TRA kodi haiwahusu mawinga wanaoingiza chini ya milioni 4

TRA kodi haiwahusu mawinga wanaoingiza chini ya milioni 4

Hata akizid bado atakuambia ni mfanyakazi wa duka la mtu anakochukua bidhaa
 
Hapa aliyetoa hili wazo alikuwa amelewa
 
Watatapatapa sana na tozo zao za kulipa deni la mama..!!
 
Sifa zinaponza, WAO wenyewe mawinga, WALIDAI wanaingia MILIONI MOJA kwa wiki. mkuu hata kama ni Mimi lazima mlipe Kodi, msiwe mnaropoka hovyo .


Kwishaaa
 
Hata akizid bado atakuambia ni mfanyakazi wa duka la mtu anakochukua bidhaa
Mkuu, Mfanyakazi wa duka ni either muajiriwa au kibarua, zote mbili zina formalities zake kikodi. Ni suala la muda kila mtu anayestahili kulipa kodi atalipa kodi.
 
Katika Taifa lenye Kila kitu ambayo mataifa mengi hayana wanashindwa kuweka Kodi kwenye mali za asili zinazoenda nje Ili kumuwekea uafadhali mwananchi wa ndani.

Kazi ya serikali ni kumuwezesha mwananchi wake mambo yawe marahisi nasio kumbebesha rundo la Kodi Ili Hali Kuna vyanzo vingine vikubwa VYA mapato mfano.

1. Madini
2. Maliasili
3. Utalii
4. Gesi
5. Mafuta
6. Bandari
7. Mazao
8. Mengineyo mengi
 
Back
Top Bottom