Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi.
Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya Daily News 28/10/2022.
Mteja hatousika kwenye gharama za uhamishaji, gharama zitabaki kama awali.
Hii itapelekea kuzalisha nafasi za muda kwa madereva watakaokuwa wakihamisha magari kutoka bandarini kwenda Bandari kavu.
Ewaaa na hapa juzi ilikuwa inafanyiwa usafi wa nguvu huenda walishajua kifuatacho, na miaka 5 ya JPM ilipokosa magari haikuwahi kufungwa naona palibaki kama dampo tu linalolindwa huenda mission walishaisoma kuwa jamaa akiondoka ulaji utarudi na kweli.