamilioni ya shilingi.Kule kusasambua masanduku ya nguo za kakobe ni kujhakikishia thamani ya hizo Mali zake ziwemo nguo zake za Ndani. MTU akisema yeye tajiri kuliko serikali Mali zake zote zikiwemo chupi inabidi zifanyiwe tathmini na TRA ili kupata jumla ya utajiri wake na wa familia yake una thamani ya shilingi ngapi .Kakobe kayataka akiambiwa usichanganye dini na siasa hasikii.TRA waacheni wafanye kazi mwisho watatoa ripoti. Unaweza kuta Kakobe ana SAA ya mikononi yenye thamani ya bilioni kadhaa. Na akawa MTU anayevaa SAA ya ghali kuliko MTU yeyote duniani.
na kuhamisha kazi kwa ofisa wa kamati/kikosi kazi cha awali kilichokwenda kwa kakobe unalizungumziaje hili maana limekuwa la ghafla bin vuu
 
na kuhamisha kazi kwa ofisa wa kamati/kikosi kazi cha awali kilichokwenda kwa kakobe unalizungumziaje hili maana limekuwa la ghafla bin vuu
Hayo ni mambo ya utendaji wa serikali hayakuhusu alikuwa muumini wenu nini? Akawa anatoka siri za serikali kuwaletea nini?
 
Hayo ni mambo ya utendaji wa serikali hayakuhusu alikuwa muumini wenu nini? Akawa anatoka siri za serikali kuwaletea nini?
Kuna mazingira yanaonyesha wazi kuwa kuna hira inaendelea
 
hicho ndio wanachokiweza zile ml.50 zakila kijiji mpka leo zinawatoa kamasi ..
nchi imekuwa ya visasi tu ..wazambi hawataki kuambiwa ukweli wala kukosolewa wapo radhi kubeba kaa lamoto kiganjani kuliko kuupokea ukweli moyoni

shithole wakubwa
 
We nawe umetokea wapi?hoja ya kukaguliwa kakobe uningiza mada nyingine,au ndio mliokaririshwa maisha na kakobe.ulanzi haumuachi mtu salama
 
Back
Top Bottom