TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

Watu wanashangaa TRA kukagua hadi nguo zote nyumbani za familia yote.Ni kawaida sio matajiri wakubwa wote huweka pesa benki au kwenye miradi .Wengine utajiri wao huutumia kwenye mavazi.mfano unakuta mke ana chain ya almasi ya bilioni kadhaa au mkufu wa dhahabu wa kuvaa kiunoni au miguuni wa bilion kadhaa au ana nguo za bei ya mamilioni ya shilingi.Kule kusasambua masanduku ya nguo za kakobe ni kujhakikishia thamani ya hizo Mali zake ziwemo nguo zake za Ndani. MTU akisema yeye tajiri kuliko serikali Mali zake zote zikiwemo chupi inabidi zifanyiwe tathmini na TRA ili kupata jumla ya utajiri wake na wa familia yake una thamani ya shilingi ngapi .Kakobe kayataka akiambiwa usichanganye dini na siasa hasikii.TRA waacheni wafanye kazi mwisho watatoa ripoti. Unaweza kuta Kakobe ana SAA ya mikononi yenye thamani ya bilioni kadhaa. Na akawa MTU anayevaa SAA ya ghali kuliko MTU yeyote duniani.
Habari ya kumhamisha ofisa TRA aliyesema mjadala ufungwe ni kweli??
 
Waliona mpaka Pedi za bi mkubwa anzotumiaga au.
Akitoka kweku, atakujakwenu-TL the greater
 
Habari ya kumhamisha ofisa TRA aliyesema mjadala ufungwe ni kweli?? Hata hivyo you're from shithole party so we expect the shits!!

TRA wana taratibu zao za kazi.Tax investigation huwa haisimamiwi na MTU mmoja kuanzia mwanzo hadi mwisho.Kuna kitu Kuna naitwa TOR au terms of reference.Wa kwanza unaambiwa utaanzia hapa point A hadi B.Akimaliza analetwa bosi mwingine kuanzia point B hadi C.Na aweza kuja mwingine kuanzia Point C Hadi D nk kubadilishwa hivyo huwa sababu za utaalamu wa eneo husika.mmoja aweza kuwa mtaalamu hasa eneo A sio B nk Kakobe ache uchunguzi wa kodi ni mambo ya kitaalamu.

Asishangae huyo naye anatoka akaja mwingine ambaye yeye mfano aweza kuwa kabobea kwenye kodi za kimataifa kuangalia kama huduma ya Kakobe huwa inapata mapato nje ya nchi inalipa kodi nchi zingine anakofanya huduma na mfumo wa mapato yake huduma nje ya nchi ukoje na akaunti zake na akimaliza aweza ondoka akaja mtaalamu wa utakatishaji fedha wa TRa kuongoza team kuona kama akaunti za kanisa za Ndani na zile nje zina mahusiano na kama hazina zinaoperate vipi na je hakuna itumikayo kutakatisha fedha au kuzikwepesha ili zisijulikane Tanzania.

Sababu utajiri wake waweza kuwa ni wa pesa za nje ya nchi ambako huwekwa kwa pesa za kigeni.Mwingine aweza kuja kutizama matumizi ya sadaka tu kuwa zikikusanywa zinatumika kanisa husika au husafirishwa kwenda mahali kwingine zikienda huenda wapi?Huwa hazibadilishwi kwa pesa za kigeni na kusafirishwa nje ya nje kwa njia za panya na kwenda kuwekwa akaunti zake zilizoko nje ya nchi?

Kifupi Kakobe asidhani huo ukaguzi ni Mdogo kuwa unahitaji MTU mmoja afanye amalize Ndani ya siku mbili.TRA hapo atakuwa nao muda mrefu Sana.Atulie tu.Nadhani sasa atakuwa kaanza kuelewa ule usemi wa Biblia kuwa ulimi kiungo kidogo lakini usipouchunga matatizo yake makubwa mno.
 
Acha uongo. Kwahiyo kwenye hayo mabegi ya nguo ndo kunakuwa na miradi inayotakiwa kukatwa kodi.!?
Kakobe ame declear yeye mwenyewe anapesa kuliko serikali na waziri yeyote anayetaka kumkopa aende kwake amkope,kwanini asikaguliwe?,hivi hajui tra wana vitengo,vya ukaguzi ,unapopita mipakani wakikuhisi unakaguliwa kila kitu mbona hamlalamiki?
 
Ha ha ha,k
nimegundua hiii nchi ili uishi kwa amani kama ni mtu mwenye status katika jamii mfano kiongozi mkubwa wa dini, mwanasiasa, msanii mkubwa, mfanyabiashara mkubwa n.k jitahidi sana kuwa mkimya, chunga kinywa chako, ishi kwa kufuata utaratibu, lipa kodi kama inavyostahili hakika utaishi kwa amani, mambo ya uanaharakati waachie wanasiasa.

hii awamu ni tofauti sana na awamu zilizopita, soma alama za nyakati
upayukapayuka hata kny biblia limekatazwa ,sasa sijui wanaopayuka wanasoma biblia ipi?
 
Hizi sheria za tiaraei zimeanza kufuatwa baada ya kuambia nanii atubu? hii ni janja janja janja yakutaka kunyamazisha watu wasihoji wala kukosoa hii sirikali ya maraika mtukufu.
Baada ya kudeclear anapesa kuliko serikali na waziri yeyote aende akakope.
 
Watu wanashangaa TRA kukagua hadi nguo zote nyumbani za familia yote.Ni kawaida sio matajiri wakubwa wote huweka pesa benki au kwenye miradi .Wengine utajiri wao huutumia kwenye mavazi.mfano unakuta mke ana chain ya almasi ya bilioni kadhaa au mkufu wa dhahabu wa kuvaa kiunoni au miguuni wa bilion kadhaa au ana nguo za bei ya mamilioni ya shilingi.Kule kusasambua masanduku ya nguo za kakobe ni kujhakikishia thamani ya hizo Mali zake ziwemo nguo zake za Ndani. MTU akisema yeye tajiri kuliko serikali Mali zake zote zikiwemo chupi inabidi zifanyiwe tathmini na TRA ili kupata jumla ya utajiri wake na wa familia yake una thamani ya shilingi ngapi .Kakobe kayataka akiambiwa usichanganye dini na siasa hasikii.TRA waacheni wafanye kazi mwisho watatoa ripoti. Unaweza kuta Kakobe ana SAA ya mikononi yenye thamani ya bilioni kadhaa. Na akawa MTU anayevaa SAA ya ghali kuliko MTU yeyote duniani.
Hii sasa unatunywesha chai kavu.
 
Sheria gani? TRA na kukagua nguo majumbani mwa watu imeanza lini?

Acha kujitoa ufahamu
Mnapokaguliwa nguo mipakani mbona hamlalamiki,huo sio ukaguzi?polisi akija kagua nyumbani kwako hakagui sanduku lako,TRa wanavitengo vya ukaguzi kama vya polisi,kama custom gurd,na vinginevyo,aliejitoa ufahamu ni yule alieambiwa aonyeshe mapato yake akasema "vyote viujazavyo inchi ni mali ya bwana,Alifikiri TRA ni kijiwe cha kahawa,waacheni wafanye kazi
 
Hapa anatafutwa tu kakobe kwa sababu alimshika mtu 'sharubu' Ona ya Askofu Niwemugizi hadi mdogo wake amehojiwa! sababu ni zile zile!
 
Bila shaka ya sheria ya kukata kodi sadaka ipo mbioni# CCM Mpya
 
Watu wanashangaa TRA kukagua hadi nguo zote nyumbani za familia yote.Ni kawaida sio matajiri wakubwa wote huweka pesa benki au kwenye miradi .Wengine utajiri wao huutumia kwenye mavazi.mfano unakuta mke ana chain ya almasi ya bilioni kadhaa au mkufu wa dhahabu wa kuvaa kiunoni au miguuni wa bilion kadhaa au ana nguo za bei ya mamilioni ya shilingi.Kule kusasambua masanduku ya nguo za kakobe ni kujhakikishia thamani ya hizo Mali zake ziwemo nguo zake za Ndani. MTU akisema yeye tajiri kuliko serikali Mali zake zote zikiwemo chupi inabidi zifanyiwe tathmini na TRA ili kupata jumla ya utajiri wake na wa familia yake una thamani ya shilingi ngapi .Kakobe kayataka akiambiwa usichanganye dini na siasa hasikii.TRA waacheni wafanye kazi mwisho watatoa ripoti. Unaweza kuta Kakobe ana SAA ya mikononi yenye thamani ya bilioni kadhaa. Na akawa MTU anayevaa SAA ya ghali kuliko MTU yeyote duniani.
Mkuu ulkiwa unaandika hebu omba hekima na busara zikutawale ili unachoandika kiwe na hoja na sio ushabiki. Unajua dini na siasa ktk maandiko vilivyo pamoja? Usidandie maneno ya wanasiasa kuwa dini na siasa vitenganishwe ni kitu ambacho hakipo kabisa. Vyote viko pamoja!
 
Yesu alilipa kodi kakobe amwige alipe yaishe maana dini na siasa kwake kitu kimoja
 
YEHODAYA Acha uongo, msimamizi wa kwanza ameshushwa na kupelekwa mkoani, (mkoa aliopelekwa unahifadhiwa kwa sasa) amepata demotion kwamba hakufanya kazi waliyoitaka ili kumkomoa Kakobe,

FYI ni kwamba huyu msimamizi wa kwanza alifunga uchunguzi na kusema hakuna kodi ya serikali hapa, maana mapato yote ni SADAKA, na SADAKA haitozwi kodi. matokeo ya uchunguzi hayakuwafurahisha mabwana wakubwa, wakampa demotion na kuanza upya uchunguzi kwakupekua nguo. Swali la kujiuliza, mradi gani wa kodi unakaa kwenye nguo???????? hii nchi ya vi-wonder kweli.
 
Kweli kabisa,Yesu alisema ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaisari,so pesa nimali ya serikali,inachapa ya serikali,hivyo izo pesa anazosema anazo atoe kwa mwenye nazo na asijitoe ufahamu,na neno la Mungu ahubiri ili watu wafunguke,Mungu anahitaji watu waokoke,wafunguke,wawe hai,wapone hivyo afundishe,ahubiri ili watu wamjue Mungu,ndio hapo Mungu atakua amepata vya kwake,Mungu ibariki Tanzania.
 
Mkuu ulkiwa unaandika hebu omba hekima na busara zikutawale ili unachoandika kiwe na hoja na sio ushabiki. Unajua dini na siasa ktk maandiko vilivyo pamoja? Usidandie maneno ya wanasiasa kuwa dini na siasa vitenganishwe ni kitu ambacho hakipo kabisa. Vyote viko pamoja!
Lakini usimamizi wake unatofauti,masuala ya Mungu yanawasimamizi wake kama maaskofu,masheikh ,mabudhaa na wengineo,na siasa ina wasimamizi wake kama wanasiasa,vyama na vyombo vinginevyo,so kuingiliana hadharani bila hekima maana yake nini?
 
Kweli kabisa,Yesu alisema ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaisari,so pesa nimali ya serikali,inachapa ya serikali,hivyo izo pesa anazosema anazo atoe kwa mwenye nazo na asijitoe ufahamu,na neno la Mungu ahubiri ili watu wafunguke,Mungu anahitaji watu waokoke,wafunguke,wawe hai,wapone hivyo afundishe,ahubiri ili watu wamjue Mungu,ndio hapo Mungu atakua amepata vya kwake,Mungu ibariki Tanzania.

Mithali 27:22 Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
 
TRA wana taratibu zao za kazi.Tax investigation huwa haisimamiwi na MTU mmoja kuanzia mwanzo hadi mwisho.Kuna kitu Kuna naitwa TOR au terms of reference.Wa kwanza unaambiwa utaanzia hapa point A hadi B.Akimaliza analetwa bosi mwingine kuanzia point B hadi C.Na aweza kuja mwingine kuanzia Point C Hadi D nk kubadilishwa hivyo huwa sababu za utaalamu wa eneo husika.mmoja aweza kuwa mtaalamu hasa eneo A sio B nk Kakobe ache uchunguzi wa kodi ni mambo ya kitaalamu.Asishangae huyo naye anatoka akaja mwingine ambaye yeye mfano aweza kuwa kabobea kwenye kodi za kimataifa kuangalia kama huduma ya Kakobe huwa inapata mapato nje ya nchi inalipa kodi nchi zingine anakofanya huduma na mfumo wa mapato yake huduma nje ya nchi ukoje na akaunti zake na akimaliza aweza ondoka akaja mtaalamu wa utakatishaji fedha wa TRa kuongoza team kuona kama akaunti za kanisa za Ndani na zile nje zina mahusiano na kama hazina zinaoperate vipi na je hakuna itumikayo kutakatisha fedha au kuzikwepesha ili zisijulikane Tanzania. Sababu utajiri wake waweza kuwa ni wa pesa za nje ya nchi ambako huwekwa kwa pesa za kigeni.Mwingine aweza kuja kutizama matumizi ya sadaka tu kuwa zikikusanywa zinatumika kanisa husika au husafirishwa kwenda mahali kwingine zikienda huenda wapi?Huwa hazibadilishwi kwa pesa za kigeni na kusafirishwa nje ya nje kwa njia za panya na kwenda kuwekwa akaunti zake zilizoko nje ya nchi? Kifupi Kakobe asidhani huo ukaguzi ni Mdogo kuwa unahitaji MTU mmoja afanye amalize Ndani ya siku mbili.TRA hapo atakuwa nao muda mrefu Sana.Atulie tu.Nadhani sasa atakuwa kaanza kuelewa ule usemi wa Biblia kuwa ulimi kiungo kidogo lakini usipouchunga matatizo yake makubwa mno.
Kweli kabisa wanautaratibu wa ufanyaji kazi
 
Mithali 27:22 Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
Asante kwa kujitambua,ujumbe unakufaa sana huo,yaujazayo moyo wa mtu ndio yamtokayo,so hako ka upu***vu kamekujaa moyoni.
 
Back
Top Bottom