Tpdc- ndo shortlist iyo au ndo .....

markj

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
1,778
685
Date Listed: Jun 13, 2012
Application Deadline: Jun 22, 2012

DUUH! MPAKA LEO JAMANI, NDO KUNAFANYIKA SHORTLIST AU TAYARI WALISHAANZA WATU KAZI AU NDO KASHIFA ZA NISHATI NA MADINI ZIMESIMAMISHA ZOEZI ZIMA, AU NINI KINAENDELEA JAMANI KWA ANAYEJUA, MANA HAWA JAMAA NAO WANA MUDA MREFU KIAINA TANGU WATANGAZE NAFASI ZA AJIRA
 
mkuu walishafanya interview na tangu interview hadi leo watakuwa wameshaanza kazi watu
 
duh! nashukuru mkuu, siunajua sisi tumezoea zile za njooni wote mkuu, hahaha!
 
Date Listed: Jun 13, 2012
Application Deadline: Jun 22, 2012

DUUH! MPAKA LEO JAMANI, NDO KUNAFANYIKA SHORTLIST AU TAYARI WALISHAANZA WATU KAZI AU NDO KASHIFA ZA NISHATI NA MADINI ZIMESIMAMISHA ZOEZI ZIMA, AU NINI KINAENDELEA JAMANI KWA ANAYEJUA, MANA HAWA JAMAA NAO WANA MUDA MREFU KIAINA TANGU WATANGAZE NAFASI ZA AJIRA

Bado hawajahita Mkuu jana nilienda kuwauliza pale Benjamini towel sababu mimi mwenyewe kuna kazi moja ambayo niliomba na nina uhakika wakupata nikiitwa ntakuambia
 
dah! mkuu c2c umenipa ma hope kweli aisee. mana siunajua ningeshangaa kuita watu kimya kimya namna hiyo aisee,,,,
 
Bado hawajahita Mkuu jana nilienda kuwauliza pale Benjamini towel sababu mimi mwenyewe kuna kazi moja ambayo niliomba na nina uhakika wakupata nikiitwa ntakuambia

Hii ni kwa mujibu wa baba yako mdogo ndo kakupa uhakika wa kupata sio, mbumbumbu na PICUH degree zenu. "Eti TOWEL" bora una wa kukubeba coz hujui hata degree yako ina kujenga kua nani.
 
ukubali ukatea ila watu wameshafanyiwa interview na kunauwezekano wakawa wameshaitwa maana tangu interview ifanyike kalibia mwezi unaisha sasa
 
Hii ni kwa mujibu wa baba yako mdogo ndo kakupa uhakika wa kupata sio, mbumbumbu na PICUH degree zenu. "Eti TOWEL" bora una wa kukubeba coz hujui hata degree yako ina kujenga kua nani.

Naomba tuitwe wote kwenye hiyo interview ndio utajua sasa kama ni baba yangu mdogo au mimi mbumbumbu au najua degree yangu ina nijenga kuwa nani
 
tatizo wabongo wanaenda kwenye interview wakiwa na imani washafeli! wanafanya application wakiwa na imani kuna watu tayari! sasa ichi nacho kinachangia watu kuwa na imani wakikosa kazi basi hayo yametendeka tu, wakati hawajui kuwa kuna watu kibao wanapata nafasi sehemu hizo kwa uwezo wao walionao, hata mimi wakiniita kwenye interview nina imani nitapata tu, uhakikaaa. ikitokea nimekosa basi ndo kushindwa huko mungu ajapenda.
 
kwani degree ndio nini??? acheni ujinga kupata kazi kukosa ni sehemu ya matokeo na usijijengee imani eti hizo kazi zina wenyewe ayo mambo ukiwa unatafuta kazi ondoa kabisa​

Back
Top Bottom