TRA Airport JNIA mnatia aibu

lol.......sio mgeni wa safari hadi kutetemeka.....nilikuwa transit for more than 5 hrs..........at least umefafanua unavyoonekana maanake wengine wanafikiri ni mavazi.....body language wenye kujua kazi yao wanaitumia vizuri.


Hahaaa!! Hapa nilikuwa nategemea tusi, Ubarikiwe sana.. Na pole sana kwani maswali mia ingekuwa mimi ningesharudi bongo kwa bus.!! Jioni njema sana!!!!
 
Back
Top Bottom